Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Unamwamini Muhammadi ?Acha ubabaishaji jibu swali kwanini uzalio wa Yesu unapingana na wanasayansi
Na tulisha waambia sisi ufanyaji kazi wa Allahu hatuna mashaka nao
Ila mkaja wataalamu mkatwambia quran ina makosa ina pingana na science
Sasa nataka nione hii bibilia ambayo haijapingana na science ina nipa majibu
Nyinyi jadilianeni mkimaliza wewe motik champion mnipe majibuUnamwamini Muhammadi ?
Maswali yetu hamjotao majibu ,Nyinyi jadilianeni mkimaliza wewe motik champion mnipe majibu
Nyinyi hangaikeni mkimaliza mniambie sayansi gani inakubali mwanamke anaweza kupata ujauzito bila Ngono au kupata sperm za kurutubisha yai?Maswali yetu hamjotao majibu ,
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?
- Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
- Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
- Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
- Mifupa inakuja kuvikwa nyama
N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
Hili swali mbona ulitakiwa uanze wewe kulijibu , kwa character wenu anaitwa Isa?Nyinyi hangaikeni mkimaliza mniambie sayansi gani inakubali mwanamke anaweza kupata ujauzito bila Ngono au kupata sperm za kurutubisha yai?
Hahahaha unajua kwanini siku wajibuHili swali mbona ulitakiwa uanze wewe kulijibu , kwa character wenu anaitwa Isa?
Unatakiwa ulijibu kwa kutumia isa kwanza , koran nyie ndio mnadai ina sayansi na hatuwabishii ila tunahoji sayansi mnazoziletaHahahaha unajua kwanini siku wajibu
Teari mshasema kua quran haijui sayansi
Aya sasa mtupe maelezo ya sayansi yanayo ikubali bibilia tafadhali
Ili kuoneshea ubora wenu wa bibilia
Na kama tukiamua kujibu sisi
Si tunalijibu bila shaka
Emu tupeni ufafanuzi wa kisayansi kuhusu ubebaji mimba wa mary
Hahahaha angalia sasa unashindwa kumtetea Mr Njiti kisayansiUnatakiwa ulijibu kwa kutumia isa kwanza , koran nyie ndio mnadai ina sayansi na hatuwabishii ila tunahoji sayansi mnazozileta
Kuna mada yoyote inasema biblia na sayansi ?Hahahaha angalia sasa unashindwa kumtetea Mr Njiti kisayansi
Na nilimuomba ndugu yako anitajie mlima mrefu ninao weza kusimama na kuziona falme za Dunia hii naona kanikimbi au bibilia imeniongipea
Kama video ulisha ziona na wanasayansi hawaku andamana kuzipinga nyinyi akina nani mkaleta tafsiri mnazo zijua nyinyi ili kupingaKuna mada yoyote inasema biblia na sayansi ?
Koran mpaka video mmetengeneza maelfu kuongelea sayansi iliyomo
Jibu maswali yanayohusiana na mada hii.Nyinyi jadilianeni mkimaliza wewe motik champion mnipe majibu
Nyie ndio mlikuja manataka kubadili koran na kubadili maelezo ya MuhammadKama video ulisha ziona na wanasayansi hawaku andamana kuzipinga nyinyi akina nani mkaleta tafsiri mnazo zijua nyinyi ili kupinga
Tena mbaya zaidi mkazikataa na video zote mlizo pewa
Bila ya sababu za msingi
Quran kuandika mambo ambayo ni ya uongo kwa mujibu wa sayansi inathibitisha kwamba mwandishi wa hicho kitabu hawezi kuwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi.Hahahaha unajua kwanini siku wajibu
Teari mshasema kua quran haijui sayansi
So hata mkijibiwa mnahisi kama mnaonewa tu kwa sababu mlishaandaa majibu yenu
Aya sasa mtupe maelezo ya sayansi yanayo ikubali bibilia tafadhali
Ili kuoneshea ubora wenu wa bibilia
Emu tupeni ufafanuzi wa kisayansi kuhusu ubebaji mimba wa mary
Nimekuambia unitajie falme zilizokuwepo kipindi kile na location zake umeshindwa kujibu.Na nilimuomba ndugu yako anitajie mlima mrefu ninao weza kusimama na kuziona falme za Dunia hii naona kanikimbi au bibilia imeniongipea
We hangaika ukimaliza unipe jina la mlima nikataliiQuran kuandika mambo ambayo ni ya uongo kwa mujibu wa sayansi inathibitisha kwamba mwandishi wa hicho kitabu hawezi kuwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
Kwahiyo imani yenu ni kazi bure na hatma yenu ni moto wa milele.
Sasa umemwambia nani mimi ndio YesuNimekuambia unitajie falme zilizokuwepo kipindi kile na location zake umeshindwa kujibu.
Yani huna hata kapicha kamoja cha kumtetea njiti wakoQuran kuandika mambo ambayo ni ya uongo kwa mujibu wa sayansi inathibitisha kwamba mwandishi wa hicho kitabu hawezi kuwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
Kwahiyo imani yenu ni kazi bure na hatma yenu ni moto wa milele.
Quran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.Nikawa namuona na champion nae analazimisha anavyo taka yeye
Mlipewa maana kamili na video za kisayansi na chakushangaza kati yenu nyie na wanasayansi wepi walitakiwa kuzipinga videoNyie ndio mlikuja manataka kubadili koran na kubadili maelezo ya Muhammad
Maswali yamesimama hayana majibu page ya 110 leo
23:14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Allah Mbora wa waumbaji.
Allah ni mbora wa waumbaji? Allah anajifananisha na waumbaji wapi? na kwa nini ajione yeye bora kulikwa wao?
- Damu iliyoganda ndani ya mji wa uzazi
- Damu iliyoganda inakuwa Pande la nyama
- Pande la nyama linakuwa mifupa without flesh (mifupa tupu ndani ya mji wa uzazi)
- Mifupa inakuja kuvikwa nyama
N:B Muhamma anasema sperm inakaa ndani ya mji wa uzazi kwa siku 40 kinyume kabisa na Sayansi inayosema siku 5 : When the drop of (semen) remains in the womb for forty or forty five nights,.... Sahih Muslim 2644
Kama falme na maeneo zilipo hupajui kwanini unabisha kwamba Yesu hakuziona?Sasa umemwambia nani mimi ndio Yesu