professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Tuka kwambia tuletea mtaalamu wako wa lugha ili aikatae maana hukumleta wewe nani unakataa maana ikiwa wataalam wa lugha hawaja pingaQuran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.
Yani wewe ndio juha huwezi kumtetea njiti wakoKama falme na maeneo zilipo hupajui kwanini unabisha kwamba Yesu hakuziona?
Jibuni haya maswali:Tuka kwambia tuletea mtaalamu wako wa lugha ili aikatae maana hukumleta wewe nani unakataa maana ikiwa wataalam wa lugha hawaja pinga
Tumewaonesha vitabu vyenu na link tumewapa lakini mmevipinga mbele za watu na kuvikanaMlipewa maana kamili na video za kisayansi na chakushangaza kati yenu nyie na wanasayansi wepi walitakiwa kuzipinga video
Wewe lazimisha utakavyo ukimaliza utupe sasa kilicho accurate kwenye biblia kuhusu mimba Mary aliibebaje pasi na kushirikishwa kwa sperm ndani yakeQuran imeweka sayansi za porojo za mtaani enzi zile na sasa hivi kila siku mnahangaika kuzitetea na kutunga maana mpya za maneno yaliyotumika.
Ulivyo juha ungeonesha neno halisi kama limebadilishwa tafsiri ni juhudi za elimu katika kutafsiri neno la AllahuTumewaonesha vitabu vyenu na link tumewapa lakini mmevipinga mbele za watu na kuvikana
Wewe huna akili wala elimu tupe mwanasayansi anasema kua miaka 42 kabla ya Mohammedi ndio manuscript imeandikiwa?Jibuni haya maswali:
1. Baadhi ya manuscripts zilozopo birmingham england zinaonesha kuwa ziliandikwa 568-645 AD. Hii inaonesha Quran ilianza kuandikwa kabla ya kipindi cha Muhammad.
2. Kama malaika hawana freewill wasingeweza kufanya argument na Allah.
3. Muhammad alikuwa hajui kusoma lakini jibril alikuwa anamlazimisha asome. Ilitegemewa malaika awe anajua kwamba asingeweza kusoma au malaika angempa uwezo wa kusoma kimiujiza.
4. Mtiririko wa sperm kuwa damu iliyoganda halafu kuwa nyama kisha iwe mifupa na baadae ndio kiumbe mwingine atokee hauko sahihi.
5. Suala kwamba kiumbe kinachokuwa tumboni kinapewa pumzi baada ya miezi minne ni madai ya hatari sana
6. Sperm kutokea sehemu iliyopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.
7. Ushahidi kutoka Israel kuonesha kwamba issa aliwahi kuishi huko
568 AD ndio zilianza kuandikwa na muhammad alianza kukabwa mapangoni 610 AD kwahiyo kuna miaka 42 hapo ilikuwa inaandikwa bila kuhusika muhammad.Wewe huna akili wala elimu tupe mwanasayansi anasema kua miaka 42 kabla ya Mohammedi ndio manuscript imeandikiwa?
Hahahah muongo ni kati ya miaka hii 568 mpaka 645568 AD ndio zilianza kuandikwa na muhammad alianza kukabwa mapangoni 610 AD kwahiyo kuna miaka 42 hapo ilikuwa inaandikwa bila kuhusika muhammad.
Ulikuwa unaleta nukuu zako tukitaka uweka wapi umetoa unakwepa , yani ni kwamba wewe ndie skola wa waislamu na unamaandiko yakoUlivyo juha ungeonesha neno halisi kama limebadilishwa tafsiri ni juhudi za elimu katika kutafsiri neno la Allahu
Wewe ukataka tutumie tafsiri ulizo ziona wewe
Hivi hicho ulicho kiona kwenye web ndio tulikwambia tumekaa waislamu wote duniani tukapitisha hiko tu.
Nukuu ulipewa na zilipo tolewa pia ila mlikua mnaji kwepesha kuaangalia nukuu zime toka wapiUlikuwa unaleta nukuu zako tukitaka uweka wapi umetoa unakwepa , yani ni kwamba wewe ndie skola wa waislamu na unamaandiko yako
Embu tuanze na moja mojaWewe ukataka tutumie tafsiri ulizo ziona wewe
Lazima tujue ni skola gani , kama ni skola wa 2000 kuja leo hakubaliki anadanganya kulingana na wakatiNukuu ulipewa na zilipo tolewa pia ila mlikua mnaji kwepesha kuaangalia nukuu zime toka wapi
Vipi na video nazo ulikuwa unataka kujua zimetoka wapi
Alie kwambia kua mlango wa kutafsiri quran umefungwa ni nani?Lazima tujue ni skola gani , kama ni skola wa 2000 kuja leo hakubaliki anadanganya kulingana na wakati
Alie kwambia kua mlango wa kutafsiri quran umefungwa ni nani?Lazima tujue ni skola gani , kama ni skola wa 2000 kuja leo hakubaliki anadanganya kulingana na wakati
Ume nipa link nakupa maana ya maneno hapa chiniEmbu tuanze na moja moja
Allah alisema mbegu zinatoka kwa kuchupa kutoka uti wamgongo wa mwanaume na mbavu za mwanamke ,
embu engia kwenye link alalfu utoe nondo za kueleweka kuelezea hilo
86:7 issuing from between the loins of the man and the breast-bones of the woman.
Kwahiyo kila mwaka mnakuja na tafsiri mpya za quran?Alie kwambia kua mlango wa kutafsiri quran umefungwa ni nani
Kumbe sperm zinatokea kati ya mbavu na uti wa mgongo?Ume nipa link nakupa maana ya maneno hapa chini
Utwambie sasa sio yenyewe hiyo [emoji116][emoji116]View attachment 2383596
Hapo juu inaonyesha ni namna gani ulivyo iokoteza tafsiri.
Usiweke ma copy tuUme nipa link nakupa maana ya maneno hapa chini
Utwambie sasa sio yenyewe hiyo [emoji116][emoji116]View attachment 2383596
Hapo juu inaonyesha ni namna gani ulivyo iokoteza tafsiri.