Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Samia alijiona wa maana alipoanza kumdharau Magufuli na kujidai anaweza kumridhisha Shetani
Hakuna mahali mama alimdharau Magufuli bali mama alivaa mkondo tofauti wa kuongoza nchi, kutoka kwenye mkondo wa kibabe kuja mkondo wa kiuungwana, na alikuwa sahihi kabisa.

Kosa la mama ndio kosa lile lile la Magufuli, kujitengenezea kakikundi maalum ka watu wa kusifu na kuabudu chochote anachokifanya hata kama ni kitu kibovu.

Watanzania walikuwa wanataka Rais ajishughulishe na issues (Katiba, Haki, Sheria, uchumi, Ajira, Rasimali, Matumizi ya serikali), sio blah blah za kuteua, kutumbua, kusifiwa, kukopa pesa ili kujenga miundo mbinu nk.
 
Ila wakuu wanaume kweli tumebaki wachache sana ,
Bila unafki mimi huwa napita pita kule kwa yule binti lakini nachki tu napita kule.
Kinachonishangaza amini msiamini madume ndio yanaongoza kule kuandika" da mange we kiboko, mara da mange huna baya dhambi zako nipewe mimi, mara da mange dada wa Taifa wanaume hao??! Inaumiza sana tuwe wakweli tu ukiachana na yote hata yule binti mwenyewe anaamini kabisa mwisho wake hautakua mzuri kabisa anajua hilo hana adabu hata kidogo.
 
Hakuna mahali mama alimdharau Magufuli bali mama alivaa mkondo tofauti wa kuongoza nchi, kutoka kwenye mkondo wa kibabe kuja mkondo wa kiuungwana, na alikuwa sahihi kabisa.

Kosa la mama ndio kosa lile lile la Magufuli, kujitengenezea kakikundi maalum ka watu wa kusifu na kuabudu chochote anachokifanya hata kama ni kitu kibovu.

Watanzania walikuwa wanataka Rais ajishughulishe na issues (Katiba, Haki, Sheria, uchumi, Ajira, Rasimali, Matumizi ya serikali), sio blah blah za kuteua, kutumbua, kusifiwa, kukopa pesa ili kujenga miundo mbinu nk.
tz haijawahi kua na mtawala wa maana huwa naona wote wamepuyanga tu. sema wanapishana viwango vya kupuyanga na maovu.
 
Hakuna mahali mama alimdharau Magufuli bali mama alivaa mkondo tofauti wa kuongoza nchi, kutoka kwenye mkondo wa kibabe kuja mkondo wa kiuungwana, na alikuwa sahihi kabisa.

Kosa la mama ndio kosa lile lile la Magufuli, kujitengenezea kakikundi maalum ka watu wa kusifu na kuabudu chochote anachokifanya hata kama ni kitu kibovu.

Watanzania walikuwa wanataka Rais ajishughulishe na issues (Katiba, Haki, Sheria, uchumi, Ajira, Rasimali, Matumizi ya serikali), sio blah blah za kuteua, kutumbua, kusifiwa, kukopa pesa ili kujenga miundo mbinu nk.
tz haijawahi kua na mtawala wa maana huwa naona wote wamepuyanga tu. sema wanapishana viwango vya kupuyanga na maovu. hapo
 
Hii vita sio ya kuivamia kwa pupa, chawa watulie, huu wakati umekorogeka Sana mdomo kidogo Tu unainua na yasiyokuwepo.
Tatizo ukikosana na mange tusi la Kwanza atakusingizia una ngoma😁😁

Sasa mwanawane wakikuzushia una mzigo mpaka uje uprove wrong ushakosa bebezi kibao mtaani Bora kubandika bandeji mdomon
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kuna tofauti kati ya matusi na ku expose facts. Hoja zipo, zijibiwe 😂
 
Back
Top Bottom