Ww ndio yeye, sina faida yoyote ninayopata, labda useme ww unapata faida gani kwa kutaka cdm ife.Na wewe unaanza kutumia lugha ya CDM/Lissu? Kuniita John Mrema na mjinga kunakupa faida gani?
Amandla...
Fundi,Lakini si tayari amwmdhibiti na hawezi kushindana nae? Mimi nilidhani atamkuta amesimama tena.
Chadema ita survive lakini haitakuwa na nguvu ile ile.
Amandla...
Hao nyumbu hawana tofauti na ww unayetumika na watawala wakoloni weusi!Wanaoitwa wanachama siku zote Huwa ni nyumbu wa kutumika kuwanufaisha viongozi kama wanavyomnufaisha Heche na genge lake saizi
Tindo,Wanachama na wafuasi ni wachache watahama, viongozi litakuwa si jambo geni maana hata wakati wa kuunga juhudi walihama viongozi wengi, na vyeo wakapewa huko walikoenda, lakini ushawishi wa cdm umebaki vilevile. Labda hiyo agosti matamanio yako yatafikiwa.
Sio matamanio yangu bali naamini ndivyo itakavyo kuwa. Ushawishi wa CDM ulikuwa kwa sababu haijapasuka. Kukataa kulipna hilo ni kujidanganya.Wanachama na wafuasi ni wachache watahama, viongozi litakuwa si jambo geni maana hata wakati wa kuunga juhudi walihama viongozi wengi, na vyeo wakapewa huko walikoenda, lakini ushawishi wa cdm umebaki vilevile. Labda hiyo agosti matamanio yako yatafikiwa.
Una hakika kuwa mimi ni Mrema? Ukiniita Mimi sitapata faida yeyote CDM ikidhoofika. Nitasikitika kwa sababu kuna wakati niliiamini sana.Ww ndio yeye, sina faida yoyote ninayopata, labda useme ww unapata faida gani kwa kutaka cdm ife.
Msg,Ndugu yangu Mohamed Said, habari za siku nyingi. Nadhani tunajuana vizuri tu...tumetoka mbali na tumewahi kuwa na minakasha si haba.
Nyakati nyingi hatukukubaliana lakini kwenye jambo la wazi kama hoja uliyoiweka hapa tuko pamoja lakini kwa tofauti dogo tu katika mtazamo,
Mtazamo huo unaoutofautisha ni mdogo sana lakini una ujumbe mzito; wakati wewe unashangazwaa kwa yanayojiri, mimi sishangai hata kidogo.
Sishangai kwa sababu niliyategemea haya na sasa yanatokea kama nilivyoyatabiri. Mimi siyo nabii ila huwa najifanyia tafiti zangu japo si mtafiti kwa maana ya kusomea.
Katika lugha ya Kiingereza kuna maneno mawili yanayoelezea ukweli, fact na truth. Neno ukweli (fact) linahitaji ushahidi (evidence), lakini neno ukweli (truth) huwa ni self-evident.
Katika utafiti wangu uchwara, nilimshauri Mh. Mbowe asigombee kulinda heshima yake aliyoijenga kwa kipindi kirefu cha zaidi ya miaka ishirini!
Hata Mh. Mbowe mwenyewe awali, toka 2019, alionesha kusita kugombea lakini vongozi ambao kwa sasa ndilo hili kundi linalojiita G-55 walimshauri tofauti.
Kwa mara ya kwanza Mh. Mbowe akaonesha udhaifu ambao ulituacha wengine tulio na nia nzuri midomo wazi. Na sasa Mh. Mbowe anavuna alichopanda.
Chadema ilichagua uongozi mpya katika uchaguzi ulioendeshwa kwa haki, uwazi na bila mizengwe aina ya tuliyoishi nayo kwa kipindi kirefu toka mwaka 1995.
Niliposikia dukuduku za waliojiita G-55, niliwapa tahadhari wasi-underestimate nguvu na ushawishi waliokuwa nao viongozi wapya kwa wananchama wa Chadema.
Hii ni Chadema mpya, chama cha wananchi ambacho kila mwanachama kwa uchungu wake yuko tayari kupitia TONE TONE kukichangia hata kile kidogo alicho nacho.
Namshauri tena Mh. Mbowe asione haya, hajachelewa, aachane na kakikundi haka ambacho kiko tayari Chadema ife lakini mikono yao iende kinywani, aluta contonua!
