Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kwenye Biblia hakuna Issa. 🤣🤣🤣🤣 Tayari nimeshaona we kilaza. Mi nimemaliza juzuu zote Madrasa. Pia njoo Msikiti wa Ngunde Kimanga Mji Mpya watakuambia mimi nlikuwa nani pale miaka ile nakaa kule. Issa si Yesu na Yesu si Issa.Ila nakushauri tu usiisome quran chumbani tafuta mtu akufundishe alafu jitahidi kuisoma Yohana iliujiulize ile aya inayo mtabiri issa kua kuna mtaraji atakuja baada yake ana mkusudia nani