Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
madelunani anefaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
madelunani anefaaa?
Hapo tu! Hata wakati wa Idd El fitr basi?!Labda wote wanajua anayoyasema huyu binti ni ya kweli. Ukichunguza huyu mama haeleweki kwenye hafla kubwa viongozi wengine wanaenda na wenza wao. Yeye ni nadra sana kumuona na mwenza wake.
Basi...Hakuna mahali mama alimdharau Magufuli bali mama alivaa mkondo tofauti wa kuongoza nchi, kutoka kwenye mkondo wa kibabe kuja mkondo wa kiuungwana, na alikuwa sahihi kabisa.
Kosa la mama ndio kosa lile lile la Magufuli, kujitengenezea kakikundi maalum ka watu wa kusifu na kuabudu chochote anachokifanya hata kama ni kitu kibovu.
Watanzania walikuwa wanataka Rais ajishughulishe na issues (Katiba, Haki, Sheria, uchumi, Ajira, Rasimali, Matumizi ya serikali), sio blah blah za kuteua, kutumbua, kusifiwa, kukopa pesa ili kujenga miundo mbinu nk.
Acha mzungu atufanye Waafrika MAZOMBIE!Sasa huyu Mzungu ndio Yesu?
HAIWAUMI hata kwenye mgao wa umeme au maji. HAIWAUMI hata kushauri viongozi kupunguza gharama za uendeshaji serikalini! HAIWAUMI na kuuliza hiyo mikataba ya maliasili na rasilimali inawasaidia Nini! HAIWAUMI na kuuliza hela utalii zinaenda wapi?! HAIWAUMI shilingi kukosa thamani, bei za bidhaa kupanda na maisha kuzidi kuwa magumu! HAIWAUMI......Chaguzi za nchi kuporwa hakuwaumi, Wala fedha za wananchi kuporwa na wajanja hakuwaumi, ila matusi ndio mnajifanya yanawauma sana.
Ya wapi?!Ni wakati sasa wa intelligence kufanya kazi.
Kuna walakini. Namuona Kikwete, Mpango, Majaliwa na wenza wao kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa, ila sio yeye.Hapo tu! Hata wakati wa Idd El fitr basi?!
Nasikia Baba yake wahuni walimkuta na mke wao wakamla Mande aliliwa kiboga alafu na video wakamrekod km ushahidi mpaka akaamua kujinyonga, hio video nahisi ndio imemvuruga Mange kisaikolojia kuona Baba yake analiwa kiboga kwenye camera huyu mtoto Mange siku zake zajaHapana Mange kavuka mipaka. Sukuma gang wanamtumia mange
Yanayosemwa yapi? Wengine hawajayasikia yaseme tena watoto anao wainne na wajukuu wa Anu na Nchengerwa wapo wawili, watoto watatu ni wakiume Anu ni last born wa Mwisho mke halali wa Nchengerwa, Baba yake alikua Mwalimu huko Kizimkazi fuatilia the Royal Tour kajielezea kidogo kuhusu hilo la familia ambalo wachache husimulia, Mimi simjui Baba yake na Marehemu Hayati B Mkapa wala Ndugu zake siwajui mboni sijawahi ku-mind hata watoto wake siwajui sidhani km aliwahi kua na mtoto hata mmoja na ikawa poa tu acha aongozeKuna huo uwezekano hayo yanayosemwa yakawa ya ukweli
Zipo njia nyingi tuu sio lazima shooting.Haina uwezo wa kufanya lolote, nenda Marekani mvizie Mange shoot lakini hutotoka Marekani I promise you.
Ok, so mnasubiri kiongozi wa upinzani akamatwe ndio muanze kupiga kelele za uana harakati 😀😀😀Hao wanaharakati wanajishughulisha na mambo rasmi, sio huo uhuni e wa huko Mitandaoni.
Kumbuka wanaharakati wanakuangalia umegusa upande wao!Zipo njia nyingi tuu sio lazima shooting.
Akiachia mzigo tu itakuwa imeisha hio!!!Duh
Hili sasa ni zaidi ya balaaa
Chawa wamepigwa Rungu spray wote chalii😁Mange 5 Chawa 0
Kwetu raha tu
Aiweke wakati yeye anatafuta mkwanja, hapo anatikisa asainiwe cheque ya dollar 500,000 atulie tuli.😂Mzushi tu huyo angekuwa nayo anavyopenda misifa angekuwa ameshaiweka.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Iwe kweli au uongo i want that motherfuckerr out of the office 😁Makonda kasema Mwigulu Nchemba ndiye anayemlipa Mange Kimambi.
Nimuombee mtu ambaye hana mpango na mimi mkuuTuliombee sana taifa letu..
Tuwaombee sana Viongozi
Wengi hawalitakii mema hili taifa
Utajiri uliotamalaki kila kona unawatoa mate wengi..
Vyombo vyetu mahsusi viangaze jicho la 7 juu ya yote yanayoendelea..Nadhani ni zaidi ya yanayoendelea..
Wenye kiu ya madaraka makubwa ktk nchi japo hawana Sifa/uwezo,Dhima nyoofu,Uzalendo,Uadirifu stahiki,Maono,Hekima na busara lakini wanapambana sana kushika hatamu Kwa udi na uvumba..
.Nadhani tunahitaji siasa safi ..Kwa wakati sahihi na namna sahihi..Tunahitaji Siasa zenye uwezo wa kuitoa nchi kwenye Lindi la umaskini na udumavu wa kimaendeleo na sio mashindano ya kuiba,Ubadhirifu,Ufisadi..Mbali ya siasa safi tunahitaji wanasiasa wasafi na wenye uwezo (Nia,matamanio,Ufahamu,Uthubutu,Utendaji,Elimu,Exposure)..
Wahuni,Wezi,Mafisadi,Wezi,Wajasiliamali wa kisiasa,Warithi Uongozi..Na wote wanaodhani wana hati miriki ya uongozi wa taifa Wakae ama kuwekwa pembeni na mfumo wa kizalendo..