Sawa mkuu
Unataka aaminiwe nani Samia?Unaamini hilo???
NNgoja nijaribu hivii:You deserve human respect. Hawa watu wamedhibirisha kuwa kweli ni wanadamu, na siyo ile mizoga ambayo mwenzao anachukuliwa na wahuni watekaji mbele ya macho yao, wanaangalia tu, na kisha kwenda kuandika mitandaoni jinsi alivyochukuliwa. Watanzania tukiamka, hakuna mtanzania atatekwa na yale majambazi.
Utekaji unazo sababu zake...mnamwaga damu za watu wasio na hatia, na kuchoma pesa, kwa mambo ambayo yangeweza kuamuliwa kwa haki na busara.
..kwa mfano, mabadiliko wanayodai Chadema ni mabaya kiasi cha kulazimisha serikali na Ccm wateke, watese, na kuuwa wanaharakati?
..Vijana waliotekwa na kuuwawa walikuwa na uwezo wa kuzuia ushindi wa Samia na Ccm? Kwanini uteke na kuuwa watu kwasababu ya uchaguzi ambao uwezekano wa kushinda kihalali upo?
Cloud ❌ crowd ✅. PumbavTrust me hyo cloud ndogo ikiwa motivated enough polisi hawawezi kuizuia
Nyinyi wadhalimu muda wenu umefikaUnaamini hilo???
Sijui huyu jambazi wa Kizimkazi anataka kitokee nini kwenye hii nchi. It’s just a matter of time—atavuna anachopanda!Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.
Pia Soma:
Peoples powerNguvu ya UMMA
Heche sema ukweli ulikua unaenda kufanyaje
Nimejivunia kuwa sehemu ya watu hawa!!Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa Tarime wameonesha. People's Power.
Pia Soma:
Duuh, inaonekana Tundu Lissu kakukaa kichwani kwelikweli😀😀Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.
Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi
More news to follow:
Wamemtorosha Tundu lissu 🙄?Awali John Heche alizuiliwa katika mpaka wa Sirari asiingie nchini Kenya kushiriki mazishi ya aliyekua mwanaharakati nchini Kenya maarufu kwa jina la Odinga.
Wanachi waliokua wamejitokeza kwa wingi walizingira kituo cha polisi na kufanikiwa kumtorosha Tundu Lissu kutoka katika mikono ya polisi
More news to follow:
Siku zote uelewe kuwa Ile nyomi inayompokea mgombea sehemu A huwa inaletwa kutoka sehemu B na CNadhani lengo la polisi na vyombo vya ulinzi ni kuleta vurugu ili kusudi mama apigwe chini. Huwezi kumpenda mama halafu ukafanya hivi
Edit….
Halafu, si kuna mgombea urais alikuwa huko na alipokelewa kwa maelfu ya watu kihistoria? Sasa inakuwaje tena hayo maelfu yamekwenda kumuokoa Heche?
Tatizo sio kwenda tatizo ni ajenda iliyokuwepo awali kuhusu hizi tarehe.Kwani haruhusiwi kwenda nje ya Tanzania, mbona mpango na kikwete wameenda. Ata CCM mbona wanaenda nje tena wengine wanaenda kufanya vitu vya ovyo