Chadema haisambaratiki labda nguvu ya ziada itumike kuwateka, kuwaua na kuwapoteza mamilioni ya wananchi ambao kwa sasa ndio wafadhili wakuu wa Chadema.
Fundi,Nani angekimbia?
Amandla...
Unanikumbusha wimbo wa Robert Nesta Marley unao itwa "The Heathen".Fundi,
Aliyesubirishwa kuchinjwa alikuwa na nafasi ya kujinusuru kwa kukimbia wakati mchinjaji kenda kunoa upanga wake.
Kabla sijaenda kuwasapoti wale mamluki wa G55 bora Muumba aniondoe nikakutane na dikteta uchwara jpmCheka lakini tu usiwe miongoni mwamaadui wa taifa hili,kama g55 na wale chawa wa kijani kama mzalendo wakweli cheka,kwani vipo vicheko vya masikitiko pia,vipo vya furaha pia.
Enzi za Mrema NCCRA ilikuwa hivihivi. Usihadaike na umati watanzania kama huwajui wanakuingiza,king mapema sana.Wachina wana msemo, ''May you live in interesting times,'' yaani inapendenza kuishi wakati mambo yanatokea.
Nimejitahidi kueleza maana ya msemo huu kwa Kiswahili ingawa yawezekana pakawa na tafsiri bora zaidi.
Kila nikiangalia video ya viongozi wa CHADEMA ni viongozi peke yao ndiyo wanatoka chama na viongozi siku zote huwa watu wachache.
Hawa viongozi wanatoka chama lakini cha kustaajabisha sioni hata mwanachama mmoja kuwasindikiza.
Inanishangaza.
Kila nikiangalia mikutano ya CHADEMA mathalan mkutano wa Nyamagana Mwanza, kisha Mugumu, Musoma na kwengineko na kuangalia watu
wanaohudhuria mikutano hii kisha wanachama wa CHADEMA wanajikusanya
baada ya mkutano kuwasindikiza viongozi wao...
Ndugu yangu msomaji hebu malizia sentensi hiyo hapo juu.
Viongozi wanatoka chama na wanachama wa CHADEMA mtaani hawana
habari na viongozi hawa inanishangaza sana.
Kuna kitu hakijakaa sawa.
Naona kuna kitu hakijakaa sawa kati ya viongozi wanaotoka chama na wanachama
wabeba kadi za CHADEMA wanaojazana katika mikutano ya hadhara ya CHADEMA
kisha wakawasindikiza viongozi wao kwa shamra shamra baada ya mikutano.
Sijui kama na nyie wenzangu hili mnaliona.
Mohamed, hii haikuwa quote yako.Tindo,
Sina ninachotamani.
Najitahidi tu kutumia akili yangu kufikiri.
Narudia tena, matamanio yako wazi. Jitahidi usibadili hadithi.Sio matamanio yangu bali naamini ndivyo itakavyo kuwa. Ushawishi wa CDM ulikuwa kwa sababu haijapasuka. Kukataa kulipna hilo ni kujidanganya.
Ila tufanye subira na ukweli utaonekana.
Amandla...
Unabishana na ukweliTukifanya hivyo swali lako linakuwa moot maana uli uliza itakuwaje wanachama wa CDM wanajazana kwenye mikutano ya hadhara ya NRNE lakini hawawasindikizi G-55 kwenye presa zao! Sasa kama hata kwenye mikutano ya hadhara hawaendi utashangaaje kutokuwepo kwao kwenye Presa za G-55?
Mimi naamini wanachama wanahudhuria mikutano ya hadhara na wapo wanaoungq mkono msimamo wa G-55. Lakini unachofanya ni deflection kutufanya tusizungumzie ukweli kuwa kuna viongozi na wanachama wa CDM wanatoka kwenye chama hicho
Kwa swali na ujinga uliyoandika kutomuamini kama ana akili timamu inadhirisha upstairs kwako hakuna kitu.Unajua, wewe Mzee Mohamed Said mimi huwa sikukubali kwasababu siamini kama una akili timamu. Ebu nikuulize, Mzee Lowassa alipoondoka CCM alikuwa na wanachama wangapi aliondoka nao?
Sasa hawa GG55 nani anayemkaribia lowasaUnajua, wewe Mzee Mohamed Said mimi huwa sikukubali kwasababu siamini kama una akili timamu. Ebu nikuulize, Mzee Lowassa alipoondoka CCM alikuwa na wanachama wangapi aliondoka nao?