Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

Wananchi wamfukuza Mbunge Angelina Mabula mkutanoni, hali yake mbaya jimboni kwa kutoleta maendeleo kwa wananchi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.

Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
Screenshot_20240808-070823.jpg
 
Kuna jamaa alioa binti yake miaka ya mwisho mwisho wa uhai wa JPM kisa alikuwaga waziri wa nini nini vile! Mara paap akakata moto, mama mkwe kachechemea kwenye uwaziri baadae katolewa saiv anajiliza mke hakumpenda alipenda status ya mamkwe, sasa ukiongeza na hii aroooo kazi anayo
 
Wana Ilemela wameamua ! Wamemfukuza mbunge wao Angelina Mabula katika mkutano wa hadhara, wananchi wamelalamika kwamba kwa miaka karibu kumi hakuna alichofanya.

Mbombo ngafu! Ni dhahiri sasa Jimbo la Ilemela liko wazi.
View attachment 3064272
Wanaweza kuwa ni WA mtaa au kata Fulani tuu sio Jimbo Zima.

Mwisho Huwa mnanishangaza sana ,tuchukulie mnaleta Wabunge wa Upinzani Sasa watafanya nini na hela zinatoka Serikali ya CCM?

Hayo mambo Yana maana kama mtashika Dola kinyume na hapo mtasalia hivyo hivyo bora mrudishe ccm hao hao.
 
Back
Top Bottom