Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matope meusi inamaanisha bahari nyeusi,,,,tafuta ilipo bahari nyeusi ndo utajua iko wapi,,,,Acha upuuziBaba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Tuambie dini ipi niya kweli 😁😁Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Jua lina zama kwenye matope mazito mara mbegu inaingia kwenye kalio madhubuti. Mawazo yenu na dini yenu ni tigo tuTuambie dini ipi niya kweli 😁😁
Dini ipi niya kweli 😁😁Jua lina zama kwenye matope mazito mara mbegu inaingia kwenye kalio madhubuti. Mawazo yenu na dini yenu ni tigo tu
Aliyekuwa sokwe ni waziri wenu wa tozo Mwigulu NchembaDini vs sayansi...Bado historia tulikuwa sokwe🙄
Mkuu samahani sana...Kipindi Muhammad anaandika Koran elimu ya embryology ilikuwepo na akai copy kama ilvyo, sasa imekuwa advanced ndio unaona koran inaonekana imeandika mashudu
View attachment 2372618
Alikuwa anaandikiwa ?
Ilikuwepo nenda kasomeIyo ndio Qurani imesheeni kila aina ya elimu sasa wewe fikiria miaka 1000 iliyopita elimu ya embryology ilikuwepo? ndio mjue kuwa mtume muahamad ayo maneno aliteremshiwa na mungu.
Anaweza kuelezea Koran na Jua kuzama ni MuhammadMatope meusi inamaanisha bahari nyeusi,,,,tafuta ilipo bahari nyeusi ndo utajua iko wapi,,,,Acha upuuzi
🤣🤣🤣Mi simoAliyekuwa sokwe ni waziri wenu wa tozo Mwigulu Nchemba
❤️,,,,,kama nimekumiss hivi,,uko poa lkn🤣🤣🤣Mi simo
Nipo ❤️nasukuma gurudumu taratibu❤️,,,,,kama nimekumiss hivi,,uko poa lkn
Iko poa Kikubwa uzima ❤️,,,uwe na cku njemaNipo ❤️nasukuma gurudumu taratibu