Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Sperm ambayo ni cell ya uzaz ya mwanaume inapoungana na ovum ambayo ni cell ya uzaz ya mwanamke tunapata zygote ambayo inadevelop kuwa ball of cell(mfano wa mpira wenye cell) zinazoendelea kujigawa na mwishon kuunda tissue,organ,system na mwishon mtoto anakamilika

Hayo mambo ya tone la damu kuwa nyama mmepigwa nenden mkasome embryology and developmental biology
 
In English Science is the study of nature, kwa lugha ya kiswahili, Sayansi ni somo linalochunguza kuhusu asili.

Sayansi haigundui kitu kipya, bali chunguzi na majaribio zinairuhusu kupata uelewa juu ya ambavyo tayari vipo japo binadamu hawana ufahamu navyo.

Kwa mfano, sio kweli kwamba dawa ya kudumu ya UKIMWI, Kansa, Homa ya ini, Kisukari na magonjwa mengine sugu hazipo, zipo ila Sayansi haijamudu kuzijua.

Ninachojaribu kusema ni tusiitumie Sayansi kama kipimo cha usahihi kwa asilimia mia, ndio maana kuna baadhi ya zilizoitwa gunduzi za kisayansi ila baadae zikaja kupingwa na gunduzi zilizofuata kwa kuonekana hazikuwa sahihi.

Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.
 
Matope meusi inamaanisha bahari nyeusi,,,,tafuta ilipo bahari nyeusi ndo utajua iko wapi,,,,Acha upuuzi
Anaweza kuelezea Koran na Jua kuzama ni Muhammad
Msome
Imesimuliwa Abu Dharr:
Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…