Safi naona umeanza kuwa mzalendo😄 vyuo vyetuuu ofkoz 😄
Ova
Tunafatilia tu nondo zenu humuSafi naona umeanza kuwapa mzalendo
Tatizo lako unani fundisha vitu vya chekechea vya eletronic ambavyo mtu yoyote anavijua ....tatizo lenu mnachanganya SOURCE OF POWER NA IN PUT SIGNAL NA OUT PUT POWER..hapa tunaongelea in put signal na output power na ndiyo kuna hizo aina nne za amplifier...kwa hiyo hicho unacho sema wewe kuhusu source ya umeme ni muhimu...na kwenye sauti ni lazima source iwe na current ya kutosha maana sauti ni current siyo voltLwiva na agera ngoja ni wakumbushe kitu ukichukua transformer 2 zinazotoa output ya 30-0-30 wakati huo transformer moja ilisukwa na waya mnene na nyingine waya mwembamba hiyo ya waya mnene amplifier yake itakuwa na nguvu kwa sababu ili amplifier iwe na nguvu kitu cha kwanza power supply note hata iweje kama moto ni mdogo ila gain ni kubwa bado sauti itabaki kuwa ndogo na hata voltage zikiwa nyingi ila current ndogo upigaji utakuwa tofauti na current ikiwa nyingi
Ni sahihi ili upate 100w output unahitaji transfomer ya zaidi ya 150w depending na class ya amplifier unayotumiaLwiva na agera ngoja ni wakumbushe kitu ukichukua transformer 2 zinazotoa output ya 30-0-30 wakati huo transformer moja ilisukwa na waya mnene na nyingine waya mwembamba hiyo ya waya mnene amplifier yake itakuwa na nguvu kwa sababu ili amplifier iwe na nguvu kitu cha kwanza power supply note hata iweje kama moto ni mdogo ila gain ni kubwa bado sauti itabaki kuwa ndogo na hata voltage zikiwa nyingi ila current ndogo upigaji utakuwa tofauti na current ikiwa nyingi
Gain is used to match your audio source na amplifierHivi vitu vina tegemeana kwa nini na sema vinategemeana let say umechukua chaji mbili za simu moja ina amp 3 nyingine ina amp 1 zote zinatoa 5v ila amp ni tofauti hapo chaji yenye amp 3 itajaza haraka kwa sababu inatoa current ya kutosha hivyo hivyo kwenye amplifier yenye current ya kutosha itakuwa ina nguvu tofauti na yenye current ndogo sasa kutegemeana kupo hivi hata kama amplifier itakuwa na volt na current nyingi. ila gain ya amplifier ikawa ndogo basi hiyo amplifier itakuwa haina nguvu kiufupi ni kwamba hivi vitu vinategemeana
Hatuingizi current kwenye amplifier Bali volt ACTa
Tatizo lako unani fundisha vitu vya chekechea vya eletronic ambavyo mtu yoyote anavijua ....tatizo lenu mnachanganya SOURCE OF POWER NA IN PUT SIGNAL NA OUT PUT POWER..hapa tunaongelea in put signal na output power na ndiyo kuna hizo aina nne za amplifier...kwa hiyo hicho unacho sema wewe kuhusu source ya umeme ni muhimu...na kwenye sauti ni lazima source iwe na current ya kutosha maana sauti ni current siyo volt
Hapa hatuongelei source ya umeme hapa tunaongelea in put signal na out put power kuna mambo matatu hapo wewe unachanganya mamboHatuingizi current kwenye amplifier Bali volt AC
Wapi ushawahi Ina amplifier imeandikwa input signal ni 0.5A au 1A ..huwa inaandikwa volt either 0.2mV to 2v
Naongelea signal tunayoingiza kwenye amplifierHapa hatuongelei source ya umeme hapa tunaongelea in put signal na out put power kuna mambo matatu hapo wewe unachanganya mambo
1)Source of power ac or dc
2)in put signal
3)output power
Aina 4 za amplifier zote tunazungumzia no 2 na 3 yaani in put signal and out put power
Hivi vitu vinavyoweza tegemeana kwa nini na sema vinategemeana let say umechukua chaji mbili za simu moja ina amp 3 nyingine ina amp 1 zote zinatoa 5v ila amp ni tofauti hapo chaji yenye amp 3 itajaza haraka kwa sabuni inatoa current ya kutosha hivyo hivyo kwenye amplifier yenye current ya kutosha itakuwa ina nguvu tofauti na yenye current ndogo sasa kutegemeana kupo hivi hata kama amplifier itakuwa na volt na current nyingi. ila gain ya amplifier ikawa ndogo basi hiyo amplifier itakuwa haina nguvu kiufupi ni kwamba hivi vitu vinategemeana
Unajua kwanini inaandikwa hivyo ? Hizo ni constant volt ...kinacho badilika ukipunguza sauti au kuongeza ni current... hivyo current aziandikwi kwa sababu ni adjustableNaongelea signal tunayoingiza kwenye amplifier
Mimi ninaelewa jamaa ndiyo anachanganya mambo matatu hapa tulikuwa tonaongelea amplifier yenye utimilifu kwenye source..hivyo source hatukuionglea maana tuli fanya kuwa source ipo kamili ipasavyo...kuhusu kutegemeana ni kwamba electronic yote ipo hivyo... vitu vinategemeana ndiyo maana kuna mahesabu ya kujua uwiano wa vituNaona hamjaelewa nilichosema nimesema vitu hivi vinategemeana kama power source itakuwa dhaifu unadhani ikiingiza input kubwa utapata output nzuri huwezi kupata clear sound lazima upate distortion
Amplifier inatoa current ama ac voltage?Unajua kwanini inaandikwa hivyo ? Hizo ni constant volt ...kinacho badilika ukipunguza sauti au kuongeza ni current... hivyo current aziandikwi kwa sababu ni adjustable
Wewe kichwa chako ni kibovu nimetoka kukuambia kuwa kuna aina 4 za amplifier ulimwenguni ni 4 tu sasa unaniuliza swali gani ilo ...Amplifier inatoa current ama ac voltage?
Isipokuwa mimi tu 😁nyie mmekalili michoro mnasumbuana 🤣 🤣
hakuna anayejua kudesing amp apa nimegundua mmekalili michoro na melezo tuIsipokuwa mimi tu 😁
Mimi nakuundia kitu chochote cha electronic hata computerhakuna anayejua kudesing amp apa nimegundua mmekalili michoro na melezo tu