Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

Kupinga ndoa ni kampeni ya wanaosapoti mapenzi ya jinsia moja.

NB. Kama Baba yangu alimuoa mama yangu, nipinge ndoa mimi ni nani?
It's funny how some people will spend the rest of their lives with people they don’t even love, suffering every day, just because their parents got them married.
 
Hivi mtu utokee kwenye familia yenye upendo unapata wapi nguvu ya kuandika kataa ndoa😬
Marriage cannot guarantee a love

Unaweza kuwa na furaha pasipo ndoa

Na watu wanaokupenda kiukweli will stay by your side without any declaration.

Huhitaji ndoa just to be sure your partner is never going to leave you.

Kama hakupendi hakupendi tu, haijalishi kuna ndoa au lah
 
Point makin sana hii, Ndoa ni kutokujiamin ni kuforce umiliki/relation pindi ambapo upendo utaisha.
 
Ewaaa
 
Sawa
 
Wengine ni mashoga na wasagaji wasitupotezee muda.
 
You have covered verything.

Hii ya kula mbususu then ukiambia Mimba unakimbia ndio chanzo kikubwa.

People dont feel responsible for their actions
 
Soma comments za dada zenu kuhusu sakata la dr mwaka ndo utajua kwa nini wajanja tunakataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…