Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Nimeona kule Instagram Hadi unaogopa aisee maana MANGE anadai kuwa ana video chafu ya MAZA .
MANGE mwenyewe anasema kuwa akiachia hii video nchi itatemeka na yeye atakuwa hatarini kufa
Mzushi tu huyo angekuwa nayo anavyopenda misifa angekuwa ameshaiweka.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.
Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.
Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu?mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??
Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Alowateua ndio wanaomtukana. Huyo mwanaharakati anaingilia mlango upi?

Vijana wa jk walimtukana JPM hukuyasema haya, sasa vijana haohao wakiongozwa na Januari wanamtukana Samia unajifanya nunda!! Samia anatukanwa na kina Januari sasa asuke au anyoe
 
Jamani wapi chawa wa mama kina steve nyerere wapi kina maimatha

Yaani yule dada wa marekani anarusha makombora ikulu chawa wa mama wamekaaa kimya utadhani hawaoni

Shida wanaogopa wakikohoa vita ina hamia kwao yaani kila mtu anaogopa atavuliwa nguo na yule dada wa marekani

Yaani wame mute wameziba masikio wanajifanya hawajui kabisa mambo yanayoendelea wanajifanya viziwa wakati huu mama alihitaj support yao maana vinu vinavyotoka marekani ni vizito vinahitaji chawa waingie vitani

Chawa nao wanaogopa fumigation kutoka marekani

Sema kiukweki imeniuma sana hawa chawa kujifanya viziwi na vipofu yaani kama hawapo wanajua wakisema tu meee dada analipua mabomu mazito ndo maana wanaogopa

Kile kikundi cha chawa mama kiko chini ya maimatha tunaomba mwenyekiti maimatha atoe kauli kwamba wako vitani au laa...maana kazi ya kile kikundi ni kujibu mabomu ya mitandaoni

Chawa mjitokeze mjibu haya yanao endelea mitandaoni ni mazito na defamation kwa mama .....mme mute sana

Kiti cha urais hakina uwezo wa kujibu habari za umbea ni kazi ya mashabik ambao ndo nyie chawa wa mama

Sasa mnajifanya viziwi hamskiii pia vipofu hamuoni yaani ....kisa mnaogapa vinu vya uso kutoka marekani
Labda wote wanajua anayoyasema huyu binti ni ya kweli. Ukichunguza huyu mama haeleweki kwenye hafla kubwa viongozi wengine wanaenda na wenza wao. Yeye ni nadra sana kumuona na mwenza wake.
 
Hahaha hakuna uchafu, kama yeye anayo hiyo video maana yake ni vitu vya kawaida, Rais Samia mke wa mtu lipi lakushangaza hapo.
Aitoe tu tuione labda tutajifunza kitu, woga wa nini.
 
Back
Top Bottom