Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
-
- #101
Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.Dr anashauri waende na polisi wenye silaha, sasa sijui hizo silaha za nini kwa wananchi ?
Inasikitisha sana
Kwahiyo ikitokea kutoelewana unashauri hizo silaha zitumike dhidi ya wananchi?Sasa mkuu hilo si eneo la mgogoro? Unajua migogoro ya ardhi kati ya wawekezaji na wananchi inavyokuaga na balaa...?
Ni muhimu kujihami na ulinzi ili waweze kufanya kazi yao kwa amani kama wataalamu. Unajua kwenye hili tukio walikwepo hadi viongozi wa kijiji ila na wao walidundwa vile vile na hao wananchi?
Hao wanaoenda na silaha watakaa na silaha zao kwenye eneo la mgogoro Milele?Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.
Kwahiyo hilo eneo likapimwe kwa lazima ?Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.
Viongozi wa kijiji walikwepo mkuu,Sip kwenda na ulinzi lazima wananchi washirikishwe na serikali ya Kijiji haya Mambo kufanya bila kushirikisha wananchi madhara yake ndo hayo sasa
Sasa mkuu kwa huu mgogoro uliopo kupima mipaka ni hatua ya awali ya muhimu sana kuanza utatuzi. Utatuzi utafanyikaje bila uhakiki wa hiyo mipaka ambayo ina mgogoro mkuu?Kwahiyo hilo eneo likapimwe kwa lazima ?
Lazima ifanyike consensus kwanza kumaliza chanzo cha mgogoro ndiyo wapime sasa.Sasa mkuu kwa huu mgogoro uliopo kupima mipaka ni hatua ya awali ya muhimu sana kuanza utatuzi. Utatuzi utafanyikaje bila uhakiki wa hiyo mipaka ambayo ina mgogoro mkuu?
Mkuu, consensus ya kumaliza mgogoro inafanyikaje wakati mipaka yenye mgogoro haijapimwa bado? Kinachogombaniwa kati ya mwekezaji na wananchi ni mipaka.... Wananchi wanadai mwekezaji kajitanulia mipaka na kuchukua hadi eneo la vijiji vyao; Mwekezaji anadai mipaka yenye usahihi ndio hiyo; Hatua ya kwanza ni wataalamu wa ardhi kwenda na ramani za ardhi eneo husika, kisha kufanya upimaji na kulinganisha kilichopo kwenye makaratasi ya ardhi na kilichopo kwa ground ili kuweza kutambua mipaka sahihi ili haki itendeke sasa wakiwa mezani wakati consensus inatafutwa.Lazima ifanyike consensus kwanza kumaliza chanzo cha mgogoro ndiyo wapime sasa.
Vinginevyo suggestion yako ni kutaka wananchi waporwe ardhi halafu waanze kuchinjana huko wewe uko Dar unakula baga.
Hakuna mantiki yoyote kwenda na silaha kwa wananchi ambao tumeapa kuwalinda kwa mujibu wa katiba ?
Kwanini utishie wananchi na masilaha?
Hao ni wataalam tu mkuu, wanaenda kufanya tu upimaji wa eneo linalogombaniwa, ambayo ni kazi ya siku moja tu mkuuHao wanaoenda na silaha watakaa na silaha zao kwenye eneo la mgogoro Milele?
Wakishatoka wananchi hawatachomana ?Hao ni wataalam tu mkuu, wanaenda kufanya tu upimaji wa eneo linalogombaniwa, ambayo ni kazi ya siku moja tu mkuu
Huwezi ukapeleka wataalamu kwenda kupima kabla hamjakubaliana modus operandi ya kutatua mgogoro.Mkuu, consensus ya kumaliza mgogoro inafanyikaje wakati mipaka yenye mgogoro haijapimwa bado? Kinachogombaniwa kati ya mwekezaji na wananchi ni mipaka.... Wananchi wanadai mwekezaji kajitanulia mipaka na kuchukua hadi eneo la vijiji vyao; Mwekezaji anadai mipaka yenye usahihi ndio hiyo; Hatua ya kwanza ni wataalamu wa ardhi kwenda na ramani za ardhi eneo husika, kisha kufanya upimaji na kulinganisha kilichopo kwenye makaratasi ya ardhi na kilichopo kwa ground ili kuweza kutambua mipaka sahihi ili haki itendeke sasa wakiwa mezani wakati consensus inatafutwa.
Sasa hilo litafanyikaje ikiwa wananchi hawa hawaruhusu? Ulinzi wa polisi ni ili kuwalinda wataalamu wakati wanafanya kazi yao, wasipate madhila na wala sio kumnyang'anya mtu ardhi yake.
Hata kama lingekuwa zoezi la saa moja tu kama wananchi hawajakubaliana na utaratibu lazima kusigana kuwepo.Hao ni wataalam tu mkuu, wanaenda kufanya tu upimaji wa eneo linalogombaniwa, ambayo ni kazi ya siku moja tu mkuu
Kabisa Wakiamua Lao Halishindikaniwananchi ndiyo wenye nchi.
Aliyeko selo ndiyo wananchi walimchagua lakini siyo Mbunge...CCM bwana?!Aliyeapishwa hawezi kuongea na wananchi.watamuuliza wewe ni nani?Ulichaguliwa na nani?!Uchunguzi hapo uwe makini.
Mbunge wa zamani na wasasa walisimamia upande UPI
Pili Mbunge wa zamani yupo selo.
Tume iwe huru kuchunguza hiyo issue.
Wakitumia nguvu watashindwa kujua kiini pia uhasama utakuwa mkubwa zaidi
We mpuuzi udikiteta sio Jina wala jinsia, Bali ni vitendo, so kwa kuwa jpm alikuwa dikiteta ndo ulitaka Jina la udikiteta kiwe hatimiliki yake? Hata marais watakaofuata baada ya dikiteta samia, kama nao watakuwa na elements za udikiteta pia nao tutawaita madikiteta Sawa.Si mpuuzi Tundu Lissu alimsema JPM kuwa ni dictator sasa na huyu mama. Inaonesha hampo serious
Ndio mkuu inabidi iwe hivyo..yaani wewe mwananchi unaona polisi wenye silaha kali wanakuambia tulia wataalamu wafanye kazi lakini wewe kwa ujeuri wako hutaki,wewe unachotaka ni kuwavamia na kuwatwanga hao wataalamu..ni haki yako kula risasi ya kichwa.Kwahiyo ikitokea kutoelewana unashauri hizo silaha zitumike dhidi ya wananchi?
We raia wa wapi ?
Kuwapiga risasi ndiyo kutamaliza mgogoro?Ndio mkuu inabidi iwe hivyo..yaani wewe mwananchi unaona polisi wenye silaha kali wanakuambia tulia wataalamu wafanye kazi lakini wewe kwa ujeuri wako hutaki,wewe unachotaka ni kuwavamia na kuwatwanga hao wataalamu..ni haki yako kula risasi ya kichwa.
Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo kila raia ana uwezo wa kumvamia tu yoyote ili aonyeshe ana hasira..watumie njia nyingine.
Farao bado ana moyo mgumu hataki kutupa ruhusa Ila bado tunahesabu tu mda si mwingi tutapewa ruhusaUnyanyasaji ukivuka viwango vya uvumilivu haya ndio matokeo yake