Haijalishi huyo huyo tu bora tunavuta taswira ndo Mungu Yesu.Sasa huyu Mzungu ndio Yesu?
Katika Yesu lazima TUAMINI na KUABUDU.
In JESUS we MUST TRUST and WORSHIP.
JESUS FIRST JESUS FOREVER
JESUS is God
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi huyo huyo tu bora tunavuta taswira ndo Mungu Yesu.Sasa huyu Mzungu ndio Yesu?
Marekani ni Baba wa Democrasia, anayoyafanya Mange ndio yanampa uhalali wa kubaki Marekani na kulindwa na FBI.Hivi mtu akiwa nchi nyingine ni ngumu kumkamata aseee !! Mfano Mange angekua kwenye hizi nchi za Africa au Huko Latin America !! Marais wangeshapigiana simu kitambo sana😂😂😂 mtoto analetwa hapa mbichi kabisa magogoni !!
Kweli Marekani demokrasia ipo
Haina uwezo wa kufanya lolote, nenda Marekani mvizie Mange shoot lakini hutotoka Marekani I promise you.Ni wakati sasa wa intelligence kufanya kazi.
ndo nipo naelekea huko, una jingine, et niwe rais halafu muuza papa anitukane mitandaoni halafu nimwangalie tu, ***** namtoa koromeo kwa mikono yangu mwenyewe.A
Amia Rwanda
wapi nimetetea wauaji? unajua kusoma na kuelewa kilichoandikwa?Huwezi kuwa na akili timamu ukatetea wauwaji.
Huyo Mama hafai kuwa Rais, ana makando kando mengi sana
Rwanda ni masikini kuliko Tanzaniambona kpind cha magu hamkuibuka, hz nchi za weusi ukicheka na kima hutoboi, rwanda iko ilivo sababu PK hachek na kima.
Chaguzi za nchi kuporwa hakuwaumi, Wala fedha za wananchi kuporwa na wajanja hakuwaumi, ila matusi ndio mnajifanya yanawauma sana.Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.
#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
🆒📝🔊👏🤝🛡️Hayo matusi yaliyonyamaziwa na wanaharakati wa haki za binadamu Yako wapi tuonesheni anaetukana Ili wamkemee au mnataka wakemee upepo?
Yule ana watu nyuma yake,, hajiamini hivihivi tuYule Dem wamteke,wamgonge matundu yote wakimrekodi,wamtue kkoo uchi,wamlazimishe apost kwenye akaunti zake,Kisha wajifanye kumkamata na kumfungulia mashtaka,ambayo Nina hakika yatafika 200,wamfunge maisha jela
Hao wanaharakati wanajishughulisha na mambo rasmi, sio huo uhuni wenu wa huko Mitandaoni.Wanaharakati ndio zao, hukaa kimya pale upande wanaoupinga ukiwa unadhalilishwa kwa matusi ya nguoni, "mara nyingi Wanaharakati hawako "centered " katika harakati zao, huu ndiyo upumbavu wao!
Hana watu,anafilika vizuri tuYule ana watu nyuma yake,, hajiamini hivihivi tu
Angeshafanyiwa hivyo mudaHana watu,anafilika vizuri tu
Hawajamtilia maanani tu, hitmen kibao USA, serikali haishindwiAngeshafanyiwa hivyo muda
sawa ila kuna adabu, muuza papa hawez mtukana mkuu wa nchi akabak salama.Rwanda ni masikini kuliko Tanzania
mkuu unasema wanaume waandika "da mange" bora nilijitoaga kwenye huo mtandao mapema,Ila wakuu wanaume kweli tumebaki wachache sana ,
Bila unafki mimi huwa napita pita kule kwa yule binti lakini nachki tu napita kule.
Kinachonishangaza amini msiamini madume ndio yanaongoza kule kuandika" da mange we kiboko, mara da mange huna baya dhambi zako nipewe mimi, mara da mange dada wa Taifa wanaume hao??! Inaumiza sana tuwe wakweli tu ukiachana na yote hata yule binti mwenyewe anaamini kabisa mwisho wake hautakua mzuri kabisa anajua hilo hana adabu hata kidogo.