Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

Hivi mtu akiwa nchi nyingine ni ngumu kumkamata aseee !! Mfano Mange angekua kwenye hizi nchi za Africa au Huko Latin America !! Marais wangeshapigiana simu kitambo sana😂😂😂 mtoto analetwa hapa mbichi kabisa magogoni !!

Kweli Marekani demokrasia ipo
Yule ana usajili wa USA baby!!! Kumtoa kule sio kienyeji kama ambavyo unaweza piga simu hakimu Kisutu ili aliekushtaki ageuziwe kibao 😂na kufungwa yeye.
 
Haina uwezo wa kufanya lolote, nenda Marekani mvizie Mange shoot lakini hutotoka Marekani I promise you.
Hahahahaha wanahisi uhuni wanaoufanya huku umatumbini wa risasi ilipaa hewani ikamdondokea marehemu na kesi inaishia hivyo itawezekana kwa watu wenye akili na intelijensia. Kwanza Mange yuko kwenye hotspot muda wote anafuatiliwa na security za USA.
 
Aiweke wakati yeye anatafuta mkwanja, hapo anatikisa asainiwe cheque ya dollar 500,000 atulie tuli.😂
Yani Tanzania nchi ya kipumbavu Sana, imagine mpaka changudowa anaweza kumblack mail Rais.

Haya ndio madhara ya kulea makundi ya machawa, tunaweza kila siku hawaelewi.

Ni fact kuna watu wananufaika na public fund, sasa mrija ukikatwa mziki wake mnaingizwa mkenge msiojuwa lolote kumbe watu Wana vita yao ya maslahi.

CCM ni majitu ya hovyo sana, huu upumbavu wote ni faida za kulea machawa mpaka mengine yanajiita machawa ya mama mijitu mikubwa mizima hata haya hawana kujiita machawa.

Mama Samia sikilizia ushauri huu wenye hekima, ukitaka kusimama kama command in chief na uheshimike na mtu yeyote asikuletee nyenyenyenye Vunja makundi yote ya machawa na piga marufuku neno machawa kama ulivyokemea neno "Kwiyo".
 
Kwa watu Kama nyie ilitakiwa huyu mama aturudishe kwenye zile moments za kimagufuli yaani tuifeel Ile pinch
Watanzania ukitaka kuwaweza display all presidential Powers akiendelea kucheka 😀😀 watamiharibia
Alifanya hivyo ataishia alipo ishia Magufuli
 
Yule ana usajili wa USA baby!!! Kumtoa kule sio kienyeji kama ambavyo unaweza piga simu hakimu Kisutu ili aliekushtaki ageuziwe kibao 😂na kufungwa yeye.
Ni akili kiasi inahitajika then binti atajikuta Airport Dar hapo. Maneuver kiasi tuu wala sio sana.
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Matusi au Kashfa ni mbaya kwa kila Binadamu sio kwa Viongozi pekee. !!
Usimfanyie binadamu mwenzio kile usichopenda wewe au unaowapenda kufanyiwa !!
Kinyago walichokichonga wenyewe sasa kinawatisha !!

Law of the Universe # What goes around comes around !!
 
Hayo ndio madhara ya mama kukumbatia machawa, dakika mbili machawa hao hao wanaweza kusimama kinyume na mama.
Kimambi alikuwa ni chawa wa mama leo ndio huyo anamvua nguo mama.
We wanachojali ni matumbo yao kukugeuka ni dakika sifuri
 
Raha isiyoelezeka kama ya kufikishwa kileleni,mara ya mwisho we ilikuwa lini?we hujawahi maana una makasiriko

Kwetu raha
You must be a lady, hizi ni tabia hasa za wanawake. Kama ni Me basi tuna hasara.
 
Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa katika jamii.

Aghalabu niseme kuwa viongozi wetu wengi wa sasa walipita hali hiyo ngumu maishani japo kwa sasa tutaanza kuona viongozi artificial wanaoandaliwa toka utotoni.

Kwa muktadha huu sio jambo jema kuwadhalilisha kwa matusi ya nguoni kwani kwa kufanya kunaibua machungu waliyopita awali.

#Hoja kuntu#
Wale wanaoitwa wanaharakati wanafurahia mwenendo huu? Mbona siwasikii katika masakata ya kuwatusi viongozi??

Kama wamekaa kimya sasa basi wakae kimya pale hatua kali na fundisho zitakapochukuliwa na viongozi wanaoumizwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wanaharakati wapi unawazungumzia na kuwatambua leo? Si walishanunuliwa na mabeberu?
Mwambie musiba aje awatete viongozi hayawani.
 
Chawa wamepigwa Rungu spray wote chalii😁
Yani wamekimbia kupost picha tu hakika wamepanic mno mno

Naona ambae hajapost mkeka hautamuhusu hahahahhh

Ila nchi imejaa wanafiki hii huku wananchi wakiwa na shida nyingi kila kona tabu watu wako bize eti mtu kadhalilishwa sijui kwa tusi gani jipya
 
Back
Top Bottom