Wengi moja wapo ni Mzee kingunge unamjua?Unajua, wewe Mzee Mohamed Said mimi huwa sikukubali kwasababu siamini kama una akili timamu. Ebu nikuulize, Mzee Lowassa alipoondoka CCM alikuwa na wanachama wangapi aliondoka nao?
Hata mkewe hathudhuria!Hujiulizi kwanini wanaitisha press na sio mkutano wa hadhara?
Mfano Mrema aitishe mkutano wa hadhara leo unafikiri atapata watu wangapi?
Duh we jamaa hupepesi macho kabisa. Mungu akubariki.Viongozi ndio walikuwa Wauza Duka sasa Yule Tundu Lisu amefunga Duka
Upo sahihi mkuuWanao ondoka CHADEMA ni mamluki na wachumia tumbo. Na njia inayotumika ni ya kisayansi sana. Imagine wanajiondoa wenyewe bila ya kufukuzwa na mtu.
Agosti sio mbali.Nimecheka vibaya, eti watu wataichoka cdm maana haitashiri uchaguzi. Kwanza wengi tunaikubali cdm si kwa sababu inashiriki uchaguzi. Chaguzi karibu zote chini ya Magufuli cdm haikushiriki, na bado tulizidi kuikubali cdm. Ifahamike wakati wa Magufuli alipiga marufuku siasa za upinzani na lengo hasa ilikuwa ni ili kuiua cdm, mbona hatukuichoka? Kama ni kuhama walihama wengi enzi za kuunga juhudi. Cdm ni imani si kushiriki, na imani yetu kwao si kushiriki chaguzi za kishenzi.
Wote uliotaja ndiyo hao hao mamluki Awana lolote zaidi ya kutumiwaJumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho.
Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya chama hicho ikiwemo ajenda ya kuhamasisha wanachama kugomea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliojivua ni Suzan Kiwanga aliyekuwa Mbunge Jimbo la Mlimba 2015- 2020, David Chiduo aliyekuwa Mwenyekiti mstaafu Jimbo la Kilosa, Magreth Raphael alikuwa Mjumbe mkutano mkuu Taifa, Sheila Mluba Alikuwa Mwenyekiti BAWACHA Jimbo la Kilosa kati.
Amandla...
huyo hana tofauti na msigwa nayesema, et jamani si mnaona uwanja ulivyo? huku sura na roho vikiwa havina ushirikiano.Suzanne kiwanga ndiyo amenishangaza sana, eti NRNE ilikuwa kuwatisha tuu upande wa pili na siyo ya kuing'ang'ania .
Nimemmind kinoma noma, na kumvua nyota zooote yule kibibie aisee hafai kumbe alikuwa mkuda tuuu mxiiiuuu zake.huyo hana tofauti na msigwa nayesema, et jamani si mnaona uwanja ulivyo? huku sura na roho vikiwa havina ushirikiano.
Wanachama hatuna uwezo wa kuita vyombo vya habari kutangaza. Mimi nikiona kiongozi wangu kahama nami najitoa ila Sina uwezo wa kuita vyombo vya habari kujitangaza.Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
upo sahihi kabisa mkuu, kwa hyo wewe ulihama na kilewo, suzan, devota, mrema au salum mwalimu?Wanachama hatuna uwezo wa kuita vyombo vya habari kutangaza. Mimi nikiona kiongozi wangu kahama nami najitoa ila Sina uwezo wa kuita vyombo vya habari kujitangaza.
Hivi huyo Mchome mbona hajitangaxi kujitoa? Maana naona ni chawa pro max FAM niliona sms moja anawalaumu wajumbe kwa kula pesa zao na kura hawajawapa mgombea wao.upo sahihi kabisa mkuu, kwa hyo wewe ulihama na kilewo, suzan, devota, mrema au salum mwalimu?
Mimi nilihama na Msigwa.upo sahihi kabisa mkuu, kwa hyo wewe ulihama na kilewo, suzan, devota, mrema au salum mwalimu?
hongera, kwa hyo unakuwepo pembeni yake wakt akiwa kabebeshwa picha ya mama?Mimi nilihama na Msigwa.
