Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #221
Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.Si kweli hata kidogo, bibilia ndio kitabu chenye udhaifu mwingi sna, vitu Vingi ni vya kutunga mf
Walio ishi na yesu walimwita mwalimu, sasa wewe unaanzaje ku mwita mungu?, kati ya wao na wewe na ana mjua yesu zaidi?,
Na ukiangalia tukio la kufa yesu duuh hadi aibu hovyo hovyo ni uongo uongo sasa sijui hilo hulijui ila I'm sorry mkuu
Hata ushahidi wa kawaida yu unakuhukumu haiitaji uwe prof wa embryology kujua hilo,Quran inasema sperm ndio inaingia (inakuwa) damu iliyoganda. Huu ni uongo kwa mujibu wa scientific findings.
Tuletee hapa ili tuelewe kwanini anaogopa kutumia singular terms while yeye hafananishwi na chochote kwasababu yupo mmoja.Google 'why Allah uses plural pronouns'
Naona umetaka tu mjadala mrefu hapa lakini unaelewa ukweli kwamba quran mnaikariri tu na hamna kuelewa. Kiarabu hamkijui.Anakariri vipi Kama kusoma hawezi!?
Sikiliza mkuu nikupe mwanga , hoja zako nimeziona ila nyingi sio sahihi na chache huku elewaMnasema quran imeshushwa na Mungu lakini kuna mambo mengi ya ajabu yanafanya sisi tupinge na kuhoji maana Mungu hawezi kuandika upumbavu
Jiulize je dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6 ?
Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50.
Tena alifanya tendo la ndoa na huyo mtoto akiwa na miaka 9 ( hu sio ubakaji kweli?)
Jiulize Quran na Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu ( mutaa) tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha ?
Quran na Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.
Quran na Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inawaruhusu wanaume wa kiislam kuwatombaaz watumwa mtakaowapata wa kike. ( dini ina promote uzinzi na ubakaji)
Quran na Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake kuwapiga na kuwabonda ni ruhksa ,
Quran Dini ya kweli inakataza waumini wake wasijenge urafiki na hata kupigana na watu wa dini zingine?
Ktk biblia kuna super heavy weakness tena nyingi sema huwa mnafanya hamzijui kila sikuAnzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Kivipi akariri bila kujua kusomaNaona umetaka tu mjadala mrefu hapa lakini unaelewa ukweli kwamba quran mnaikariri tu na hamna kuelewa. Kiarabu hamkijui.
Nikuletee nakuogopa!?Tuletee hapa ili tuelewe kwanini anaogopa kutumia singular terms while yeye hafananishwi na chochote kwasababu yupo mmoja.
Sikiliza mkuu nikupe mwanga , hoja zako nimeziona ila nyingi sio sahihi na chache huku elewa
Ktk biblia kuna super heavy weakness tena nyingi sema huwa mnafanya hamzijui kila siku
Sasa mkuu ikiwa Petro , barnaba nk yesu kwao walimwita mwalimu vp wewe awe yesu mungu???, yaan kumaanisha hao wana elimu ndogo au?Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.Hata ushahidi wa kawaida yu unakuhukumu haiitaji uwe prof wa embryology kujua hilo,
Mwanamke anapofanya induced abortion! Katika first trimester unaona kabisa kuwa yanatoka mabonge ya damu iliyoganda!!
Kajifunze maana ya neno "THEN na INTO" inaonekana una matatizo ya comprehensionYale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.
Hapa Allah amejaribu kutuaminisha kwamba haya mabonge yapo huko tumboni halafu sperm ndio inaingia humo na kuumba mtoto.
Acha kuwasikiliza mashehe. Itafute biblia usome mwenyewe. Huyu hapa mtume Tomaso akimwita Yesu Mungu.Sasa mkuu ikiwa Petro , barnaba nk yesu kwao walimwita mwalimu vp wewe awe yesu mungu???, yaan kumaanisha hao wana elimu ndogo au?
Naona umekariri na hutaki kuamshwa usingizini.Kajifunze maana ya neno "THEN na INTO" inaonekana una matatizo ya comprehension
Anzisha mada tukupe ufafanuzi.Ktk biblia kuna super heavy weakness tena nyingi sema huwa mnafanya hamzijui kila siku
Aliyetafsiri kiswahili alijaribu kuficha aibu ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda.Aliyetafsiri ni mtoto wa darasa la tano nini? Mbona ni tofauti?
Huyu jamaa ana majibu yake tayari sasa tutajisumbua bure tu kumlazimisha punda anywe maji wakati hataki.Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.
Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma Quran...
Mkuu labda niseme hv sina elimu kubwa ila hzo hoja ni nyepesi nahisi hujawai kusikia majibu yake, mtume alioa binti mdogo (Bint wa swahaba wake ) ila hakumuingilia ktk hali ya utoto na hii ipo hata Africa TANZANIA kama una bisha bisha tu , mtoto hutolewa mahari ikiwa bado yungali tumboni kwa mama yake pia swala la kumchagulia mchumba binti ki islamu limepewa uzito sna, pia hata tamaduni za kitanzania hasa wazee wetu walifanya snaNakusikiliza. Sijaona uliposema hoja gani sio sahihi.
Na upinge kwa ushahidi ulionyooka kama hoja zangu ni za uongo