Nakwambia kuna wenda wazimu huku mkuu.Ni kweli usemayo hata mm nakubali Mbowe kachemka. Ila huko cdm kama hukubaliani na hilo unaweza kuhama chama au kuanzisha cha kwako kama Zito. Je kwenye nchi? Kweli unaweza fananisha katiba ya nchi na ya cdm? You can't be serious.
Tutaomba wapinga dhuluma wa kibiti, kuipinga hiyo dhulmaKuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
Upo sahihi kabisa Mayala, Kwa kasi hii ya Rais Magufuli kuna haja ya kufanya uchaguzi wa Rais 2020.Naunga mkono hoja, Magufuli aongezewe muda
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
P.
Duh mkuu usiongelee wingi,Ongea wewe kama wewe!Ngoja arudi mitano tena uone km hao wananchi watantaka tena, haya maigizo ya awali tu. 2021 wataandamana kumkataa
CCM tunampongeza Magufuli kwa jitihada zake za kutekeleza ilani ya CCM iliyomuweka madarakani.Watu wanalazimishwa kumpongeza na kuandamana
ajabu sana
Majaliwa Kasim ndiyo mridhi wa JPM hutaki basi.....
Kabla ya uchanguzi 2015 kulikuwa na maneno kama haya kuwa Kikwete anataka kuogeza mda hadi 2018....
Sema humtaki sio hatumtakiHatumtaki bana tusha mchoka.. Wakati anzishe jamhuri ya chato ukoo.. Nchi imezidi kuwa zig zag now
Kwani katiba ni nini mbele ya maendeleo? .ondoeni ujinga hapa, kwanza katiba mshaivunja mnafanya mnavyojua nyie sijui mnatumia katiba ya somalia
na ndio maana hatuendelei mitanzania inakera hadi unawish kuitapika! mara utasikia mara yameandamana mara iringa! yaan natamani itumbukie mtoni tu ituache watu wenye weledi tuendelee kusurvive
Ati wana nchi wameandamana Iringa!Bora wangesema wafanyakazi wa Serikali na Taasisi zake wameandamana,sijaona wana nchi maana kama biashara na mambo mengine walikuwa yana endelea.
Hilo huenda likawa fumbo la imani. Maendeleo bila katiba na siyo bora katiba bali katiba bora tena iliyo nzuri "HAIWEZEKANI"Kwani katiba ni nini mbele ya maendeleo? .
Paskali