Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Sawa mkuu!
Poa kwaheri siku nyingine usirudie kurukia rukia comment za watu uwe unapita kimya kimya

Rukia mkeo umpe raha

Mange 10 Chawa 0 ubao unasoma hivyo leo usirudie kuita watu wajinga wakati wanawapa ukweli
 
Wanaharakati ndio zao, hukaa kimya pale upande wanaoupinga ukiwa unadhalilishwa kwa matusi ya nguoni, "mara nyingi Wanaharakati hawako "centered " katika harakati zao, huu ndiyo upumbavu wao!
Walitukanaje ili tuweze kushiriki pamoja hii hoja jamani?!
Naomba weka clip kdg mkuu maana wengine hatuji matusi nini!
 
Poa kwaheri siku nyingine usirudie kurukia rukia comment za watu uwe unapita kimya kimya

Rukia mkeo umpe raha

Mange 10 Chawa 0 ubao unasoma hivyo leo usirudie kuita watu wajinga wakati wanawapa ukweli
Ukishaandika inakuwa public, nina uhuru wa kukomenti ili mdari nisivunje sheria.

Kwa hiyo kila mwezi unalipa 1000 ili upate ubuyu wa Mange?
 
Unazungumzia kile kituo cha mchongo cha kina magoti na mstaafu bi simba mbona kile ni chama cha siasa kilichojificha kwenye kivuli cha haki za binadamu kuna wapuuzi wao wakiguswa haraka utawasikia!
hujui chochote kuhusu haki za binaadamu na utawala bora. wewe unajua kushangilia mauaji ya watu kama kule MKIRU
 
hujui chochote kuhusu haki za binaadamu na utawala bora. wewe unajua kushangilia mauaji ya watu kama kule MKIRU
Wala sitaki kuzijua za hapa bongo kwa sababu ni za kinafiki na uhanithi mtupu kama walivyo wanaharakati wao!
 
Mwanaharakati wa haki za binadamu akae kumtetea rais kwamba anaonewa au
Mbona inachekesha hii
Wale wapo kutetea raia ambao wanaonewa na hawana uwezo wa kwenda popote kuchukua hatua ya kile wanachofanyiwa rais hawezi kuwa kwenye hilo kundi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia Baba yake wahuni walimkuta na mke wao wakamla Mande aliliwa kiboga alafu na video wakamrekod km ushahidi mpaka akaamua kujinyonga, hio video nahisi ndio imemvuruga Mange kisaikolojia kuona Baba yake analiwa kiboga kwenye camera huyu mtoto Mange siku zake zaja
Atakufa kifo kibaya sana
 
Mwanaharakati wa haki za binadamu akae kumtetea rais kwamba anaonewa au
Mbona inachekesha hii
Wale wapo kutetea raia ambao wanaonewa na hawana uwezo wa kwenda popote kuchukua hatua ya kile wanachofanyiwa rais hawezi kuwa kwenye hilo kundi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
inachekesha kwl mkuu, nashindwa kuelewa maza hana uwezo wa kupata Po~210, yaan anawachekea tu kima? hapana aisee
 
Uongozi ni jalala lazima unapofanya ujinga utukanwe sasa mnaoona kuwa ni dhambi kiongozi kutukanwa tena kwa mambo ambayo yako wazi sijui mnafikiri kwa kutumia kiungo gani, lazima watukanwe kama hawatimizi wajibu wao na wanakula hela tu za kodi, badala na mleta uzi naye awashambulie etri anajiskia vibaya na anataka haki, SHAME ndiomaana nasema ukiwa umevimbiwa unakuwa hujui kabisaaaa mwenye njaa.
 
Kama wanaweza kumvua nguo kisa Makonda huoni wanaweza kumvua nguo wakati wowote wakitaka?

Huoni wanamuweka Rais kama mateka wao
huyu mama mauchafu yake watu wanayatumia kum-blackmail, ndio mana watu wanajifanyia wanavyotaka na hana cha kuwafanya!

hujiulizi kwann waarabu wanamfanya watakavyo?
 
huyu mama mauchafu yake watu wanayatumia kum-blackmail, ndio mana watu wanajifanyia wanavyotaka na hana cha kuwafanya!

hujiulizi kwann waarabu wanamfanya watakavyo?
Samia aache ujinga akamate mmoja akate kichwa...

Kuna kitabu kinaitwa The prince Cha Makiavelli kinaelelezea Kiongozi anatakiwa aweje...

Kiongozi mjinga ni yule anayeamini ataongoza kwa upendo na kumfurahisha kila mtu, lazima Kiongozi aweke uwoga kwa watu anawaongoza
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!

Mnakuza mambo wenyewe ni watu wangapi wanatukana watu? Kwenye mtandao upi maana hapa naona watu wanajadili hoja tu. Sasa kama mnaenda kwenye mitandao ya umbeya inayo ongelea wasanii na kufikiri hamtatukanwa mnakosea. Hiyo mitandao ni ya kuuzwa. Hata Raisi wa Marekani natukanwa kila siku lakini hatumi jeshi wala vyombo vyovyote. Matusi ni mambo binafsi mtu akikutukana wewe unaweza kumshitaki au kumpuuza ndiyo maana ya mahakama. Huwezi kusema wanajamii hapa tushinde kuongelea watu wanao tukana watu.

