Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Dah,,,KAZI IPO wallah!
Wanaokiri kama aliishi huko NI akina Nani hao?? Maana waisrael wanaamin Messiah bado hajazaliwa,,,
Kinachokuwewesesha wewe ni jina au nini?? yesu,,Jesus,,yeshua,,,ESAU,,ISA kila taifa na matamshi Yao,,unakwama wapi?
Josephus ambaye ni prominent Jewish historian ameandika kuhusu Yesu Kristo mpaka alivyosulubiwa na kufa, kuzikwa na kufufuka nje kabisa ya biblia.

Sasa leta ushahidi unaomhusu issa kutokea Israel. Acha porojo.
 
Hapa sielewi point na hoja yako ni nini.

Tulipoanzia ni kwamba tunakataa kwamba issa sio Yesu Kristo kwasababu Yesu Kristo aliishi na anajulikana ndani ya Israel.
Nami nikakuuliza nitajie tofauti za kiroho za Yesu unayemfahamu na Issa unayemsikia. Huwezi tu kusema Issa sio Yesu wakati huna arguments za ku-support unachokiamini!!

Suala la kuishi Israel sio hoja kwa sababu hata huyo Yesu HAKUISHI TANZANIA lakini bado anafahamika na kuaminika na mamilioni ya Watanzania.
Haijalishi hata kama hakukubalika kama Messiah lakini still wanakiri ni mtu halisi aliyewahi kuishi huko. Hilo mimi linanitosha kabisa.
Kwahiyo kinachomtofautisha Issa na Yesu ni suala la ukaazi na sio la kiimani?!
Swali letu ni huyo issa ni nani na kwanini Inasemekana ndani ya quran kwamba alikuwa mashuhuri lakini taarifa zake hazipo kabisa Israel? Tufahamishe.
Na nimekuuliza HAKUNA KABISA kwa muktadha upi?! Ni kwamba unataka kusema watu waliopo na ambao walikuwepo miaka hiyo hawafahamu lolote kuhusu Issa, ama?!
 
Kwa kuongezea ni kwamba damu ma hata neva ziendazo kwenye Pumbu hutoka maeneo lilipo ini. Naona imejijibu
Baada ya kuona hii argument nimechoka kabisa kujibu haya maswali yako. Yaani unakubaliana na Allah na muhammad kwamba sperms zinazalishwa kwenye eneo lililo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
 
Na nimekuuliza HAKUNA KABISA kwa muktadha upi?! Ni kwamba unataka kusema watu waliopo na ambao walikuwepo miaka hiyo hawafahamu lolote kuhusu Issa, ama
Watu walioko Israel hawana taarifa za kuwepo kwa mtu aliyeitwa issa wa kwenye quran.

Naomba uniletee uthibitisho wa uwepo wa huyu mtu nje ya stori za quran na waislamu wa saudi arabia enzi hizo.
 
Wewe hata hujui kwamba issa wa kwenye quran alikuwa myahudi wa Israel huna ufahamu zaidi ya porojo.
Unaweza kuweka hapa aya ya Quran inayosema Muhammad alikuwa ni Jew?! Btw, Jew by faith or by ethnicity?
Ukimaliza kurukaruka niletee ushahidi kwamba huyo issa ni mtu halisi aliyewahi kuishi Israel.
Hivi hujui kwamba wewe ndo unaruka ruka?! Nimekuuliza maswali yafuatayo na HAKUNA HATA MOJA ULILOJIBU! Baadhi ya hayo maswali ni haya hapa chini:-
1.
Hebu nisaidie...

Hivi ni sababu zipi za kiroho zinazomtofautisha Yesu na Issa?!
2.
3.
4.
5.

Nioneshe majibu yako kwenye hayo maswali niliyokuuliza ili tufahamu ni nani anaeruka ruka!!
 
Watu walioko Israel hawana taarifa za kuwepo kwa mtu aliyeitwa issa wa kwenye quran.

Naomba uniletee uthibitisho wa uwepo wa huyu mtu nje ya stori za quran na waislamu wa saudi arabia enzi hizo.
TATIZO HUELEWI...

Nimekuuliza taarifa za kuwepo kwa muktadha upi!!! Mbona swali jepesi sana hilo?!
 
Yesu ni Yeshua, umefanyika utohoaji tu kama tunavyoita england uingereza. Jina ni hilohilo.
We jamaa bhana...

Yesu is JUST A NAME

Unapoulizwa swali kama hilo unatakiwa kutumia reference ya sifa zake, sio jina!!

Na hata nilipokuuliza tofauti kati ya Yesu na Issa, issue sio jina bali sifa zinazomtofautisha Yesu na watu wengine!!
 
Wapi nimesema Muhammad alikuwa myahudi wa Israel?
Umetoa hoja ya kitoto kwa sababu hakuna Mwislamu asiyefahamu kwamba Isa ni Myahudi kwahiyo ni kiroja uliposema eti sifahamu kwamba Issa ni Myahudi!!
 
Nioneshe majibu yako kwenye hayo maswali niliyokuuliza ili tufahamu ni nani anaeruka ruka!!
Hakuna swali ambalo sijajibu hapo. Acha kujizungusha bure.

Muhammad anazungumzwa vibaya baadhi ya maeneo lakini wote tunakubali alikuwa mtu halisi aliyeishi mecca na medina.

Naomba uthibitisho kwamba issa alikuwa mtu halisi aliyeishi Israel. Sitaki porojo zaidi ya jibu la hilo swali.
 
Umetoa hoja ya kitoto kwa sababu hakuna Mwislamu asiyefahamu kwamba Isa ni Myahudi kwahiyo ni kiroja uliposema eti sifahamu kwamba Issa ni Myahudi!!
Wewe unajielewa kweli? Haujadai hapo juu nikupe aya inayosema issa ni myahudi?
 
We jamaa bhana...

Yesu is JUST A NAME

Unapoulizwa swali kama hilo unatakiwa kutumia reference ya sifa zake, sio jina!!

Na hata nilipokuuliza tofauti kati ya Yesu na Issa, issue sio jina bali sifa zinazomtofautisha Yesu na watu wengine!!
Hata hujui unahoji nini. Yesu limetoka kwenye jina Yeshua. Full stop.

Jina lake maana yake ni mwokozi kutoka katika dhambi.
 
Dah...... Umejichanganya kweli...... Wanasiasa kila siku wanapiga kelele kuhusu kuchanganya dini na siasa.....halafu wewe ndiyo unataka kuchanganya na bailojia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ONESHA MAJIBU YAKE..
 
Wewe unajielewa kweli? Haujadai hapo juu nikupe aya inayosema issa ni myahudi?
Ndo nimekuambia swali lako lilikuwa la kitoto kwa sababu Waislamu WOTE wanafahamu kwamba Issa ni Myahudi!! Sasa unaanzaje tena kuniambia eti sifahamu kwamba Issa wa kwenye Quran ni Myahudi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…