Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Waweke hapa ushahidi wa kubakwa, badala ya kukoleza porojo......
 
Hao matapeli wapo kibao pale posta inabidi tuanze kuwasaka tuwarudishe kwao mmoja mmoja.
 
Hao wakenya wengi sana nadhani tuanze nao
 
Hao wakenya wengi sana nadhani tuanze nao
Mkuu makenya tayari yameshikia bango swala la bomba la mafuta la Uganda-Tanzania kwamba ni mradi ambao ni hatari kwa mazingira, yanapiga kampeni chafu hadi baadhi ya financiers wa mradi wameanza kujitoa.........kunyaland ni nchi hatari kwa maslahi ya Tanzania, jeshi lianze kuweka vikosi na silaha za kutosha kwenye mpaka na kenya ili kulinda maslahi ya nchi.
 
Hapa pagumu maana hata masharti ya kuingia na kuja kufanya Kazi humu wameshalegezewa
 
nigeria are scams... wanataka tuongelee walivokuwa wanataka kutupiga kuna moja alinijia miaka ya nyuma alijifanya mke wa mashoud abiola alifkia peacock hotel
 
Wasije tanzania ,tanzania ourself Tupo so blessed kuliko nchi yeyote africa wakwendeeeee[emoji28]
 
Dah kwel aisee angekuwa mzeee [emoji28]wangekoma
 
Waambie wasitujaribuu.....Na Mapichapicha yao ya Kishirikina!
 
Watu wenyewe wezi anaetaka kuibiwa nani!!!

Kabisa wanaijeria nao wanajiona watu ktk watu?
 
Haya wenzangu imekuwaje hawa watu weusi wenzenu tenaaa!...Miafrica bana ndo mlivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…