Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanya nini bwana mkenda?🤭😂😂😂 bora na huyu wa kwetu huku ushi rombo katupambania pambania ana pa kuhemea💯
Wasipolitumia vema hili gap la dp world na ngorongoro , sijui wataziweka wapi sura zaoChadema wakiwa makini watazoa viti vingi sana vya ubunge mwakani ni vyema waamasishe vijana wao wajisajiri kwenye daftari la wapiga kura
Yapo mengi sana kwani we mbunge wa kule kijijini kwenu ni nani ?Kafanya nini bwana mkenda?
Kama ni kweli hajafanya la maana!Atavuna Alichopandaa.Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Fukuzaneni tuWatafukuzwa wengi sana
Sio ujinga mkuu,Ahadi ya Mbunge kubwa ni maendeleo ya Wananchi sio V8!Tangu lini kazi ya mbunge ikawa kuleta maendeleo kwa wananchi? Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania!
Hakuwa msemaji/muwakilishi wao mzuri kuisimamia serikali iwafanyie maendeleo.Hakuchukua nafasi yake.Usitetee visivyojitetea.Tangu lini kazi ya mbunge ikawa kuleta maendeleo kwa wananchi? Ujinga ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania!
Anatetea visivyojitetea.Sio ujinga mkuu,Ahadi ya Mbunge kubwa ni maendeleo ya Wananchi sio V8!
Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.
Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272