Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

Dr anashauri waende na polisi wenye silaha, sasa sijui hizo silaha za nini kwa wananchi ?

Inasikitisha sana
Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.
 
Sasa mkuu hilo si eneo la mgogoro? Unajua migogoro ya ardhi kati ya wawekezaji na wananchi inavyokuaga na balaa...?
Ni muhimu kujihami na ulinzi ili waweze kufanya kazi yao kwa amani kama wataalamu. Unajua kwenye hili tukio walikwepo hadi viongozi wa kijiji ila na wao walidundwa vile vile na hao wananchi?
Kwahiyo ikitokea kutoelewana unashauri hizo silaha zitumike dhidi ya wananchi?

We raia wa wapi ?
 
Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.
Hao wanaoenda na silaha watakaa na silaha zao kwenye eneo la mgogoro Milele?
 
Silaha kwa ulinzi wa wataalamu mkuu. Wananchi wakishakua na hasira namna hiyo kila mtu wa serikali au mtaalam atakaekuja kutoka wilayani most likely wataishia kumsulubu tu. Ulinzi wa polisi wenye silaha ni muhimu kuzuia vurugu za aina hiyo, la sivyo wataalam hawawezi kufanya upimaji wowote hapo kwa amani.
Kwahiyo hilo eneo likapimwe kwa lazima ?
 
Sasa mkuu kwa huu mgogoro uliopo kupima mipaka ni hatua ya awali ya muhimu sana kuanza utatuzi. Utatuzi utafanyikaje bila uhakiki wa hiyo mipaka ambayo ina mgogoro mkuu?
Lazima ifanyike consensus kwanza kumaliza chanzo cha mgogoro ndiyo wapime sasa.

Vinginevyo suggestion yako ni kutaka wananchi waporwe ardhi halafu waanze kuchinjana huko wewe uko Dar unakula baga.

Hakuna mantiki yoyote kwenda na silaha kwa wananchi ambao tumeapa kuwalinda kwa mujibu wa katiba ?
Kwanini utishie wananchi na masilaha?
 
Mkuu, consensus ya kumaliza mgogoro inafanyikaje wakati mipaka yenye mgogoro haijapimwa bado? Kinachogombaniwa kati ya mwekezaji na wananchi ni mipaka.... Wananchi wanadai mwekezaji kajitanulia mipaka na kuchukua hadi eneo la vijiji vyao; Mwekezaji anadai mipaka yenye usahihi ndio hiyo; Hatua ya kwanza ni wataalamu wa ardhi kwenda na ramani za ardhi eneo husika, kisha kufanya upimaji na kulinganisha kilichopo kwenye makaratasi ya ardhi na kilichopo kwa ground ili kuweza kutambua mipaka sahihi ili haki itendeke sasa wakiwa mezani wakati consensus inatafutwa.
Sasa hilo litafanyikaje ikiwa wananchi hawa hawaruhusu? Ulinzi wa polisi ni ili kuwalinda wataalamu wakati wanafanya kazi yao, wasipate madhila na wala sio kumnyang'anya mtu ardhi yake.
 
Huwezi ukapeleka wataalamu kwenda kupima kabla hamjakubaliana modus operandi ya kutatua mgogoro.
Ukishapima ukakata na maeneo ya watu si ndiyo kuongeza mgogoro ?

Ilitakiwa wahusika kwanza wakae wakubaliane modus operandi za kutatua mgogoro husika ndiyo zoezi la kupima lifanyike, kupeleka wataalamu wa kupima unilaterally kutangaza kuwa unataka kuwapora ardhi yao wataacha kureact ??

Anyway turudi kwenye masilaha, hayo masilaha ndiyo yatamaliza mgogoro ?
 
Uchunguzi hapo uwe makini.
Mbunge wa zamani na wasasa walisimamia upande UPI
Pili Mbunge wa zamani yupo selo.
Tume iwe huru kuchunguza hiyo issue.
Wakitumia nguvu watashindwa kujua kiini pia uhasama utakuwa mkubwa zaidi
Aliyeko selo ndiyo wananchi walimchagua lakini siyo Mbunge...CCM bwana?!Aliyeapishwa hawezi kuongea na wananchi.watamuuliza wewe ni nani?Ulichaguliwa na nani?!
 
Si mpuuzi Tundu Lissu alimsema JPM kuwa ni dictator sasa na huyu mama. Inaonesha hampo serious
We mpuuzi udikiteta sio Jina wala jinsia, Bali ni vitendo, so kwa kuwa jpm alikuwa dikiteta ndo ulitaka Jina la udikiteta kiwe hatimiliki yake? Hata marais watakaofuata baada ya dikiteta samia, kama nao watakuwa na elements za udikiteta pia nao tutawaita madikiteta Sawa.
 
Kwahiyo ikitokea kutoelewana unashauri hizo silaha zitumike dhidi ya wananchi?

We raia wa wapi ?
Ndio mkuu inabidi iwe hivyo..yaani wewe mwananchi unaona polisi wenye silaha kali wanakuambia tulia wataalamu wafanye kazi lakini wewe kwa ujeuri wako hutaki,wewe unachotaka ni kuwavamia na kuwatwanga hao wataalamu..ni haki yako kula risasi ya kichwa.

Hatuwezi kuwa na Taifa ambalo kila raia ana uwezo wa kumvamia tu yoyote ili aonyeshe ana hasira..watumie njia nyingine.
 
Kuwapiga risasi ndiyo kutamaliza mgogoro?
 
Back
Top Bottom