Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #2,121
Kisayansi ngano ikipandwa inakufa ndipo ifufuke kama mmea.Mnasema Yesu kafa kazikwa na siku tatu baadaye kafufuka huu ni upotofu
Ki science.
Wanasayansi wanatuonesha namna halisi ya mwanamke kupata mimbaIssa alizaliwa bila baba?
Wanasayansi wanatuonesha namna halisi ya mwanamke kupata mimbaTuletee hapa ushahidi.
Naomba ushahidi kwamba biblia inapingana na sayansi kuhusiana na mwanamke kubeba mimba.Wanasayansi wanatuonesha namna halisi ya mwanamke kupata mimba
Na bibilia inatwambia tofauti hapo huoni kua inaipinga sciences bibilia
Alafu wakati unajaribu kutafuta ufumbuzi wa kisayansi kuhusu YesuKifo cha kwenye bibilia kina potosha zaidi sciences
Mnasema Yesu kafa kazikwa na siku tatu baadaye kafufuka huu ni upotofu
Ki science.
Unaruka ruka sana hii mary alipata ujauzito bila Baba je ni uongo?Naomba ushahidi kwamba biblia inapingana na sayansi kuhusiana na mwanamke kubeba mimba.
Je yesu alikuwa ni ngano ya aina gani?Kisayansi ngano ikipandwa inakufa ndipo ifufuke kama mmea.
Wapi imeandikwa aliona dunia nzima?Utwambie ni mlima gani huo mrefu zaidi unaoweza kuiona dunia nzima nika talii huko
Baba yake issa ni nani?Unaruka ruka sana hii mary alipata ujauzito bila Baba je ni uongo?
Na kama kweli je sayansi inakubaliana na hili
Unaruka ruka sana hii mary alipata ujauzito bila Baba je ni uongo?Baba yake issa ni nani?
Tuoneshe huo mlima tunao weza ona falme zote za Dunia?Wapi imeandikwa aliona dunia nzima?
SawaKitabu kilichoandika uongo hakiwezi kumfikisha mtu katika hatma nzuri.
Unafahamu falme za dunia zilipokuwa enzi zile?Tuoneshe huo mlima tunao weza ona falme zote za Dunia?
Nitajie mlima falme kaa nazo mwenye weUnafahamu falme za dunia zilipokuwa enzi zile?
Kwanini unataka mlima ikiwa hata hujui falme zilipokuwa?Nitajie mlima falme kaa nazo mwenye we
Swali rahisi sana je sciences ina kubali kwamba mimba inaweza kutunga bila mume na mke kufanya ngono au yai la mwanamke kurutubishwa na sperm?Kwanini unataka mlima ikiwa hata hujui falme zilipokuwa?
Zile nilizokuwekea umeziona. Kwa hiyo sasa hivi umehamia kwenye New King James Version ndiyo kwako sahihi? King James Version ina kasoro?Kila siku nawaambia madrasa zinaharibu akili. Hizi verse hapa zipo kwenye NKJV
New King James Version (NKJV)
1 John 5:20
And we know that the Son of God has come and has given us an understanding, that we may know Him who is true; and we are in Him who is true, in His Son Jesus Christ. This is the true God and eternal life.
He who has the Son has life; he who does not have the Son of God does not have life.1 John 5:12
Whoever confesses that Jesus is the Son of God, God abides in him, and he in God. 1 John 2:23
Acha kufanya uongo kwa ajili ya allah.
Unafahamu ufalme ni kitu gani?Swali rahisi sana je sciences ina kubali kwamba mimba inaweza kutunga bila mume na mke kufanya ngono au yai la mwanamke kurutubishwa na sperm?
A taja uo mlima mrefu ninao weza kuziona falme zote za Dunia?
Huna jibu waulize wanasayansi wako wakusaidie
Ukileta qoute haina jibu haita faa kitu.
Pitia link uliyowekewa ambayo ina original manuscripts uache kusumbuka na translations. Ukiweza na wewe tengeneza version yako.Zile nilizokuwekea umeziona. Kwa hiyo sasa hivi umehamia kwenye New King James Version ndiyo kwako sahihi? King James Version ina kasoro?
Hizo zitabadilishwa taratibu. Unadhani version zimeisha.
Hiyo new king james version imechapishwa 1982.
Kuna nyingine imetoka mpya 2021 nadhani haujui vitu gani vimerekebishwa.
Unaifahamu 'original manuscript' iliyopatikana na kunadiwa official website? Una taarifa baadhi ya aya hakuna kama 1 John 5 7 na nyinginezo ambazo zimeongezwa kwenye biblia nyingine?Hiyo ni link ya biblia na original language pamoja na transaction nyingi zilizofanyika Ina translate neno kwa neno kutoka lugha ya mwanzo