Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Ebu tulia tukufahamishe mkuu,, waarabu mara nyingi wale wenye hadhi katika jamii na matajiri walikuwa wanapoongea wanapenda kutumia neno Sisi, na wakitumia neno Sisi kuonyesha ukubwa wao au utukufu wao,,,,na ndio maana Allah akaamua atumie wingi ili aende Sawa na tamaduni zao,,kama wao wanajiona wakubwa basi Allah ni Mkubwa zaidi na anastahili heshima zaidi.

Hiyo ndio maana halisi,,,,Uislamu umeepukana na miungu mitatu mnayo iyabudu,na ushirikina sio sehemu ya Dini ya Mwenyezi Mungu.
 
Kuhusu kula nguruwe nisikilize maneno ya online tv ya Tanzania.. tena mtoa maneno anaonekana ni dini ya ya majambia na kuoa vitotoz

Tazama mwenyewe picha za harusi nazo attach
Nimekupa hii link usikilize majibu yako unaingiza mambo mengine tena.....nakutumia tena kaa usikilize vitu hivyo
 
Surat Al jin
 
Kwahiyo sperm inadevelop yenyewe kuwa damu iliyoganda?
 
Mkuu kwahiyo stage za development zinahusisha sperm kubadilika kuwa damu iliyoganda? Halafu iwe nyama?
 
Kwa hiyo Sperm huwa zinaingia kwenye damu iliyoganda ili Mimba itungwe?
Kusoma tunajua hamuwezi, video pia mnashindwa kuitazama,
Huyu Sheikh maswali yenu yote ameyajibu .....Fungua hii video ili mjadala uishe na kuanzia hapa kama kweli akili iko salama utagundua
1:Quran siyo maneno ya kawaida
2Quran Siyo maneno ya Mtume Muhammad s.a.w
3:Quran ni maneno halisi ya Allah muumbaji
Check hii video
 
Kwanza hakuna muislamu anayeelewa kiarabu isipokuwa mmekariri quran kiarabu. Nyie mkienda kwa waarabu hamuwezi kuongea nao kwasababu hamjui kiarabu.

Pili, wewe ndio shule ndogo unashindwa kuelewa direct statements kama hizo.
Kiarabu ni lugha Tu kama lugha nyingine, ingawa Qur'an imeshuka Kwa kiarabu lkn imetafsiriwa katika lugha mbali mbali,kwahiyo Acha upuuzi wako
 
Hapana nawe umekosea, soma hiyo aya vizur sheikh
 
"Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama."

tone ikawa damu,sio tone ikaingia kwenye damu ...finish....
Kwahiyo tone ambalo ndio sperm likabadilika kuwa damu iliyoganda? Damu iliyoganda inakuwa hai au imekufa?
 
Sperm inageuka kuwa damu iliyoganda(ile nzito tofauti na ile inayoflow mwilini)mi naona Iko sawa na ndivyo inavyotokea sperm-damu-nyama
Unalazimisha sana.. Kubali tuu kitabu hiko ni hekaya kama ilivyo Biblia na vitabu vingine vya dini. Ni utapeli wa asubuhi
 
Unalazimisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…