Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Dah,,,KAZI IPO wallah!
Wanaokiri kama aliishi huko NI akina Nani hao?? Maana waisrael wanaamin Messiah bado hajazaliwa,,,
Kinachokuwewesesha wewe ni jina au nini?? yesu,,Jesus,,yeshua,,,ESAU,,ISA kila taifa na matamshi Yao,,unakwama wapi?
Josephus ambaye ni prominent Jewish historian ameandika kuhusu Yesu Kristo mpaka alivyosulubiwa na kufa, kuzikwa na kufufuka nje kabisa ya biblia.

Sasa leta ushahidi unaomhusu issa kutokea Israel. Acha porojo.
 
Hapa sielewi point na hoja yako ni nini.

Tulipoanzia ni kwamba tunakataa kwamba issa sio Yesu Kristo kwasababu Yesu Kristo aliishi na anajulikana ndani ya Israel.
Nami nikakuuliza nitajie tofauti za kiroho za Yesu unayemfahamu na Issa unayemsikia. Huwezi tu kusema Issa sio Yesu wakati huna arguments za ku-support unachokiamini!!

Suala la kuishi Israel sio hoja kwa sababu hata huyo Yesu HAKUISHI TANZANIA lakini bado anafahamika na kuaminika na mamilioni ya Watanzania.
Haijalishi hata kama hakukubalika kama Messiah lakini still wanakiri ni mtu halisi aliyewahi kuishi huko. Hilo mimi linanitosha kabisa.
Kwahiyo kinachomtofautisha Issa na Yesu ni suala la ukaazi na sio la kiimani?!
Swali letu ni huyo issa ni nani na kwanini Inasemekana ndani ya quran kwamba alikuwa mashuhuri lakini taarifa zake hazipo kabisa Israel? Tufahamishe.
Na nimekuuliza HAKUNA KABISA kwa muktadha upi?! Ni kwamba unataka kusema watu waliopo na ambao walikuwepo miaka hiyo hawafahamu lolote kuhusu Issa, ama?!
 
Kwa kuongezea ni kwamba damu ma hata neva ziendazo kwenye Pumbu hutoka maeneo lilipo ini. Naona imejijibu
Baada ya kuona hii argument nimechoka kabisa kujibu haya maswali yako. Yaani unakubaliana na Allah na muhammad kwamba sperms zinazalishwa kwenye eneo lililo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
 
Na nimekuuliza HAKUNA KABISA kwa muktadha upi?! Ni kwamba unataka kusema watu waliopo na ambao walikuwepo miaka hiyo hawafahamu lolote kuhusu Issa, ama
Watu walioko Israel hawana taarifa za kuwepo kwa mtu aliyeitwa issa wa kwenye quran.

Naomba uniletee uthibitisho wa uwepo wa huyu mtu nje ya stori za quran na waislamu wa saudi arabia enzi hizo.
 
Wewe hata hujui kwamba issa wa kwenye quran alikuwa myahudi wa Israel huna ufahamu zaidi ya porojo.
Unaweza kuweka hapa aya ya Quran inayosema Muhammad alikuwa ni Jew?! Btw, Jew by faith or by ethnicity?
Ukimaliza kurukaruka niletee ushahidi kwamba huyo issa ni mtu halisi aliyewahi kuishi Israel.
Hivi hujui kwamba wewe ndo unaruka ruka?! Nimekuuliza maswali yafuatayo na HAKUNA HATA MOJA ULILOJIBU! Baadhi ya hayo maswali ni haya hapa chini:-
1.
Hebu nisaidie...

Hivi ni sababu zipi za kiroho zinazomtofautisha Yesu na Issa?!
2.
Suala la kufa na kufufuka ni la kiimani zaidi...

Kwa mfano, kiimani, Wayahudi hawaamini lolote linalozungumzwa kuhusu Yesu! Wayahudi (through Judaism) wanamchukulia Yesu kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad!!

Kama ambavyo Wakristo wanavyomchukulia Muhammad kwamba ni Shetani na Quran ni Kitabu cha Kishetani, Wyahudi nao wanamchukulia Yesu na Injili kwa mtazamo huo huo!!

Na huyo ambae Christians wanamwita Yesu, wao wanamwita Yeshua! Na kwahiyo, HAWAAMINI kwamba Yeshua alikufa na siku ya tatu akafufuka!!

And REMEMBER: Hao Jews wengine walimuona Yeshua kwa macho yao, na waliyasikia mafundisho yake LIVE but still HAWAKUMWAMINI zama hizo, na hadi kesho vizazi vyao hawamwamini...

Je, hiyo inafanya Jesus na Yeshua kuwa WATU WAWILI TOFAUTI?!

NOTE: Nimesema tofauti za KIROHO nikimaanisha mambo YANAYOMTOFAUTISHA Yesu na Mwanadamu Mwingine yeyote yule!!
3.
Inamwongelea vizuri kwa angle ipi?!

Hapa tunaongea masuala ya kiroho na kiimani! Hapa hatuzungumzii uwezo wake wa kuhubiri, wema na unyenyekevu wake, au uwezo wake wa kufundisha hadi wengine wakawa wanamwita Mwalimu!

Ikiwa Ukristo unamwamini Yesu ni Messiah, Mwana wa Mungu, and all that na Wayahudi hawamwamini kama Messiah... sasa tafsiri ya kiimani hapo ni nini kama sio wanachukulia mafundisho yake ni upotoshaji?!

