Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.

Pamoja na yote hayo haipaswi kuwepo na mjadala wa kuhamasishana watu wasioe/kuolewa au wasiingie kwenye ndoa. Katika hilo kuna watu wanaingia mkenge kwa kufata mkumbo au kumuiga mtu fulani kwa kuwa hataki kuoa/kuolewa nami sioi/siolewi. Hiyo sio poa kabisa kwa sababu watu wanatofautiana na kila mtu ana changamoto zake, changamoto za mke wa fulani haziwezi kuwa sawa na changamoto za mke wa fulani au za mume wa fulani haziwezi kuwa sawa na mume wa fulani. Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.

Kwahiyo nawaomba vijana ambao hamjaoa au kuolewa msiogope kuingia kwenye ndoa. Usiangalie na kulinganisha na ndoa ya fulani kwani ndoa yako haiwezi kufanana na hao wengine.

Kubali Ndoa
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Furaha
Ndoa ni Heshima
 
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba
Ni mashoga.Wanakazwa mgongoni.Subiri waje.Nistue nimetoka kidogo navuta kiko yangu yenye tumbaku mbichi kwenye kichuguu kile paleee!
 
Kwa nini mnaumia watu kupinga ndoa, jambo kama ni zuri acheni liji tangaze lenyewe.

Kwani wao wakipinga ndoa ni hasara zipi unapata wewe ?

Wewe kama ndoa kwako ina maana oa au olewa .

Na wao kama wana ona kuwa ndoa kwao haina maana waacheni waishi maisha yao.
 
Kwa nini mnaumia watu kupinga ndoa jambo kama ni zuri acheni liji tangaze lenyewe.

Kwani wao wakipinga ndoa ni hasara zipi unapata wewe ?

Wewe kama ndoa kwako ina maana oa au olewa .

Na wao kama wana ona kuwa ndoa kwao haina maana waacheni waishi maisha yao.
well said, kizuri kinajiuza chenyewe, hizi mambo za kuambiwa fanya hivi, wewe oa
hakuna kitu humo
Ni mtego
 
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.
Kuheshimiwa kama huna hekima,pesa ndugu heshima utaisikia tu,,kama furaha huna wewe au kutengeneze mawazo ya kusema nikioa au nikiolewa ndio nitakua na furaha mnadanganya vijana ukiingia kuoa kwa lengo la furaha mkuu utakimbia mke mapema baraka wala mafanikio hayaji kwasababu umeoa ama kuolewa mafanikio ya kiafya kimahitaji yanaletwa na hekima na kujituma sio uoe ndo utake kufanikiwa....kuoa ama kuolewa sio maonesho ila ndoa .
 
Hawa mabwana suala la kuoa au kuolewa ni suala binafsi na wala halipaswi kuwa swala la jamii. Kwa nini wao wana umia ?
wajinga ndiyo watakua lured kwa huo mtego
werevu tunasanuka mapema sana

wao washachezea, waache waendelee kuchezea
 
Wengi wao ni

Wazazi wao walikwepa majukumu ya malezi bora eg Mume kuendekeza michepuko na kusahau familia,Mke kuwekeza kumlisha limbwata Mume na kusahau kujaza upendo kwa watoto

Watoto waliotelekezwa kwa ndugu

Watoto wa michepuko

Mimba zisizo tarajiwa kisha zikakanwa

Waliopatikana kwa matokeo ya ubakaji. Mabazazi yanayobaka yalaaniwe yanatuharibia jamii

Waliokacha shule na kukimbilia kuvuta vijiweni,dating za kipuuzi,kula kimasihara

Waliopatikana vilabu vya matapu tapu

etc etc etc
 
Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa nyingi kuvunjika.

Pamoja na yote hayo haipaswi kuwepo na mjadala wa kuhamasishana watu wasioe/kuolewa au wasiingie kwenye ndoa. Katika hilo kuna watu wanaingia mkenge kwa kufata mkumbo au kumuiga mtu fulani kwa kuwa hataki kuoa/kuolewa nami sioi/siolewi. Hiyo sio poa kabisa kwa sababu watu wanatofautiana na kila mtu ana changamoto zake, changamoto za mke wa fulani haziwezi kuwa sawa na changamoto za mke wa fulani au za mume wa fulani haziwezi kuwa sawa na mume wa fulani. Halafu wengi wanaokataa kuoa/kuolewa wana changamoto za kisaikolojia ambazo wamezipata either kwa kushuhudia au kusimuliwa.

Kwahiyo nawaomba vijana ambao hamjaoa au kuolewa msiogope kuingia kwenye ndoa. Usiangalie na kulinganisha na ndoa ya fulani kwani ndoa yako haiwezi kufanana na hao wengine.

Kubali Ndoa
Ndoa ni Baraka
Ndoa ni Furaha
Ndoa ni Heshima
Kama ilivokuchora ndoa nikipaji tofauisha kuoa na ndoa
 
Wengi wao ni

Wazazi wao walikwepa majukumu ya malezi bora eg Mume kuendekeza michepuko na kusahau familia,Mke kuwekeza kumlisha limbwata Mume na kusahau kujaza upendo kwa watoto

Watoto waliotelekezwa kwa ndugu

Watoto wa michepuko

Mimba zisizo tarajiwa kisha zikakanwa

Waliopatikana kwa matokeo ya ubakaji. Mabazazi yanayobaka yalaaniwe yanatuharibia jamii

Waliokacha shule na kukimbilia kuvuta vijiweni,dating za kipuuzi,kula kimasihara

Waliopatikana vilabu vya matapu tapu

etc etc etc
kusingekua na michepuko kuna vizazi visingekuwepo so kuwa makini na maneno unayorusha
 
Back
Top Bottom