professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Swali je sayansi ina kubali kuhusu mwanamke kuzaa bila ya Baba.Hakuna sehemu biblia imeandika kuhusu kuzaliwa kwa Yesu Kristo kisayansi. Biblia ilizungumza kinabii kwamba bikira atabeba mimba.
Isaya 7:14 SRUV
Kwa hiyo Bwana mwenyewe atawapa ishara. Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mtoto wa kiume, naye atamwita jina lake Imanueli.
Jitahidi sasa na wewe kuitetea bibilia kisayansi kua Mtoto ina wezekana kuzaliwa bila BabaHakuna swali hata moja mmeweza kujibu zaidi ya porojo.
Nionyeshe wapi sayansi imesema imepinga kuhusu Yesu Kristo.Swali je sayansi ina kubali kuhusu mwanamke kuzaa bila ya Baba.
Sijawahi futa comment ya mtu humuHapa unaongea kama mental case. Kwanini umefuta hiyo komenti inayosema quran imejaa maboko?
Ujajibu swali weweNionyeshe wapi sayansi imesema imepinga kuhusu Yesu Kristo.
Unabadilisha swali, swali alisemi kua yesu kapingwa na wanasayansi.Nionyeshe wapi sayansi imesema imepinga kuhusu Yesu Kristo.
Kuna maswali hayajajibiwa hapa. Na mengine nayaongeza:Unabadilisha swali, swali alisemi kua yesu kapingwa na wanasayansi.
Hayo unayo yaona wewe hayaja jibiwa weka pembeni alafu jibu hili swali hapa ili uudhoroteshe uislamuKuna maswali hayajajibiwa hapa. Na mengine nayaongeza:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.
7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko.
Jibuni maswali mnayoulizwa.Hayo unayo yaona wewe hayaja jibiwa weka pembeni alafu jibu hili swali hapa ili uudhoroteshe uislamu
Huu ni uongo.Sasa 1 Stage Ni kupatikana kwa pande la damu ambalo ndio yai linalopatikana kwa mwanamke
Akili za majini hiziNyie bisheneni, ila sisi tunachojua yesu, wanaumme wenzie walimkanyaga kwa kujisingizia eti yeye ni Mungu.
Nakazia 💯🔨Kuna maswali hayajajibiwa hapa. Na mengine nayaongeza:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.
7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko.
Sasa kama wanasayansi hawajapinga wewe unapinga nini?Unabadilisha swali, swali alisemi kua yesu kapingwa na wanasayansi.
Wakati unakazia hayo tupeNakazia [emoji817][emoji375]
Umefuta komenti yako iliyosema quran imejaa matakataka.Sijawahi futa comment ya mtu humu
Chizi wewe soma swali hiloSasa kama wanasayansi hawajapinga wewe unapinga nini?
Mada imemaliza wiki lakini hawajibu.Kuna maswali hayajajibiwa hapa. Na mengine nayaongeza:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.
7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko.
Tunasubiria majibu yako.Na leo nakujibu moja baada ya jengine.
Kuhusu hayo maswali yako kwetu
Onyesha mahali sayansi imepinga kuhusu Yesu.Je sayansi ina kubali kua mwanamke anaweza shika mimba bila ya kukutanisha na sperm za mwanaume
Hujibu swali hizo ni porojo ili mwanamke ashike mimba stage hizi lazima zifuatweOnyesha mahali sayansi imepinga kuhusu Yesu.