Mimi nakupa link unaweza kwenda kusoma wewe unaweka ma screen shot haijulikani ata ulipo yatoaUme nipa link nakupa maana ya maneno hapa chini
Utwambie sasa sio yenyewe hiyo [emoji116][emoji116]View attachment 2383596
Hapo juu inaonyesha ni namna gani ulivyo iokoteza tafsiri.
Shida yako uitaki quran unataka scholers sioUsiweke ma copy tu
hii link ingia kaisome uje na nondo za kueleweka
maswali nakupa
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Unaona sasa , hii game hauiwezi kijanaShida yako uitaki quran unataka scholers sio
Kwanza hujajitaidi kumtetea njiti wako nataka jibu kisayansiKumbe sperm zinatokea kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Ndio ujinga wenu unapo anzia hapo wewe na sisi wepi wenye DINIUsiweke ma copy tu
hii link ingia kaisome uje na nondo za kueleweka
maswali nakupa
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Yaani ni vichekesho..🤣🤣🤣 mnahangaika sana kutetea uongo wa allah.Even though ribs and backbone are higher above, but it is used as a reference to find a center.
This is similar to when we normally say that our head is between our shoulders, when head is actually above shoulders
Wakati unaendelea kujitekenya uridi utwambie kisayansiYaani ni vichekesho..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnahangaika sana kutetea uongo wa allah.
Ndio unijibu maswali yangu sasaNdio ujinga wenu unapo anzia hapo wewe na sisi wepi wenye DINI
Unako taka Wewe ni kukubalika kwa maana yako umepewa maana ya neno kwa neno hutakiNdio unijibu maswali yangu sasa
maswali nakupa
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Champion naona unavyo tegea hapo aya vipi bibilia haijui kuhusu hata mlima mrefu unao weza ona dunia au ?Yaani ni vichekesho..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnahangaika sana kutetea uongo wa allah.
maswali bado yapoUnako taka Wewe ni kukubalika kwa maana yako umepewa maana ya neno kwa neno hutaki
Naona unashindwa mjadala kistaarabu
Aya nitajie mlima mrefu ninao weza kuziona falme zote za Dunia
Na Yule Njiti alipatikanaje bila Baba
Hahahahaha ona unavyo hangaika usiseme ni web ya waislamu we una uhakika gani kama waislamu wote walikaa waka iandaa iyo webmaswali bado yapo
1. Je ni web sahih ya waislam?
2. Kama jibu ni ndio , Je tafsri iliyowekwa ni sahih ya skola husika
3. Kama jibu ni ndio je skola husika yupo sahih au kakosea
Hakuna tafsiri mpya sema tafsiri usizo zijuaKwahiyo kila mwaka mnakuja na tafsiri mpya za quran?
Unapo sema link sio tatizo hapa tunacho angalia ni maana ya maneno husikaMimi nakupa link unaweza kwenda kusoma wewe unaweka ma screen shot haijulikani ata ulipo yatoa
kuwa makini kwenye mjadala
Tafsiri mnazotengeneza kuilinda quran.Hakuna tafsiri mpya sema tafsiri usizo zijua
Onyesha sehemu inaposema aliona dunia nzimaChampion naona unavyo tegea hapo aya vipi bibilia haijui kuhusu hata mlima mrefu unao weza ona dunia au ?
Imejisemea tu
Nimekupa maswali rahisi sanaHahahahaha ona unavyo hangaika usiseme ni web ya waislamu we una uhakika gani kama waislamu wote walikaa waka iandaa iyo web
Wakati unafunguka kiakili rudi uniambie vipi yule njiti kapatikanaje ki sayansi
Nimekupa maswali marahisi Sana unayakwepa kuyajibu kwa makusudiUnacho kitaja wewe ni maelezo sio tafsiri
Na tafsiri ulio pewa wewe ndio tafsiri inayo faamika na wanazuoni wote
Sasa sijui unalazimisha maelezo kua ndio tafsiri husika au vipi.
Aya tupe jina lake mlima alio ona falme zoteOnyesha sehemu inaposema aliona dunia nzima
Acha ubabaishaji hiyo sio translation hayo ni maelezoNimekupa maswali marahisi Sana unayakwepa kuyajibu kwa makusudi
Nimeweka mwanazuoni mpaka nukuu, wewe unasema tu wanazuoni na hutaji jina wala link ya hao wanazuoni, Nita debate na wewe kama utajibu maswali niliyokupa na kuacha janja janja