Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Si kweli hata kidogo, bibilia ndio kitabu chenye udhaifu mwingi sna, vitu Vingi ni vya kutunga mf
Walio ishi na yesu walimwita mwalimu, sasa wewe unaanzaje ku mwita mungu?, kati ya wao na wewe na ana mjua yesu zaidi?,

Na ukiangalia tukio la kufa yesu duuh hadi aibu hovyo hovyo ni uongo uongo sasa sijui hilo hulijui ila I'm sorry mkuu
Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
 
Quran inasema sperm ndio inaingia (inakuwa) damu iliyoganda. Huu ni uongo kwa mujibu wa scientific findings.
Hata ushahidi wa kawaida yu unakuhukumu haiitaji uwe prof wa embryology kujua hilo,

Mwanamke anapofanya induced abortion! Katika first trimester unaona kabisa kuwa yanatoka mabonge ya damu iliyoganda!!
 
Mnasema quran imeshushwa na Mungu lakini kuna mambo mengi ya ajabu yanafanya sisi tupinge na kuhoji maana Mungu hawezi kuandika upumbavu

Jiulize je dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6 ?

Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50.
Tena alifanya tendo la ndoa na huyo mtoto akiwa na miaka 9 ( hu sio ubakaji kweli?)

Jiulize Quran na Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu ( mutaa) tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha ?

Quran na Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.

Quran na Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inawaruhusu wanaume wa kiislam kuwatombaaz watumwa mtakaowapata wa kike. ( dini ina promote uzinzi na ubakaji)

Quran na Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake kuwapiga na kuwabonda ni ruhksa ,

Quran Dini ya kweli inakataza waumini wake wasijenge urafiki na hata kupigana na watu wa dini zingine?
Sikiliza mkuu nikupe mwanga , hoja zako nimeziona ila nyingi sio sahihi na chache huku elewa
Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Ktk biblia kuna super heavy weakness tena nyingi sema huwa mnafanya hamzijui kila siku
 
Sikiliza mkuu nikupe mwanga , hoja zako nimeziona ila nyingi sio sahihi na chache huku elewa

Ktk biblia kuna super heavy weakness tena nyingi sema huwa mnafanya hamzijui kila siku

Nakusikiliza. Sijaona uliposema hoja gani sio sahihi.

Na upinge kwa ushahidi ulionyooka kama hoja zangu ni za uongo
 
Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Sasa mkuu ikiwa Petro , barnaba nk yesu kwao walimwita mwalimu vp wewe awe yesu mungu???, yaan kumaanisha hao wana elimu ndogo au?
 
Hata ushahidi wa kawaida yu unakuhukumu haiitaji uwe prof wa embryology kujua hilo,

Mwanamke anapofanya induced abortion! Katika first trimester unaona kabisa kuwa yanatoka mabonge ya damu iliyoganda!!
Yale mabonge yanatokana na kiumbe kilichokufa, placenta na kuta za tumbo la uzazi zinazobanduka.

Hapa Allah amejaribu kutuaminisha kwamba haya mabonge yapo huko tumboni halafu sperm ndio inaingia humo na kuumba mtoto.
 
Kajifunze maana ya neno "THEN na INTO" inaonekana una matatizo ya comprehension
 
Sasa mkuu ikiwa Petro , barnaba nk yesu kwao walimwita mwalimu vp wewe awe yesu mungu???, yaan kumaanisha hao wana elimu ndogo au?
Acha kuwasikiliza mashehe. Itafute biblia usome mwenyewe. Huyu hapa mtume Tomaso akimwita Yesu Mungu.

Yohana 20:27-28

27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye.

28 Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!
 
Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.

Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma Quran wamempatia majibu sahihi na yenye kueleweka kwa watu wote WENYE AKILI TIMAMU, bado amekataa ana anabishia.

Mtu ametoa aya zinazoelezea process nzima ya uumbwaji wa binadamu tena kwa ufasaha lkn bado mtu anabishia kisa pande la damu.

Swali kwa mleta uzi.
UMEWAHI KUTOA MIMBA/KUTOLESHA MIMBA??
Kama sio pande la DAMU kile ni nini kinachotoka wakati mtoto bado hajaunganika??
 
Nimesoma comments zote, nimejaribu kupitia maswali ya msingi ya mleta mada.

Nilichogundua ni kwamba mleta mada hakujiandaa kupata majibu sahihi. Alikuja na majibu yake tayari kichwani hivyo hata kama waislam walioisoma Quran...
Huyu jamaa ana majibu yake tayari sasa tutajisumbua bure tu kumlazimisha punda anywe maji wakati hataki.

Akawatafute madaktari wamueleze kuhusu masuala ya embrology na pale wanapowatoa mimba changa wanawake nini huwa kinatoka!?
 
Nakusikiliza. Sijaona uliposema hoja gani sio sahihi.

Na upinge kwa ushahidi ulionyooka kama hoja zangu ni za uongo
Mkuu labda niseme hv sina elimu kubwa ila hzo hoja ni nyepesi nahisi hujawai kusikia majibu yake, mtume alioa binti mdogo (Bint wa swahaba wake ) ila hakumuingilia ktk hali ya utoto na hii ipo hata Africa TANZANIA kama una bisha bisha tu , mtoto hutolewa mahari ikiwa bado yungali tumboni kwa mama yake pia swala la kumchagulia mchumba binti ki islamu limepewa uzito sna, pia hata tamaduni za kitanzania hasa wazee wetu walifanya sna
 
Back
Top Bottom