Napenda unapotetea hoja zako kwa mifano,muda utazungumza na ukweli utajulikana.Kwanini asikubali? Amekubali Kagame ambaye miaka ya awali alikataa kwa kinywa chake mwenyewe kuwa hataendelea na madaraka, tena kuna mara nyingine alihojiwa na Jenerali Ulimwengu. Ni mwaka jana tu ndipo Kagame akaanza kubadilisha kauli na kusema hana sababu ya kukataa maoni ya wengi kama wanataka aendelee. Hatimaye katiba ikabadilishwa na sasa anagombea na atashinda na kuweza kuongoza kwa miaka 7 mingine-baada ya kumaliza 14!
Amebakisha miaka mi3 tu.Akili zetu hizi, Mungu atusaidie. JPM anazaidi ya miaka 7 anayoruhusiwa kikatiba Kuendelea kuwa Rais. Wazo kama hili linakuja vipi Leo? Mbona safari bado ndefu sana?
Mimi namsupport JPM lakini lowa thinking kama hizi zinanikera.
Naunga mkono hoja, Magufuli aongezewe muda
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
P.
Aisee wewe unaongea nini? Mngekuwa na uwezo wa kuwakomesha mngekubali kutowaliwa na hao hao miaka 51? Au unajiliwaza kwa kuropoka mitandaoni tu?Hana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.
Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
Amebakisha miaka mi3 tu.
Ili aendelee ccm wafanye tena uchaguzi wa ndani alafu akishinda ndio atakuja tena kwa wanawanchi tumpigie kura akipambana na wagombea wengine anaweza akapigwa chini na wana wanchi akaongoza mwingine.
Ujinga na ukosefu wa elimu wa watanzania walio wengi ndio mtaji mkubwa kwa wanasiasa na viongozi wasio waadilifu.Povu la nini?? Waacheni wananchi waongee!!
hivi unadhani ya kibiti ni nini, vita huanza hivi hivi, kama watataka damu imwagike basi wabadilishe, mnatuona mazwazwa sanaUtafanya nini wewe??
Mkuu wewe unaangalia leo lkn mtukufu ameona Mbali hii Move usidhani inafanyika kwa Bahati Mbaya wameanzia huko viijijni wanapima Uwepo siku zinavyozidi kwenda watasogea Mjini....then utasikia wananchi Maskini wanaoonewa wameniombaNgoja arudi mitano tena uone km hao wananchi watantaka tena, haya maigizo ya awali tu. 2021 wataandamana kumkataa
Alitaka kivuko cha Bagamoyo kifanye kazi mbona ameshindwa/kimeshindwa[emoji84] [emoji85]Hahahaaa kama wewe si mtanzania hilo ndio waweza ona gumu lakin kama ni mtanzania basi amini kuwa hakuna kitu ambacho rais atataka kifanyike nchi hii kikashindikana.
Rwanda wanaishi kwa raha sana! PK aliongeza miaka ikwa saba,vipindi vitatu! Na akitoka madarakani anarudish vipindi viwili miaka mitano mitano. Hizi nchi zetu ukiwa laizerfair leader utavuna mabua. Jk alisema pesa za escrow sio za umma il leo tumeambiwa ni za umma kuna tofauti kubwa sana kati rais mwenye uchungu na nchi na rais mwenye uchu na nchi!ENDELEENI KUKUSANYA KUNI.
MOTO UNAKUJA.
MAANA MNAONA BURUNDI WANAISHI KWA RAHA MUSTAREHE.
Akiamua kubadili KATIBA utamfanyaje... kama amekataza Bunge lisionwe Kimya Vyama Pinzani visifanye SIASA naimekuwa.... kipi kitakufanya umpinge... Tuwalaumu waliotuleteaHana lolote,mbona hapatakalika.Yaani katiba ya nchi ivunjwe hivihivi pakubwa hivyo tumtazame tu!?.Acha avunje vile vidogovidogo Ila kwenye miaka ya kuongoza asahau.
Na hao waropokaji tulishawazoea.Walisema kwa Mkapa,wakaja kwa JK na wimbo wao huoho wa kuongezewa miaka.Na leo tena wamerejea,tutawakomesha!!
ondoeni ujinga hapa, kwanza katiba mshaivunja mnafanya mnavyojua nyie sijui mnatumia katiba ya somaliaNaunga mkono hoja, Magufuli aongezewe muda
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
P.
kwani katibabya chadema mnaijua, mbona cheyo ni mwenyekiti tangu chama chake kianze hammsemi, labda ni katiba yao, unataka katiba ya kila chama ifanane na ya ccm, zwazwa kweli wewe, dovutwa nae mwenyekiti, tlp mrema the same, mbona hamuwasemi haoAcha ramli chonganishi!!!Mbowe kabadili katiba kinyemela kuwa Mwenyekiti wa maisha hujafungua thread