Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Nimeuliza wana uhakika gani hakupeleka kero yao bungeni au mahala panapohusika?

Kwani Tanzania kuna sehemu isiyo na kero ya wananchi? Masaki tu kule wanapokaa mabalozi na washua kuna kero hadi za takataka kutokusanywa kwa wakati!

Nchi hii wananchi kutokana na ujinga wenu mnapigana na msichokijua. Mbunge hakusanyi kodi, mbunge sio afisa masuhuli. Kwa katiba yetu hii mbunge ni boshen tu.

Siku mkipata akili vizuri mtajua shida ni Katiba yetu ndo mtafanya maamuzi sahihi. Ila kwa kuwa kwa sasa bado mna ujinga mwingi, endeleeni tu na ujinga wenu. Na mkiweza mtafukuza wabunge wote kila siku.
Wabongo wengi hawana muda wakufatilia mambo ya msingi katiba tunayoitumia kwa sasa ilitakiwa iwe imesomwa na nusu ya watanzania hii ndio ingetupa picha nzuri hata wananchi tunapopata nafasi kuonana wabunge wetu basi tuwape maagizo ya kubadilisha vifungu vya katiba
Lakini wananchi wamekuwa ni watu wakulalamikia mambo madogo madogo kama takataka,Barabara nk
 
Wabongo wengi hawana muda wakufatilia mambo ya msingi katiba tunayoitumia kwa sasa ilitakiwa iwe imesomwa na nusu ya watanzania hii ndio ingetupa picha nzuri hata wananchi tunapopata nafasi kuonana wabunge wetu basi tuwape maagizo ya kubadilisha vifungu vya katiba
Wewe umekisoma hicho kijitabu?
 
Hivi hawa jamaa huwa wanajiamini nini aisee! Yaani unakuta mtu miaka mitano au kumi anazurura tu hakuna alicho kifanya halafu anarudi tena pale pale kwenda kuwadanganya raia.

Ni kwamba wananchi wanaonekana Kama matoi ya kuchezea au? Kuna vitu vinashangaza sana.

Kuna watu wanastahili kutandikwa viboko hadharani.
 
Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.

Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?

Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
Kwani kafukuzwa na CDM kafukuzwa na vijana wa CCM yenyewe.
 
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.

Tatizo sio Mabula, tatizo ni CCM...
 
Ungeweka na ushahidi wakati anakimbia kwa kufukuzwa au ndo mmeanza uchawa kwa kuchafua wenzenu?
 
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.

Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Hapo Ilemela pagumu!!

Vijana 2025 hawamtaki na hawataki kurubuniwa na wenye mapesa.

Awamu hii lazima tumuibue underground mwenye mapigo ya JPM!!

Wabunge wote wakongwe tupa kule
 
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.

Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Samia aliona ya kazi gani, akamfurusha kwenye aridhi.

Na hata ukifuatilia uhalali wa Ubunge wake wawezakuta ni rushwa tupu!
 
Kiongozi wao bibi chaudele na yeye atakimbizwa kwenye mkutano siku sio nyingi
 
Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.

Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?

Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
Hayo mawazo mgando ya kichawa yanadumaza sana demokrasia!

Huyo Mabula wa Ccm unaambiwa kadumaza jimbo miaka yote ya uongozi wake, halafu wewe unarudi kinyume nyume na hoja za kimangungo!
 
Back
Top Bottom