Wewe lini umeshaongelea hata siku moja wapinzani kutukanwa kila mara mbona hakuna lolote linafanyika na wala hawalalamiki!? Kama matusi ni ya uwongo ni ya kuupuuzwa. Huwezi kuweka muda wako kuongelea vitu ambayo havijengi na kulalama lalama
 
Yule Dem wamteke,wamgonge matundu yote wakimrekodi,wamtue kkoo uchi,wamlazimishe apost kwenye akaunti zake,Kisha wajifanye kumkamata na kumfungulia mashtaka,ambayo Nina hakika yatafika 200,wamfunge maisha jela
Ndoto unaota amka usijinyee tu
 
Mnakuza mambo wenyewe ni watu wangapi wanatukana watu? Kwenye mtandao upi maana hapa naona watu wanajadili hoja tu. Sasa kama mnaenda kwenye mitandao ya umbeya inayo ongelea wasanii na kufikiri hamtatukanwa mnakosea. Hiyo mitandao ni ya kuuzwa. Hata Raisi wa Marekani natukanwa kila siku lakini hatumi jeshi wala vyombo vyovyote. Matusi ni mambo binafsi mtu akikutukana wewe unaweza kumshitaki au kumpuuza ndiyo maana ya mahakama. Huwezi kusema wanajamii hapa tushinde kuongelea watu wanao tukana watu.

Wewe lini umeshaongelea hata siku moja wapinzani kutukanwa kila mara mbona hakuna lolote linafanyika na wala hawalalamiki!? Kama matusi ni ya uwongo ni ya kuupuuzwa. Huwezi kuweka muda wako kuongelea vitu ambayo havijengi na kulalama lalama
Alitukanwa kiasi Kuwa shoga nani aliyesimama kukemea acha misumali utoke ulipoingilia
 
Jamani wapi chawa wa mama kina steve nyerere wapi kina maimatha

Yaani yule dada wa marekani anarusha makombora ikulu chawa wa mama wamekaaa kimya utadhani hawaoni

Shida wanaogopa wakikohoa vita ina hamia kwao yaani kila mtu anaogopa atavuliwa nguo na yule dada wa marekani

Yaani wame mute wameziba masikio wanajifanya hawajui kabisa mambo yanayoendelea wanajifanya viziwa wakati huu mama alihitaj support yao maana vinu vinavyotoka marekani ni vizito vinahitaji chawa waingie vitani

Chawa nao wanaogopa fumigation kutoka marekani

Sema kiukweki imeniuma sana hawa chawa kujifanya viziwi na vipofu yaani kama hawapo wanajua wakisema tu meee dada analipua mabomu mazito ndo maana wanaogopa

Kile kikundi cha chawa mama kiko chini ya maimatha tunaomba mwenyekiti maimatha atoe kauli kwamba wako vitani au laa...maana kazi ya kile kikundi ni kujibu mabomu ya mitandaoni

Chawa mjitokeze mjibu haya yanao endelea mitandaoni ni mazito na defamation kwa mama .....mme mute sana

Kiti cha urais hakina uwezo wa kujibu habari za umbea ni kazi ya mashabik ambao ndo nyie chawa wa mama

Sasa mnajifanya viziwi hamskiii pia vipofu hamuoni yaani ....kisa mnaogapa vinu vya uso kutoka marekani
Machawa yenyewe yameoza yananuka na mauchafu kibao . Wakionyesha uso tu wamekwisha. Sifagìlii matusi kama angetumia lugha mzuri angepata support lakini wanaomtumia wamefil saba katika hili. Lakini walimlea. Mtu anatafutwa alaf anaonekana anapiga picha ya karibu na mama? Wakati fulani ashawahi kutukana. Mange na Kigogo2014 wanapewa hela. Kigogo2014 awewahi kutoa mapicha ya ajabu. Alipogeukia upande uleee sasa anajifanya kujibu makombola
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Hao watawala wanaambiwa ukweli
Wao wanalia kutukanwa

Wanataka watuibie tukae kimya
 
Mnaweza kutoa povu hapa kumbe vedeo ya kwaida tu, ukute ni muendelezo wa video ya Royal tour iliongezewa manjonjo kidogo kuipa radha.

Na hata ikiwa video ambayo yeye anaiiita chafu unaweza kuta ni safi kwetu, yule yuko America.

Tuombe video itoke humu humu ili wote tuiangalie halafu tuone wangapi watashangaa.

Unaweza kuta ni sehemu ya-4R anazotueleza kila siku.

Na ikiwa ipo hiyo video mi nasisitiza iwekwe hapa yule ni mkuu wa nchi tunaweza kujifunza kitu, msiwe waoga wa kila kitu.
 
Back
Top Bottom