Sema na wewe mtibeli
Yeye Msigwa alihamia CCM Mimi Bado sijaamua niunge mkono chama gani. Nasubiri chama kitakachotoa mgombea sahihi navyoona Mimi nitakiunga mkono. Mimi sitaki Samia kwa kweli. CCM wakileta mtanganyika nitampa kura yangu.hongera, kwa hyo unakuwepo pembeni yake wakt akiwa kabebeshwa picha ya mama?
Fundi...Mohamed,
Ulitegemea mtikisiko gani? Kuwa watu waandamane mtaani kuwaunga mkono? Usilinganishe kuondoka kwao na walivyoondoka wakina Maalim CUF. CUF palikuwa na msuguano wa muda mrefu ambao uli play out in public. Hawa relatively kimya kimya. Watu wachache wachache wanaita presa wanasema wamejitoa kwenye uanachama, wanatoa sababu zao wanasepa. Kikundi chao hakina kiongozi wa wazi kama ilivyokuwa kwa kundi la Maalim.
Mtikisiko ungetokea kama wangejiuzulu pamoja na Mbowe. Hawa strategy yao ni tofauti kabisa na ya CUF/ Maalim na hata CDM. Badala ya kulenga kuwa na impact nationally, wanalenga kuwa na impact kila mmoja katika constituency yake. Watu kama Catherine Ruge, Suzan Kiwanga, Devota Minja n.k. wote wana watu ambao wanawaamini. Wanachokifanya ni kuwa watatengeneza platform wale ambao bado wana tumaini la kugombea wataweza kukimbilia. G-55 itaendeleza mpambano katika ngazi ya majimbo ya uchaguzi. Wakati wa uchaguzi watapambana kuhakikisha kuwa wanatendewa haki maana wengi wao ni wapambanaji wazuri. Hata kama watadhulumiwa tena lakini wataonekana wakipambana.Ukifika wakati wa uteuzi wa wagombea ndio tutajua nani kweli ni muumini wa dhati wa NRNE na nani wanafuata mkumbo.
Unauliza kama watakuwa na platform nyingine ya kuwasiliana na wananchi nje ya Chadema? Ni hivi:
1. Chadema haitashiriki katika uchaguzi wa mwaka huu na mwaka 2029. Kwa sababu hiyo hawatakuwa na platform ya kuongea na wananchi wakati wa kampeni za uchaguzi. Kitu pekee watakachoweza kuongelea ni NRNE. Hawataweza kusimama majukwaani kunadi sera zao na kuwaeleza wananchi namna ambavyo wao watakuwa bora kuliko CCM kama wakichaguliwa. Kama ikifika mwezi wanane bila ya wao kutoa maelekezo ya nini wanachama wao wanatakiwa kufanya ili uchaguzi usifanyike watu wataanza kuwachoka.
2. Baadhi ya G55 watagombea uchaguzi kupitia chama kingine na wengine wataungana na wenzao kupambana na CCM. Watu watawasikia na wataendelea kuwaona wakiwapambania. Aidha, watakuwa na muda wa kutosha wa kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi wa 2029 na 200.
3. Baada ya uchaguzi, Lissu na Lema watatumia muda mwingi na familia zao nje ya nchi.
4. Hali ya kifedha itazidi kuwa ngumu kwa CDM na watu wataanza kulaumiana kwa kufikishana watakapokuwa wamefikia.
5. Wanachama zaidi wa CDM watawafuata G-55 huko waliko.
6. CDM itafifia lakini haitakufa.
Hii hali haikutakiwa ifikie hapa ilipofika. Uongozi wa sasa wangeweza kuithibiti kwa kuhakikisha kuwa wanachama wote wa CDM wanaheshimiwa. Ingawa Mbowe alishindwa uchaguzi lakini bado yuko moyoni mwa wanachama wengi wa CDM. Kuachia watu wamtukane na kumkebehi kunawaumiza watu wengi kuliko wanavyodhani.
Amandla...
Wanaondoka Mamluki wanabaki pureWachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Hao political career yao imeishia hapo labda waende CCM ambaye ndiye sponsor wa hii movement na huko CCM wachache wanaweza kupewa vyeo serikalini.Mohamed,