Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Mkuu kwahiyo stage za development zinahusisha sperm kubadilika kuwa damu iliyoganda? Halafu iwe nyama?
Yaani unakomalia kitu ambacho unataka kiwe hivyo Kwa matakwa yako mwenyewe,ni upumbavu ulioje?

Baada ya mbegu ya kiume kukutana na Yai,inakuwa tone la manii, ambalo linaenda sehemu maalumu katika mji WA mimba,hlf katika ukuaji ndo linakuwa pande la damu,then kiumbe kinaanza ukuaji ktk pande la nyama na kadhalika, unachobisha ni nini hasa?

Yaani unashikilia kitu kana kwamba upo sahihi? Acha upuuzi
 
Nani alifufuliwa bwana we
 
Baada ya hili povu ninaomba uniambie jambo moja.. tu assume kwamba sperm haiingii kwenye damu iliyoganda bali sperm inabadilika (kwa kuumbwa) kuwa damu iliyoganda. Huu ni ukweli au uongo?
 
Kipindi Hicho kuna sayansi ambayo ili advance kama Leo? Kumbuka huyo Muhammad hajui kusoma wala kuandika je aliwezaje kukopi hata kama hiyo sayansi ingekuwa ime advance? Hivi Kaka ubongo wako upo Sawa kweli?
Muhamaad alikua bingwa wa copy and paste jamaa head yake ilikuwa na uwezo wa kucite sana...na ikumbukwe alikuwa na misafara mingi sana na kukutana na watu wa jamii tofauti ikiwemo wagirik, wayahud nk
 
Kuna watu wajinga ambao badala ya kujiongezea maarifa na ujuzi wanabeza bila facts mradi mihemko ya kutukana na kutafuta sifa tu

Mjadala ungekuwa mzuri kama mtu angekuwa kasoma mawili matatu kutoka vyuo mbali mbali na kuelewa maana halisi

Hebu someni Harvard wameliongelea hili na sidhani kama wataalamu wetu wanaweza kuwazidi ma professor wa Harvard University

Na nyingine ni National Institute of Health
 
Pamoja na jua kuzama matopeni[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Lets assume you are right.. so sperm development inatokea kwenye tone halafu inakuwa damu iliyoganda?
 
Anzisha mada ya udhaifu wa biblia tutakujibu kwasababu wataalamu tunafahamu hakuna weakness wala mistake mule.
Weakness ya Kwanza,,,nipe kifungu kinachosema kuwa Yesu ni Mungu na pili nipe kifungu kinachosema kuwa Ukristo ni Dini,,,,,ukijibu hayo ndio tutakuja kuonyesha uozo WA biblia mpaka mkimbie

Nijibu hayo Kwanza nipo hapa nasubiri!
 
Lets assume you are right.. so sperm development inatokea kwenye tone halafu inakuwa damu iliyoganda?
Ukitaka tuendelee ni ukubali Umeelewa ama lah, hakuna masuala ya assumptions hapa.

Kisha nitakuelewesha vingine amabvyo nina elimu navyo, kama bado hujaelewa hapo niendelee kutoa elimu ndogo niliyo nayo.
 
Inapotokea kitu kinachojiita mungu kinaongea uongo na makosa ya kibaiolojia ni lazima tukirekebishe.
 
Hawata kujibu coz huwa hawajui chochote Bali ujanja ujanja tu
 
Kwahiyo Allah ndio amekutuma uandike hivi?
 
Hii ndo kilaza kumuigilizia majibu kilaza....haya maelezo ya reproduction Muhammad aliyaiga sehemu...Mbaya zaidi aliyemkopi ni kilaza.
Alikopi mafundisho ya Gillan wa uturuki ambaye aliandika hayo 150AD. Hawa waislamu badala wajipe elimu wameamua kukomaa na maneno ya muhammad na Allah.
 
Akili za madrasa hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…