On point๐Hili jambo ni open for discussions.
Rumors na speculation ni mbinu hatari ya kijasusi, kitu watu wasichojua Wanaharakati walioko front ni Sehemu ndogo ya watu wenye nguvu walioko nyuma na wachoraji wa michoro
Mkata viuno hakuna post inakupita hasa ikigusa chama pendwa kinachokuweka hapo lumumba CHADEMA HEAHIMA KWAKO WEWE NI MKATA VIUNO BORA SANA HAPO LUMUMBA HUNA MPINZANIIIIIIkwani kuna wanaharakati au makuwadi tu wa mabwenyenye ya mgharibi Tanzania?
huku nimekupata na kukuelewa mkuu.On thecontrary.
Ngoja nikueleze jambo pengine utaanza kuona mwanga na haya yote yanayoendelea. Vinginevyo utanipa usumbufu mkubwa wa kueleza kirefu zaidi ya hivi nitakavyoeleza hapa.
Ni hivi: Tambua kwamba kuna waTanzania wengi tu wametekwa, kuuwawa au hawajulikani walipo kwa sababu tu ya "walitukana. walitumia maneno yasiyo na staha, n.k. kuhusu hawa msiotaka watangaziwe hayo hata kama ni ya uzushi.
Sasa naomba unieleze hapa mwenyewe; kama maneno ya vijana tu kama akina Mdude Nyagali yanawanyima raha mioyoni mwao kiasi cha kuwapoteza; haya ya "taarifa za uzushi" (kama mnavyopenda kuziita, inawaacha wakiwa na hali gani hao wahusika?
Hata kama hawajafa, au kupata hayo majanga wanayozushiwa, jiulize hali zao kiakili zitakuwa vipi? Haya siyo mateso ya kutisha kwa watu ambao wanapenda kuabudiwa kama miungu?
Na hata ukiachana na hali hiyo ngumu wanayokutana nayo kiakili, wewe unadhani watakuwa na utulivu gani dhidi ya hayo wanayotangaziwa kwamba yataendelea kuwa "uzushi" kila mara?
Tuliambiwa humu JF "Magufuli alikuwa anachapa kazi badala ya kuzurura Kariakoo"!
ila hapa nimesikitika sana , na sijategemea kabisa kama wewe unaweza andika hivi.Acha waTanzania waburudike, hata kama taarifa ni za uzushi zinapowahusu watu waovu kama hawa.
au asema uongo?Kumbe basi sawa
Heh ama kweli binadamu ni watu ๐๐ผ๐๐ผ
Mabwanyenye wapi hao unaowazungumzia !!!kwani kuna wanaharakati au makuwadi tu wa mabwenyenye ya mgharibi Tanzania?
Sina uhakika kwa kweli mkuuau asema uongo?
Unanishangaza.ila hapa nimesikitika sana , na sijategemea kabisa kama wewe unaweza andika hivi.
taarifa za uzushi athari zake moja wapo ni majanga yale ya mwaka jana, kwasasa naomba nikaushe usije sema nashangilia uovu wa samia
Hilda ndio anakurupka kuliko kawaidaYani huyo Maria na Hilda ni kama wapuuz flni hvi
kama burudani ni samia kufa , nachosema mimi wasiwe na haraka wao wasubiri tu afe wafurahi.Unanishangaza.
Hivi bado unafikiri Samia bado anazo njia za kufanya aliyofanya Octoba 2025?
naona tuna mtizamo tofauti sana juu ya hili.
Hata hivyo, hiyo "burudani" niliyolenga hapo haikuwa ya hayo unayozungumzia wewe.
Hata kama ni 'burudani" ya muda mfupi, kwa mtu kuhisi tu kwamba waovu nao wanao mwisho wao; katika hali ya sasa hiyo ni burudani ya kutosha kiakili kuwa nayo ; hata kama itabainika baadae hali haikuwa kama ilivyotegemewa. Lakini matumaini yataendelea kuwepo; badala ya kukata tamaa na kukubali ushindi wa waovu.
sawa mkuuSina uhakika kwa kweli mkuu
Wakati mwema ๐๐ค
Inasikitisha sana.Halafu hawajifunzi
relax na utulize porojo gentleman na itapendeza zaidi ๐Mabwanyenye wapi hao unaowazungumziq !!!
Wale mnaowauzia madini, gas, na rasilimali zetu zote au ni wale mnaowapelekea bakuli kuomba misaada na kuisafisha Serikali kwa damu za 29/10/2025 ?
Hivi ni wewe unayeandika haya leo, au kuna mwingine anatumia jina?cdm tumeisupport kwa muda mrefu katika umri mdogo sana, sasa nyakati hizi wakileta ngonjera ni wao ndo wanakua wasaliti wa kwanza.
huyu bi mkubwa alipofika hapa wala haiihitaji nguvu kubwa kuiua ccm, na mimi ndoto yangu ilikua kumuona anapata kiti 2025 ๐ hiyo ccm ataibonda kwa mikono yake
"Herd Mentality" inavyofanya kazi utaiona kwenye mada za aina hiiNa hizo tetesi kila zikija, lazima kuwepo na jitihada za kujionyesha kwamba wako hai hawana shida.
Ndo utajiuliza mwenye tatizo haswa ni nani.
"pembe la Ng'ombe"! Hata babu yangu alilitumia kama zindiko.Kwenye mlango karibu na huyo Sheikh Kuna pembe la Ng'ombe?
Sasa ataongeza kitu gani tena wakati na yeye ni miongoni mwa hao hao tunaowalalamikia hapa?Ongezea nyama kidogo