Sasa mtu ambae anaaminika kama Messiah, wengine wakimuona Mpotoshaji, kwako wewe huko ni kumuongelea vizuri?!

Kwamba, Israel hakuna habari zozote kuhusu Isa... habari zipi na ulitarajia uzione au kuzisikia kupitia nini?! Kwa sababu kama issue ni maandiko, hata Yesu hakuna habari zake kupitia maandiko ya Kiyahudi, na ndo maana hadi kesho hawamwanini!!

Yesu kama Myahudi kwa asili, of course, lazima habari zake uzikute Israel kwa sababu pale ndo Jesus''s motherland, na ndipo alipotoa mahubiri yake bila kujali kama kuna wengine waliyaamini na wengine hawakuyaamini!!
4.
Ndo nimekuuliza huko Israel taarifa za Issa hazipo kwa muktadha upi?!

Kuna tofauti ipi kati ya taarifa za Isa nchini Israel na taarifa za Yesu nchini Tanzania? Kwa sababu kwa jinsi unavyoeleza, ni sawa na kusema taarifa za Yesu HAZIPO KABISA nchini Tanzania!!
5.
Hivi hapa tunazungumzia masuala ya maisha au masuala ya kiimani?!

Na kwa kuangalia hilo swali lako, unaweza kutoa taarifa za Yesu kwenye maisha yake Tanzania?!

Btw, kuna mtu aliyekuambia Issa ni Mwisrael hadi uhoji taarifa zake za maisha nchini Israel?!

Nioneshe majibu yako kwenye hayo maswali niliyokuuliza ili tufahamu ni nani anaeruka ruka!!
 
Watu walioko Israel hawana taarifa za kuwepo kwa mtu aliyeitwa issa wa kwenye quran.

Naomba uniletee uthibitisho wa uwepo wa huyu mtu nje ya stori za quran na waislamu wa saudi arabia enzi hizo.
TATIZO HUELEWI...

Nimekuuliza taarifa za kuwepo kwa muktadha upi!!! Mbona swali jepesi sana hilo?!
 
Yesu ni Yeshua, umefanyika utohoaji tu kama tunavyoita england uingereza. Jina ni hilohilo.
We jamaa bhana...

Yesu is JUST A NAME

Unapoulizwa swali kama hilo unatakiwa kutumia reference ya sifa zake, sio jina!!

Na hata nilipokuuliza tofauti kati ya Yesu na Issa, issue sio jina bali sifa zinazomtofautisha Yesu na watu wengine!!
 
Wapi nimesema Muhammad alikuwa myahudi wa Israel?
Umetoa hoja ya kitoto kwa sababu hakuna Mwislamu asiyefahamu kwamba Isa ni Myahudi kwahiyo ni kiroja uliposema eti sifahamu kwamba Issa ni Myahudi!!
 
Nioneshe majibu yako kwenye hayo maswali niliyokuuliza ili tufahamu ni nani anaeruka ruka!!
Hakuna swali ambalo sijajibu hapo. Acha kujizungusha bure.

Muhammad anazungumzwa vibaya baadhi ya maeneo lakini wote tunakubali alikuwa mtu halisi aliyeishi mecca na medina.

Naomba uthibitisho kwamba issa alikuwa mtu halisi aliyeishi Israel. Sitaki porojo zaidi ya jibu la hilo swali.
 
Umetoa hoja ya kitoto kwa sababu hakuna Mwislamu asiyefahamu kwamba Isa ni Myahudi kwahiyo ni kiroja uliposema eti sifahamu kwamba Issa ni Myahudi!!
Wewe unajielewa kweli? Haujadai hapo juu nikupe aya inayosema issa ni myahudi?
 
We jamaa bhana...

Yesu is JUST A NAME

Unapoulizwa swali kama hilo unatakiwa kutumia reference ya sifa zake, sio jina!!

Na hata nilipokuuliza tofauti kati ya Yesu na Issa, issue sio jina bali sifa zinazomtofautisha Yesu na watu wengine!!
Hata hujui unahoji nini. Yesu limetoka kwenye jina Yeshua. Full stop.

Jina lake maana yake ni mwokozi kutoka katika dhambi.
 
Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.

Quran 23:14

Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji

English translation:

Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.

Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.

Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.

Maswali yangu

1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?

battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Dah...... Umejichanganya kweli...... Wanasiasa kila siku wanapiga kelele kuhusu kuchanganya dini na siasa.....halafu wewe ndiyo unataka kuchanganya na bailojia 😂😂😂😂😂😂
 
Hakuna swali ambalo sijajibu hapo. Acha kujizungusha bure.

Muhammad anazungumzwa vibaya baadhi ya maeneo lakini wote tunakubali alikuwa mtu halisi aliyeishi mecca na medina.

Naomba uthibitisho kwamba issa alikuwa mtu halisi aliyeishi Israel. Sitaki porojo zaidi ya jibu la hilo swali.
ONESHA MAJIBU YAKE..
 
Wewe unajielewa kweli? Haujadai hapo juu nikupe aya inayosema issa ni myahudi?
Ndo nimekuambia swali lako lilikuwa la kitoto kwa sababu Waislamu WOTE wanafahamu kwamba Issa ni Myahudi!! Sasa unaanzaje tena kuniambia eti sifahamu kwamba Issa wa kwenye Quran ni Myahudi?!
 
Back
Top Bottom