Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Alafu nipe faida ukija Saiz usiku muda umeenda sana nyinyi hamfanyi ngono kwa sababu ni roho kwenye mwili sijui ndio umesemaje hapa maana hata mimi roho kwenye mwili roho ikitoka mwili au fanyi kazi
Pia unataka kuwaambia wakristo wenzio kua akhera yenu hamtakua mkifanya ngono wala tendo la ndoa yani huko peponi kwenu
Sisi waislamu ni mwili hakika na umethibitisha hilo nashukuru lkn usisahau roho pia tunazo
Alafu unaposema Mungu ni roho ukaeka na neno la kiingereza la spirit hapo umemaanisha maana hii
( a highly refined substance or fluid thought to govern vital phenomena)
au hii kuhusu uyo Mungu (the non-physical part of a person which is the seat of emotions and character; the soul.)
Asante mkuu usiku mwema yale mengine usisahau tu.
 
Hapo naona umeweka tafsiri ya soul (nafsi) na sio roho. Hiyo nyingine ni tafsiri ya kiduniani zaidi ya hilo neno spirit.

Sasa hivi wakristo wapo ndani ya mwili hivyo wanaweza kushiriki tendo la ndoa na wenzi wao.
 
Hivi Paulo nae mwanafunzi wa yesu kumbe maana kaja baada ya miaka kumi na nne ya yesu
Mimi hapa ni mwanafunzi wa Yesu pia japo imepita miaka karibu elfu mbili tangu alipopaa.

Kumbuka Yesu Kristo yu hai na anaishi ndani yetu tuliomwamini.

Hata hivyo Paulo alikutana na Yesu alipokuwa akienda damascus syria.
 
Hakuna sehemu kimekinzana. Tafsiri ya biblia inazo kanuni zake. Usipozifuata unaweza kujikuta unaingiza zakwako.
Sehemu iliyo kinzana ya kwanza LUKA 2:21
Hata zilipo timia siku nane za kumtahiri Alliitwa jina lake Yesu kama alivyo itwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba

Mwanzo 21:4 Ibrahim akamtahiri isaka mwanae alipo kua na siku nane kama Mungu alivyo mwa muru.

Hapo juu nadhani sifa zao unazo
Sasa mtazame paulo hapa anasemaje alafu useme sio ukinzan
Wagalatia 5:2 Tazama mimi paulo nawaambia ninyi ya kwamba mkitahiriwa kristo hata wafaidia neno 3 Tena namshuhudia kila mtu atahiriwae ni wajibu wake kuitimiza torati yote 4 mtengwa na kristo.
 
Mimi hapa ni mwanafunzi wa Yesu pia japo imepita miaka karibu elfu mbili tangu alipopaa.

Kumbuka Yesu Kristo yu hai na anaishi ndani yetu tuliomwamini.

Hata hivyo Paulo alikutana na Yesu alipokuwa akienda damascus syria.
Kwa hiyo hata wewe unaweza endelea kutunga bibilia maana Paulo alikutana na yesu lakini wanafunzi ni wale alio kaa nao muda wote na kuwafundisha mpaka kupaa kwake iweje hawa wanafunzi waje waandike kitabu kikamilike alafu ipite miaka kibao aje mtu mwengine aandike kitu chengine hii maana yake baada ya miaka kadhaa ijayo neno la kila mkiristo litakuwa kwenye bibilia
 
Mimi ni mgalatia lakini ninaona kwenye tafsiri yako ya kiswahili kutoka Kiingereza umeenda kupotosha zaidi baadhi ya maneno.
Sperm haujaitafsiri vyema, umeitaja kama tone. Kwa kuangalia kiingereza naona kama wamejitahidi kuitafsiri vyedi kutoka kwenye kiQuran.

Hivyo hapa naona tunajadili aya zilizopotoshwa. Labda tumpate mwenye kuijua hiyo Aya atutafsirie kutoka lugha ya Quran ailete kwenye kiswahili ili tujadili
 
Hapo naona umeweka tafsiri ya soul (nafsi) na sio roho. Hiyo nyingine ni tafsiri ya kiduniani zaidi ya hilo neno spirit.

Sasa hivi wakristo wapo ndani ya mwili hivyo wanaweza kushiriki tendo la ndoa na wenzi wao.
Soul by meaning the spiritual part of a person that is believed to give life to the body and in many religions is believed to live forever
Pigia mstari spiritual hapo uje
Alafu ujamalizia kua nyinyi mkisha enda kwenye ufalme wa Mungu hamtafanya tendo la ndoa
 
Shukran mkuu
 
Hakuna sehemu kimekinzana. Tafsiri ya biblia inazo kanuni zake. Usipozifuata unaweza kujikuta unaingiza zakwako.
Alafu usitwambie maswala ya kanuni hapa aya yetu hukutaka kusikiliza wala kuambiwa kua quran aisomwi kama gazeti leo kwenye kitabu chako utwambie kanuni kwani wakati unaongea mwanzo ulikuwa ujui kua vitabu vya dini vina miongozo yake ya kutafsiriwa
 
Sehemu iliyo kinzana ya kwanza LUKA 2:21
Hata zilipo timia siku nane za kumtahiri Alliitwa jina lake Yesu kama alivyo itwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba....
Sasa hapo kitu gani kimekinzana? Tohara ya mwilini katika agano la kale ni ishara ambayo katika agano jipya ni tohara ya moyo.
 
Wewe ni stone kisser, usijifiche ,
Koran haijaandika sperm imesema tone,

Alafu msijifanye nyie ndio mnajua zaidi ya walio tafsir , Yani Dunia nzima waislamu wamesema tone ila Kuna wewe stone kisser wa dongobesh unasema wamekosea
 
Hapo kwenye aya imezungumzia wao kufanya waliyoamriwa lakini hiyo haimaanishi hawana free will. Mimi nikitii maagizo ya Mungu haimaanishi kwamba sina free will?

Swali gani? Pengine sijaliona hivyo naomba ulirudie.
Aya imemaanisha hawana free will, na hukuti katika kitabu ikionyesha kwamba Wanaadamu wanahusihswa hivyo Moja kwa Moja.

Wewe tayari ushaumbwa na hiari.
 
Aya imemaanisha hawana free will, na hukuti katika kitabu ikionyesha kwamba Wanaadamu wanahusihswa hivyo Moja kwa Moja.

Wewe tayari ushaumbwa na hiari.
Hawana free will ila walimpinga Allah wakati anamtengeneza Adam , na walikuwa wakweli kuliko Allah
 
Alafu msijifanye nyie ndio mnajua zaidi ya walio tafsir , Yani Dunia nzima waislamu wamesema tone ila Kuna wewe stone kisser wa dongobesh unasema wamekosea
Wamesema ni tone la nini ? Hao Waislamu wote walisema ni tone ni kina nani ?
 
Haya mambo sijui huwa mnayatoa wapi. Paulo amehubiri na kuandika vitabu vyake ambavyo mpaka mtume Petro ambaye ndio alikuwa kiongozi mkuu aliwahi kuvisoma

Sasa unaposema miaka mingi ikapita akaja mwingine akaandika inakuwa ni uongo. Injili ya Yohana imeandikwa miaka mingi sana baada ya Paulo kufa. Mtume Yohana ameishi miaka mingi zaidi ya wengine wote.

Kwasasa mafunuo yapo lakini mwongozo tayari ulishakamilika kwa maandiko ya mitume wa kwanza hivyo hakuna tena kuandika vitabu vya kuingizwa kwenye cannon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…