Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Sorry ni typing errors
sijui tumefikaje hapa sijui, nipo na machungu sana na taifa hili , machozi yananitoka moyoni ,hii sio sawa hata kidogoWananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.
Pia Soma:
Typing error brotherJOhn Heche ama Tundu Lissu?
Mkuu wewe una amini lipi?Na unaamini hilo......
Sawa MkuuTyping error brother
Jwani sasa hivi yupo upande gani mkuu...... Unaamini heche ni clean kiasi hicho???..sasa hivi yuko upande wa HAKI.
..mbele ya safari akiamua kusaliti na kujiunga na wauwaji wa Ccm atapatikana mtu mwingine.
..Ccm ni wauwaji na wachumia tumbo muda wote.
Jwani sasa hivi yupo upande gani mkuu...... Unaamini heche ni clean kiasi hicho???
Unaifahamu kazi inayomuingizia kipato??
CHADEMA ni Project na hivyo ndivyo kwa LISSU, LEMA NA HECHE. subiri siku ya maandamano
Mkuu unaweza jiuliza sana hata wiki usipate majibu, hivi hili tafaifa sijui linaelekea wapi , katika tension hii kama taifa bado tunafanya upumbavu wa kiwango ichi tena bila sababu ya msingi , hapana hii sio sawa.Kuna shida gani akienda kuzika?
Wewe umelewa nini, Bangi?Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.
Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi
More news to follow:
Habari njema ni kuwa sasa waTanzania hao hao watakomesha udharimu huo.Tusingekuwa tumefika huku kama watu wangeonyesha active resistance dhidi ya udhalimu tokea mwanzo .
Sawa mkuu..sisi tunaangalia hoja hatuangalii sura ya mtu, au jina la chama.
..mnatakiwa mshughulikie hoja sio mtu.
..angalia ameondoka Maalim Seif sasa hivi yuko Othman Masoud.
..Hoja iko palepale. Sasa ya nini kupoteza fedha, na kuuwa watu?
..Ni rahisi na faida kwa kila mmoja wetu ikiwa hoja zitafanyiwa kazi.
Alikuwa anaenda msibaniHeche sema ukweli ulikua unaenda kufanyaje
Unaamini hilo???Alikuwa anaenda msibani