Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

Wakati mwingine ni kasumba zetu Waafrika, kudhani kila kitu ambacho kimesemwa na Mzungu basi itakuwa ni kitu cha maana.

Inawezekana kabisa kuwa umeamini maelezo hayo ya kuponda jogging, kwa sababu aliyeponda ni Mzungu, ndiyo maana ukaileta humu.

Ova
 
Tatizo wabongo wanadhani kila mzungu ana akili, kuna wazungu wengi tu ma vilaza pia.Kama hilo zungu ulilolisoma litakua likilaza; Mazoezi muhimu kwa afya ila yasizidi.Too much of anything is harmful....period!
 
Sasa kuna ulazima wa kukimbia barabarani kama mwehu ilihali mwili unaolishwa kulingana na mahitaji unatosha kuchoma hayo mafuta ?
Kuchoma mafuta si goal pekee, ni moja tu kati goal nyingi za kufanya jogging.

Pia, tukizungumzia angle ya mafuta ya mwilini sikweli kuwa mafuta yaliyo mwilini huo mwili ulilishwa kulingana na mahitaji, mwili wenyewe unapokea tu haujali kihasi gani Cha calories umeupa (Am base to body).
 

Kwani Prof. Janabi anasema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…