Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Nachingwea Mbunge Dr Chinguile Amandus mwaka huu mwanzoni Hali ni hoyohiyoDuh hii nje na ya Mtaturu Singida Mashariki?..maana niliona kwenye page ya Mh Sugu X, video ya huyo Mh Mtaturu na yeye, akivurushwa
Tena wamrarue rarueHuyo Angelina Mabula kiukwel anajisahau sana acha wamfurumue tu
Usitoboe Siri. Tunataka 2025 tuishangaze CCM Kwa upuuzi wao wa kutuletea yeyote wanayemtakaHata Samia tu hatumtaki ndo sembuse wabunge
Wabongo wengi hawana muda wakufatilia mambo ya msingi katiba tunayoitumia kwa sasa ilitakiwa iwe imesomwa na nusu ya watanzania hii ndio ingetupa picha nzuri hata wananchi tunapopata nafasi kuonana wabunge wetu basi tuwape maagizo ya kubadilisha vifungu vya katibaNimeuliza wana uhakika gani hakupeleka kero yao bungeni au mahala panapohusika?
Kwani Tanzania kuna sehemu isiyo na kero ya wananchi? Masaki tu kule wanapokaa mabalozi na washua kuna kero hadi za takataka kutokusanywa kwa wakati!
Nchi hii wananchi kutokana na ujinga wenu mnapigana na msichokijua. Mbunge hakusanyi kodi, mbunge sio afisa masuhuli. Kwa katiba yetu hii mbunge ni boshen tu.
Siku mkipata akili vizuri mtajua shida ni Katiba yetu ndo mtafanya maamuzi sahihi. Ila kwa kuwa kwa sasa bado mna ujinga mwingi, endeleeni tu na ujinga wenu. Na mkiweza mtafukuza wabunge wote kila siku.
Inabidi tutengeneze undugu dogoš¤£š¤£Nipo tayari kaka mkubwaš
Wewe umekisoma hicho kijitabu?Wabongo wengi hawana muda wakufatilia mambo ya msingi katiba tunayoitumia kwa sasa ilitakiwa iwe imesomwa na nusu ya watanzania hii ndio ingetupa picha nzuri hata wananchi tunapopata nafasi kuonana wabunge wetu basi tuwape maagizo ya kubadilisha vifungu vya katiba
Kabisa kaka,pasikosekane debe la mbege tu pembeni brošInabidi tutengeneze undugu dogoš¤£š¤£
Kwani kafukuzwa na CDM kafukuzwa na vijana wa CCM yenyewe.Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.
Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?
Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Hapo Ilemela pagumu!!Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Samia aliona ya kazi gani, akamfurusha kwenye aridhi.Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Hayo mawazo mgando ya kichawa yanadumaza sana demokrasia!Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.
Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?
Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
Mbege tu, sio issue. Muite Hope urassa aseme neno nifurahiš¤£Kabisa kaka,pasikosekane debe la mbege tu pembeni broš