Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Tanga wanawaza baikoko na vibao kata tu.
Wajinga pambaneni kimpango wenu ,hatuwezi kufuata uthenge wenu .. CHADEMA hakutokea kwety hatuna shobo nayo ...Jilinganisheni na watu wa porini wenzenu...Kama mnataka vita tangazeni mtaelewa kenge maji nyie
 
Wajinga pambaneni kimpango wenu ,hatuwezi kufuata uthenge wenu .. CHADEMA hakutokea kwety hatuna shobo nayo ...Jilinganisheni na watu wa porini wenzenu...Kama mnataka vita tangazeni mtaelewa kenge maji nyie
Nakuonea huruma wewe na kizazi chako.
 
Mbeya kuna watu na nusu. Kwetu Kilimanjaro kila mtu angekuwa anakunywa zake mbege saivi.
Kilimanjaro wenye akili wengi wao wapo nje ya mkoa. Waliobaki ni walevi na wanaondekeza uzinzi wa hapa na pale.

Ndio maana Kilimanjaro uchumi WA kati umeshikwa sana na pombe safi na chafu.

Nilienda kwenye msiba Marangu na jamaa mmoja wa pwani, ameshangaa sana asubuhi pale Marangu mtoni wazee wamechomekea fresh wameshaagiza bia zao na supu. Siku ya kazi. Nikamwambia wastaafu hao usiige au wanatumiwa Hela Toka mjini.

Kwahiyo asubuhi saa kumi na mbili uko Rombo kwenye viboboso/banana kumejaa.Tena unaenda kiwandani/local cha nyumbani unapimiwa na jagi. Ukienda Msaranga Moshi aubuhi wanawahi jikoni gongo ya moto na mapupu.

Sasa akina Lema, Mbowe and the likes si ndio hao wako mikoani.

Kilimanjaro umoja wenye nguvu ni misiba na sherehe. Vingine utajibeba.

So yes, akipotea wa kwenu unamtafuta mwenyewe.
 
Kwetu usingesikia watu wanahangaika hivi. Nakubaliana na wewe, kule kwetu umoja upo misibani na kwenye sherehe tu.
 
Reactions: rr4
Nyie wajinga mnaotekwa ndio nawaonea huruma ,peleka ushamba wako huko ..Tulipambania uhuru nyie mlikuwa bado hata kupiga mswaki hamjui na kuoga.
Kama hujui nchi zote zilizoendelea leo kuna wananchi waliojitolea kuwapambania wenzao. Hapa Tz naona wananchi hao ni watu wa Mbeya na Mara.
 
Binafsi naamini UVCCM huvishwa nguo za Polisi, Jeshi kukabiliana na wakosoaji, ili likitokea la kutokea wanamkana si mtu wao
 
RC Juma Homera ndiye aliyeratibu mauaji ya Mdude na yule dogo Chaula
 
Kama hujui nchi zote zilizoendelea leo kuna wananchi waliojitolea kuwapambania wenzao. Hapa Tz naona wananchi hao ni watu wa Mbeya na Mara.
Hamna hizo nguvu sasa tulizeni mishono , sisi tukiingia mzigoni mtaelewa , hatupendi kujichnagnya na washamba kama nyie , piganeni kimpango wenu , hamna uwezo wa kutuamrisha tufanye nn ..Unakumbuka zile vurugu za Mtwara , fanyeni kama zile tuone , nyie hamna cha kutushinda , endeleeni na ujinga wenu .
 
Huu ni ubinadamu, lakini hizo picha zinaonesha watu ni wachache mnoo, haifai kusema watu wa mbeya, nilitegemea kuona makundi ya watu, mbeya ina wakazi takribani milioni na chenji, picha inawakilisha watu wengi wa idadi ya watu 100 ila sio milioni, atleast tungeona picha zenye matukio tofauti, makadirio ya watu ifikie hata 100k hivi, hapo pingezi ndio zingeenda kwa wana mbeya
 
Kweli mkuu ila kuna mtu kasema wasukuma nao ni wapigania haki. Nimekuja nataka kuoneshwa msukuma mpigania haki hapa Tanzania tumjue. Km sio kina bashite tupu na meko. Type za watemi
Wasukuma wataonyesha hasira yao kwa kutompa kura Mzanzibari ambaye wanaamini ana mkono kwa kumtanguliza mwendazake, japo atatangazwa kuwa ameshinda kwa 99.9% lakini hataokota hata kura moja toka Usukumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…