granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
inawezekana mama alimkuta mjukuu wake anajipikilisha ugal wa matope na mama akaamua kuungana na mjukuu, huku na kule wakati wanapeana tano matope si yakamrukia mama uson akachafuka, nadhani ndo hyo video inayosemekana kuwa ni chafu.Mnaweza kutoa povu hapa kumbe vedeo ya kwaida tu, ukute ni muendelezo wa video ya Royal tour iliongezewa manjonjo kidogo kuipa radha.
Na hata ikiwa video ambayo yeye anaiiita chafu unaweza kuta ni safi kwetu, yule yuko America.
Tuombe video itoke humu humu ili wote tuiangalie halafu tuone wangapi watashangaa.
Unaweza kuta ni sehemu ya-4R anazotueleza kila siku.
Na ikiwa ipo hiyo video mi nasisitiza iwekwe hapa yule ni mkuu wa nchi tunaweza kujifunza kitu, msiwe waoga wa kila kitu.