Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwenye Biblia hakuna Issa. π€£π€£π€£π€£ Tayari nimeshaona we kilaza. Mi nimemaliza juzuu zote Madrasa. Pia njoo Msikiti wa Ngunde Kimanga Mji Mpya watakuambia mimi nlikuwa nani pale miaka ile nakaa kule. Issa si Yesu na Yesu si Issa.Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia nani
Ilikuwa ni typing error bro Na hao walio kua wanakujua wanakujua kipuuzi unasema isa siyo yesu naona unarudisha mada nyuma ngoja nikuacheKwenye Biblia hakuna Issa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tayari nimeshaona we kilaza. Mi nimemaliza juzuu zote Madrasa. Pia njoo Msikiti wa Ngunde Kimanga Mji Mpya watakuambia mimi nlikuwa nani pale miaka ile nakaa kule. Issa si Yesu na Yesu si Issa.
Tukaiumba ama tukamjaalia, wako wangapi?Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.
Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :
Anasema Allah aliye juu :
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Nakuelezea Katika Biblia Hakuna Issa/Isa . Na Isa si Yesu na Yesu si Isa. Hili mbona halihitaji hata ufike form 4 kulielewa....Ilikuwa ni typing error bro Na hao walio kua wanakujua wanakujua kipuuzi unasema isa siyo yesu naona unarudisha mada nyuma ngoja nikuache
Unapaswa kutafakari hii kauli mshika mawili moja humponyoka hapo nishaifahamu njia yako umemaliza juzuu zote madrasa juzuu hazimalizwi madrasa ni elimu ya awal ya DINI yako hivyo uli kariri juzuu zote labda naweza kukuelewa na sio kumaliza juzuu zote madrasa elimu inatafutwa bro nilikua nakupa ushauri kuona kama muelewa kumbe ni walewaleKwenye Biblia hakuna Issa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tayari nimeshaona we kilaza. Mi nimemaliza juzuu zote Madrasa. Pia njoo Msikiti wa Ngunde Kimanga Mji Mpya watakuambia mimi nlikuwa nani pale miaka ile nakaa kule. Issa si Yesu na Yesu si Issa.
Rejea bibilia mwanzo 1:26 uone Mungu amesemaje ukisha soma iyo aya ndio urudi kuuliza swaliTukaiumba ama tukamjaalia, wako wangapi?
Hajaweza elewa....akisoma hapo akashindwa alewa nitamuelimisha. Mimi nina Ilimu zote za Dunia na Akhera.Rejea bibilia mwanzo 1:26 uone Mungu amesemaje ukisha soma iyo aya ndio urudi kuuliza swali
Hahaha!! umeamua kusurrender ,sasa mtu aliyeishia drs la 4 au haelewi masuala hayo atapata ufahamu vipi kuwa Qu'ran imedangaya kuhusu swala hilo kama sio wewe kuonyesha usahihi kuuchambua kisha kucompare na Qu'ran kielimu na hoja ?Wewe ni akili ndogo hivyo nakuacha.
Siwezi kuwa na wivu na Alie andiko pumbaUnapo leta fikra zako za kibinaadamu hapo utakua inafeli kabisa akili yako inapo ishia ndio ya Mungu inapo anzia yote hayo ni chuki zenu tu juu ya Quraan kwa sababu tu inamajibu tosha kuanzia maisha ya mwanadam kabla hajazaliwa baada ya kuzaliwa malezi maisha siasa mpaka kufa na Kisha maisha ya akhera kitu ambacho kitabu chenu hakuna vitu hivi acheni wivu na kitabu chetu
Leo hii unasema Koran haijitoshelezi mpaka video ππππKumbe tulikuwa tunazungumza na mpuuzi sasa umeleta hoja unaibiwa hutaki umeshika kitabu kilicho kuzidi umri inaonesha kwanza neno fahamu kua quran sio gazeti useme pekeako utaelewa na kama umezikimbia zile video basi hatutarajii kukujibu naona umejaa ubishi kwanza wewe DINI isije tukawa tunazungumza na wasio na DINI kama akina champion hapa
Kumbe Chizi dohLeo hii unasema Koran haijitoshelezi mpaka video [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Allah kasema damu iliyo mfu anakuja kuwa mifupa tupu skeleton ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke wewe unachotaka kumrekebisha ni kipi
Kasha toa Boko [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutisha watu , kuchinjwa ukinisogelea unachinjwa weweJuma kilumbi Allahu akulipe kila la kheri maana huyu champion Na mwenzie mokit hawa kwanza wametumwa kuitukana Dini ya uislamu pili wangesoma kwanza na sio kusoma soma yani waakuankama wapumbavu hawa ndio wanapaswa kuchinjwa
Chizi πππKumbe Chizi doh
Unaumia Dini siyo yako we umeona si ndezi ndezi kama nyinyi mlivyo mfanya yesu wenu hata kumtetea mpaka anapigiliwa misumali na mnashangaa shangaa tu quran huna uwezo wa kuibeza ukaangaliwa tu alafu kifo ni kawaida sana mkuu ujue ni jambo jepesi mno sijawahi ogapa kufa hata sasa yaniAcha kutisha watu , kuchinjwa ukinisogelea unachinjwa wewe
Allah atoe pumba vitisho ulete kwetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sioni ajabu kufanya hivyo allahu kwani anapo zaliwa mtoto anakua hana mifupa auChizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Alie sema haya
Allah kasema damu iliyo mfu inakuja kuwa mifupa tupu skeleton ndani ya mji wa uzazi
Verse inasema sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Yai la mwanamke halihusiki?
Kwani hao wana bisha tu hata uyo mwanamke hawamjuiKwani mwanamke akiwa katika period kinachotoka nini? Na ile dam husababisshwa na nini? Na hua inatoka kwa nini? Kwani mayai ya mwanamke yakoje? ndo haya haya ya pasua? Ukipata majibu ayo ndo utajua kwanini wamesema LIKABADILISHWA TONE LA MANII KUA PANDE LA DAMU.
Nakuja kwenye nyama ivi wale wanaofanyiwa abortiom hua wanatolewa vipande vya nini mule hua ni majani yale au mikate? Ukishajua ilo utajua kwanini wamesema PANDE LA DAM KUA NYAMA maama wanawake tukiwafanyia abortion hua kuna mawili atoke bado zygot nyuma ya miez3- ambalo ndo pande la dam au mtoto ambae ndo pande la nyama lenye mifupa ndani mieza 4+.
Hajui kusoma kiharabu anakariri matamshi na ni wote mpaka weweBila kujua kusoma!?
Mokit ebu nijibu kwani mtoto akizaliwa anakua hana mifupa na au anakua hana iyo skeleton jibu linyooke na sio mbwembweHajui kusoma kiharabu anakariri matamshi na ni wote mpaka wewe
Allah and Muslim are so desperate kumchomeka Muhammad kwenye biblia , embu acheni kitabu Cha Allah ni mudy ni Koran only , Yani mpaka song of Solomon mnataka kumchomeka child molester ππππBibili mwanzo 1:26 Mungu anasema Tumfanye mtu kwa mfano wetu hiyo
Iyo bibilia hapo katungue kitabu chako uone kataa hapo alafu wewe ni mvivu sana inaonesha kasome song of Solomon cha kihalameik uone Muhammad katajwa tena kwa wingi je Muhammed nao ni wengi
Fahamu kuna wingi wa cheo na hekima na wingi wa idadi akili yako natumai umejibiwa fungua tena bibilia ya kiyahudi mwanzo 1:1 uone ilivyo andikwa kama unajua kiyahudi kama hujui subiri wachungaji wako waje kukuongopea