Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Hata hujui unahoji nini. Yesu limetoka kwenye jina Yeshua. Full stop.

Jina lake maana yake ni mwokozi kutoka katika dhambi.
Hivi kwa akili yako unadhani hivi sasa hakuna watu wanaoitwa Yeshua au Jesus?!

Narudia, usijikite kwenye majina bali sifa za icon husika!! Kwa mfano, mtu akiuliza tofauti kati ya Mussa na Yesu, sitaangalia majina yao kwa sababu kuna akina Mussa na Yesu kibao duniani.

In contrary, ni Yesu MMOJA TU ndie uzaliwaji wake ni tofauti na wanadamu wengine including Mussa... kwa maana alizaliwa bila mama yake Maryam kukutana na mwanaume!

Ni YESU MMOJA TU ndie alikuja duniani kuitangaza Injili

Ni Yesu MMOJA TU ambae maandiko yanasema atarejea duniani utakapofika mwisho wa dunia!

Hapo unaweza kuongezea na mengine ambayo ni ya kiroho na kiimani hata kama yanafanywa na wanadamu wengine... kama vile kutenda miujiza!!

Na sifa hizo ndizo za Issa wa kwenye Quran

Anyway, ngoja niachane na wewe manake nimegundua una uelewa mdogo sana wa hata Christian Theology!
 
Rudi kwenye post zote ulizouliza nikajibu.
In short, HUNA MAJIBU kwa sababu hujui!!!

Kwa mfano swali la kwanza nimekuuliza tofauti za Yesu na Issa, ukasema Yesu alikufa na akafufuka siku ya tatu!

Nilipokuuliza ina maana Wayahudi wasioamini Yeshua hakufa na kufufuka inamaanisha Yeshua sio Yesu... UMESHINDWA KUJIBU HILO SWALI
 
Unaweweseka Sana , Koran ni rap song Yani shetani unakuta wanaishia kina kimoja na Allah

Wakristo ndio waanzilishi wa kuimba biblia ,ingia u tube uwakute wanaimba na tena Kuna vichwa wamekariri balaa

Na pia ka kitabu kama korani kako kama ka kipeperushi ni siku mbili tu unakakariri chote
 
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.
Sina elimu ila hapa mboni panaeleweka!?, tone(sperm) inakuwa damu, then damu inakuwa nyama na nyama inakuwa mifupa, mifupa inavikwa nyama, si uumbaji tayari au mm ndo sijaelewa?
 
Yesu ni Yeshua, umefanyika utohoaji tu kama tunavyoita england uingereza. Jina ni hilohilo.
Waarabu wanamwita je maana umeng'ang'ania hao wazungu tu wakati Dini yenye we haikutoka kwao au hakuna bibilia za kiarabu nitajie wanamwitaje
 
Uzi huu unemdhalilisha vibaya Championship kila akigusa anakutana na spana mpaka hana majibu ya maswali anyoulizwa na kubadilisha mada.

Sikujua mkuu Chige kama una madini kiasi hizi yaani una uliza maswali yenye mantiki taratibu bila kupaniki mpaka mtu anachanganyikiwa na kukimbia maswali kongole sana umeiheshisha Jf na hivyo ndivyo Great thinker wa kweli Anatakiwa awe yaani unauliza kwa mpangilio ,hekima na kujibu kea ufasaha kila swali unaloulizwa.
 
Mkuu umepewa mbususu chakata uwezavyo achana kujadili yanayoendelea ndani yake badala yakuchakata ipo siku utarud kuhoji pia kwanin tunalipishwa mahali wakati mungu kaumba burebure tujibwedee.
 
Issa wa kwenye quran mtulie naye hukohuko msijaribu kumtafutia umaarufu kupitia Yesu Kristo.

Yesu ni Mwana wa Mungu, alikuwepo milele kabla hajapitia tumboni mwa Mariamu na kuchukua mwili, alihubiri wokovu wa ulimwengu wote, alihukumiwa kipindi cha pontio pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akafufuka, akapaa mbinguni na atarudi tena kuuhukumu ulimwengu.

Haya yote yameandikwa na mitume pamoja na waandishi wa historia kule Israel.

Sasa issa hajulikani huko Israel.
 
Ndugu zangu waisilamu wenye I'lmu, mwelewesheni huyu mleta mada, ila kuna member hapo juu ameshaingia kuvuruga kama kawaida yake. Tafadhali mkuu Mokiti huna cha maana kaa pending waachie wanaotaka kufahamu kuhusu uisilamu,
Aeleze vizuri na vile jua linazama kwenye tope.
 
Wayahudi hawana mashaka na kusulubiwa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Mambo yote tunayosoma kuhusu yeye yaliandikwa na wayahudi wenyewe kuanzia kwenye biblia na hata kwenye historia.
 
Sina elimu ila hapa mboni panaeleweka!?, tone(sperm) inakuwa damu, then damu inakuwa nyama na nyama inakuwa mifupa, mifupa inavikwa nyama, si uumbaji tayari au mm ndo sijaelewa?
Kwahiyo kuna wakati nyama inakuwa mifupa? Sperm inakuwa damu?
 
Plagiarism haijaanza leo.
 
Yesu ni mwana wa Mungu na Aliye mzaa Yesu ni nani
Alafu Mungu amesema kwake hakuna kubadilika je huyo alie amua kubadilika ni Mungu yupi
Pili Mungu ahis njaa lkn Yesu mpaka ibilisi alimjaribu alivyo ona njaa .
Siku tatu alizo kufa Mungu wenu Dunia ilimilikiwa na nani?
 
Wayahudi hawana mashaka na kusulubiwa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Mambo yote tunayosoma kuhusu yeye yaliandikwa na wayahudi wenyewe kuanzia kwenye biblia na hata kwenye historia.
We maya hudi wana mashaka mbona tena kwenye bibilia hiyo hiyo inaweka wazi
 
Mnajua nyie kila siku tunawaambia Quran huwezi kutafsiri hivyo kama zile tafsiri za bongo movie. Kutafsiri Quran kunahitaji ujuzi wa hali ya juu sio tu uende google halafu utafsiri
 
Wewe jikite kukariri quran hapo madrasa. Hiyo ndio level yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…