Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwani bro hizo video zilizorushwa umezitazama au ndio ubishi kwanza elimu baadaye
Alichoandika Allah ni bora kuliko hiyo video. Hatua za uumbaji wa Allah ni hizi hapa:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine.

Hatua hizi ni uongo mtupu unaopaswa kupuuzwa.
 
Video ya Nini wakati Koran ninayo
Kumbe tulikuwa tunazungumza na mpuuzi sasa umeleta hoja unaibiwa hutaki umeshika kitabu kilicho kuzidi umri inaonesha kwanza neno fahamu kua quran sio gazeti useme pekeako utaelewa na kama umezikimbia zile video basi hatutarajii kukujibu naona umejaa ubishi kwanza wewe DINI isije tukawa tunazungumza na wasio na DINI kama akina champion hapa
 
Sasa mtu unaishi bila ya DINI iweje uwatafute na kuwasumbua wenye DINI zao kwa upuuzi alafu embu zitazame zile video mbili huyu alafu ndio urudie tena hoja yako maana hapo ulipo hata ao wenzio washakuona ueleweki maana huna DINI
Naomba unipe tafsiri yako ya dini.
 
MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?

KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Wewe ni stone kisser acha kujificha
 
Rudi shule
Hatua ambazo Allah alitumia kuumba ni za uongo mtupu. Hizi hapa chini:

Kutoka sperm - kuwa damu iliyoganda - halafu nyama - kisha mifupa - baadae mifupa inavalishwa nyama - ndipo anatokea kiumbe mwingine..
 
Sawa wewe zipuuzie ila ipo siku utaelewa not now maana hufahamu hata maana ya kama wakubwa wanakaa chini tena wasomi kuliko wewe mara elfu wanafikiri nakutoa majibu kuhusu aya wewe nani tukisikiliza tena kwenye jukwaa
 
Usisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Mbona Aya Iko wazi kabisa hiyo, Ipo ktk literal meaning ila hao washapigwa mihuri ktk nafsi zao, hawawezi kuelewa hata ukiwapigia mifano
 
Jua halizami wewe ficha ujinga.

Jua lipo palepale tangu unazaliwa Hadi unakufa. Halitingishiki Wala haliyimbi hata cm 2


Fikicha akili
Anaetakiwa kificha ujinga ni Muhammad, lakini ni too late kashakufa na ujinga wake upo kwenye vitabu
 
Tatizo huna akili halafu hujui km huna akili ...wewe mvaa rozari huna mental ya kukosoa Quran..

Jews na ungwingwi wao wote wameishindwa...Chukua hizo sperm zako halafu Anika juani then ukae baada ya dakika uone km hazigandi...
😂😂😂 Allah kasema damu iliyoganda , Yani kwa ujinga huu hamna tofauti na Muhammad , kusema damu iliyoganda inakaa Kwenye mji wa uzazi kwa siku 40
 
Kujua sio umbile tu na akili pia , ila mtoto Aisha alikuwa na kamwili kadogo Kuna Hadith analishwa ili awe toto bonge , Muhammad kaanza kulala Nako kakiwa na miaka SITA
 
Kwa usahihi ilipaswa kuanziwa aya ya nyuma yake isemayo;

28:12
“And indeed, We created humankind from an extract of clay,”

“Na hakika tumewaumba watu kutokana na udongo.”

28:13
“then placed each ˹human˺ as a sperm-drop in a secure place,”

“kisha tukamweka kila mtu kama tone la manii mahali pa usalama.”

28:14
“then We developed the drop into a clinging clot ˹of blood˺, then developed the clot into a lump ˹of flesh˺, then developed the lump into bones, then clothed the bones with flesh, then We brought it into being as a new creation. So Blessed is Allah, the Best of Creators.”

“Kisha tukalifanya tone kuwa pande la damu linaloshikana, kisha tukalitengeneza pande la damu kuwa bonge la nyama, kisha tukaliumba bonge hilo kuwa mifupa, kisha mifupa tukaivika nyama, kisha tukaifanya kuwa kiumbe kipya. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu, Mbora wa Waumbaji.”

28:15
“After that you will surely die,”

“Baada ya hayo hakika mtakufa,”

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Hapana, na hapa ndipo ulipokosea mtirirko mzima, kuanzia pale aya inapoeleza kuhusu ‘Blood Clot’ inaongelewa hatua ndani ya tumbo la mama na si manii kama manii.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maana ya neno za kiarabu “Alaq”
Kwa mujibu wa Dr. Zakir Naik ameeleza kuna maana tatu za neno “Alaq”

1. Kitu kama Ruba (leech-like substance) kiumbile na kitabia
Katika hatua za mwanzo za “embryo” huonekana kama ruba, mbali na muonekano huo pia hua na tabia kama ya ruba kwa maana hupata nutrisheni (nutrition) zake toka kwa mama kupitia placenta.



2. Kitu kinachoshika/ganda (Clinging substance)
Hapa kwa maana ya kuwa “Embryo” huganda kwenye ukuta wa uterus kwa miezi yote 9.


3. Kama Damu (Clot/ Conjured out of blood)
Katika hatua za mwanzo damu huwa haitembei na huonekana kukusanyika sehemu moja.



Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
Hapana, manii huingia kwenye yai kulirutubisha, baada ya kueleza makao ya manii aya ilienda moja kwa moja kueleza yanayotokea tumboni kwa mama.
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
Inategemea wakati gani, wakati wa hatua za mwanzo huwa na kitu kama damu iliyoganda.
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
Hapana, inafahamu, na katika Quran 28:14 katika lugha ya kiarabu limetumika neno ‘nutfah’ ambalo wafasiri wamelifasiri kuwa ni yai lililorutubishwa.

4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
Hapana, hatua zilizoeleZwa zilielezwa zinazokuwa zinatokea tumboni kwa mama.

5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
Kauli ile imetokana na ukweli kuwa hatua za mwanzo za ukuaji wa mwanaadamu tumboni hazitofautiani na za Samaki, Mjusi, Panya, Sungura na wengine mpaka pale mikono na miguu inapoanza kujijenga.

 
[emoji23][emoji23][emoji23] Allah kasema damu iliyoganda , Yani kwa ujinga huu hamna tofauti na Muhammad , kusema damu iliyoganda inakaa Kwenye mji wa uzazi kwa siku 40
Damu iliyoganda[emoji848]
Au damu nzito [emoji856]

Damu ikiganda ina maana imekufa na haina uhai.
Hizo ni Hekaya tu za Abdul Kassim.
Ila kawapata wengi sana waliojitoa ufahamu.
 
Coco beach jua linachomoza baharini,jangwani linachomoza na kuzama mchangani..elewa lugha ya picha
Hakuna lugha ya picha , Muhammad mwenyewe kasema linazama kwenye chemchem ya matope , kwingine kasema ni kwenye kiti Cha Allah ambao chini yake Kuna maji na jua linaongea linamuomba Allah kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…