Shida haiko hapo unaposema.Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
cdm tumeisupport kwa muda mrefu katika umri mdogo sana, sasa nyakati hizi wakileta ngonjera ni wao ndo wanakua wasaliti wa kwanza.Wewe tena π
Hua nakuona unataka kusaliti kile chama chetu cha haki bila kusimama upande naona bega moja hua linashuka nakuangalia nasema hiiiiiii (magu voice )
Na hizo tetesi kila zikija, lazima kuwepo na jitihada za kujionyesha kwamba wako hai hawana shida.timing ndo inaleta ukakasi, Hapa hatuelewi kwamba bi mkubwa kapumzika kwenye eda au lah,
na huwezekana wanaoleta tetesi hizo nia yao serikali imkurupue bi mkubwa
Najua nachokiongea Laxcdm tumeisupport kwa muda mrefu katika umri mdogo sana, sasa nyakati hizi wakileta ngonjera ni wao ndo wanakua wasaliti wa kwanza.
Ngoja tuone mpaka mwishohuyu bi mkubwa alipofika hapa wala haiihitaji nguvu kubwa kuiua ccm, na mimi ndoto yangu ilikua kumuona anapata kiti 2025 π hiyo ccm ataibonda kwa mikono yake
sawa mkuu
Hao wanaharakati waopiga ramli za kifo, kama wanataka sana mtu afe kwa nini wanasubiri afe kwa ugonjwa? Wanategea kazi ya kumuondoa?Mara Kikwete mgonjwa, Mara Samia mgonjwa , Mara hatuko naye nk.
Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia ila hawataki kujifunza, na zinarudiwa Mara nyingi nyingi kwa kutumia watu haohao still no lesson learned.
Ilianza ya Kikwete , hii nayo still hawajifunzi.
View attachment 3690102
Hiyo mbinu uliyotumia kunijibu ukiitumia ku chepka na mkeo akawa na intelligence kali anakudaka asubuhi tu πsawa mkuu
Kwaharibia akina nani, wanaharakati au hao wanaozipokea na kuzisambaza?Taarifa kama hizi huenda zinavujishwa kwa maksudi kuwaharibia
ki kawaida ni jukumu la serikali kuondoa taharuki.Na hizo tetesi kila zikija, lazima kuwepo na jitihada za kujionyesha kwamba wako hai hawana shida.
Ndo utajiuliza mwenye tatizo haswa ni nani.
id hizi za jf zinafahamika na mifumo ya jf tu.Hiyo mbinu uliyotumia kunijibu ukiitumia ku chepka na mkeo akawa na intelligence kali anakudaka asubuhi tu π
Una uhakika kweliid hizi za jf zinafahamika na mifumo ya jf tu.
Sijasema wewe sio mdau wa haki Lax unataka kunilisha manenosema mkuu unanipa maswali mengi, unaona kitu gani kuona kama mimi sio mdau sana wa haki?
chama katika hali ya sana ni changamoto mkuu, hapo ni serikali katili kukutana nayo ni jambo la sekunde.Una uhakika kweli
Sijasema wewe sio mdau wa haki Lax unataka kunilisha maneno
Vipi wazo la chama chetu
Usiogope ukipotezwa nitaandika bango kubwa likisomeka Free Laxchama katika hali ya sana ni changamoto mkuu, hapo ni serikali katili kukutana nayo ni jambo la sekunde.
Au sio basi sawami hua napambana nao individual naona inafaufanisi zaidi mpaka sasa
Umedanganyika mnoNa wewe ni mmojawapo madam
Itajiongeza yenyeweOngezea nyama kidogo
Usimuamshe aliyelalaRumors na Speculation hazitokei bahati mbaya hasa zikienea
amna serikali wala haitishi namna hiyo ukii approach kitaalamu.Usiogope ukipotezwa nitaandika bango kubwa likisomeka Free Lax
mimi pia nikipotezwa utafanya hivyo
free ShesRise_1
Seran wasiwasi ndo akili πAu sio basi sawa
Ewe mtu muoga muoga
On thecontrary.shida ni kutaka kuwahi kuchukua credit mapema,
kama kujifia atajifia tu kama alivyo binadamu mwengine.
Au waseme nia yao kuishitua mamlaka ili ijulikane rais yupo eda au lah
Kumbe basi sawaamna serikali wala haitishi namna hiyo ukii approach kitaalamu.
mimi napiga hizo mambo mdogomdogo idara kwa idara na inapiga kazi, tatizo watu wanataka top down, kuna uzi leo watu wa goba wanasema hawajapata maji wiki tatu, hawaandamani hata hapo ofisi ya kata ila wanaweza shawishika kuandamana wamtoe rais, hapo tu tutaanza free free , kibaha waliandamana/mgomo miezi 2 au 3 nyuma kuhusu maji , wakapelekewa gari gari la kuchimba na halmashauri + mfadhili
Heh ama kweli binadamu ni watu ππΌππΌSeran wasiwasi ndo akili π