Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Mh! Mi naona kama maelezo ya Quran yana kaufadhali kidogo kwani yanaendana na sayansi hata kama hayako clear sana. Hofu yangu iko kwenye kitabu changu. Kinasema Maria ambaye 'hakumjua' mwanaume kwani alikuwa bikira alipata mimb!
 
Alaa kumbe yesu alisulubiwa kwa sababu hakuelewaka na hawo mayahudi wake na sio kwa sababu abebe dhambi za ulimwengu hapo sawa
Tuendelee
Maneno alio yasema Yesu kua sikuja kuitangua torati bali kuitimiliza maana yake nini
 
Hakuna udhaifu kwenye quran rafiki
 
Ndio maana tunaita injili habari njema. Injili inakuambia kwamba kuna mtu mwenye dhambi na aliye kifungoni ambaye amelipiwa deni na yupo huru kutoka kwa amani na furaha.

Yesu alikuwa anapenda kusema enenda zako kwa amani, imani yako imekuponya. Hii ni habari njema kwamba sitakiwi kuingia motoni kwasababu ya dhambi zangu kwasababu tayari nimelipiwa deni na niko huru kuishi kwa amani.

Ukimwamini Yesu Kristo unahesabiwa haki. Mbele za Mungu unakuwa mtakatifu kwasababu yeye anachukua nafasi yako na wewe unachukua yakwake. Alihukumiwa ili wewe na mimi tusihukumiwe. Alichukua nafasi zetu. Sasa tukiamini, tunaokolewa.
 
Mh! Mi naona kama maelezo ya Quran yana kaufadhali kidogo kwani yanaendana na sayansi hata kama hayako clear sana. Hofu yangu iko kwenye kitabu changu. Kinasema Maria ambaye 'hakumjua' mwanaume kwani alikuwa bikira alipata mimb!
Afadhali ndugu tongo tongo lime toka kidogo kwako maan biolojia inakataa mimba kutunga kama yai halija kutana na mbegu za mwanaume basi waseme tu wazi kua hata Yesu tumepigwa changa maana kazaliwa bila baba au tuanze kutilia shaka kua mumewe sijui mchumba wake yusuph ali naliu kisirisiri
 
Mh! Mi naona kama maelezo ya Quran yana kaufadhali kidogo kwani yanaendana na sayansi hata kama hayako clear sana. Hofu yangu iko kwenye kitabu changu. Kinasema Maria ambaye 'hakumjua' mwanaume kwani alikuwa bikira alipata mimb!
Kinachoshangaza ni kwamba hata quran inasema yupo jamaa anaitwa issa alizaliwa na Mariamu bila kukutana na mwanaume.
 
Kwa sisi wa juu juu,kwanini mwanamke akimaliza hedhi kinachotoka ni damu?
 
Again unatakiwa kufahamu ni mambo gani Yesu aliyafundisha kwa wayahudi na yapi yalikuwa kwa ajili ya kanisa.
 
Alaa kumbe yesu alisulubiwa kwa sababu hakuelewaka na hawo mayahudi wake na sio kwa sababu abebe dhambi za ulimwengu hapo sawa
Tuendelee
Maneno alio yasema Yesu kua sikuja kuitangua torati bali kuitimiliza maana yake nini
Unachanganya mambo. Waliomsulubisha walifanya vile kama sehemu ya kumhukumu mtu waliyeona ni mhalifu kwa mtazamo wao.

Lakini Yesu mwenyewe alikuwa anajua kusudi la kusulubiwa kwake na aliwafundisha wanafunzi wake na baadae mtume Paulo alilielezea kwa undani zaidi. Ndio maana Yesu hakufanya utetezi wowote wakati wa mashtaka yake kwasababu ilikuwa muhimu apitie msalabani.
 
Hakuna udhaifu kwenye quran rafiki
Udhaifu kwenye quran upo mwingi sana. Mwingine Allah anasema kwamba sperm zinatengenezwa kwenye eneo lililopo kati ya mbavu na uti wa mgongo.🤣

Yaani Allah hata hajui kazi ya testes. Soma mwenyewe Sura 86:6,7
 
Tuambie kuhusu jamaa yenu issa ambaye alizaliwa na Mariamu bila kumjua mwanaume.
 
Baada ya kuona hii argument nimechoka kabisa kujibu haya maswali yako. Yaani unakubaliana na Allah na muhammad kwamba sperms zinazalishwa kwenye eneo lililo kati ya mbavu na uti wa mgongo?
Mkuu unafahamu kiarabu?
Maana neno lilotumika kwenye aya ile ni “maa” ambayo hufasirika kama “fluid” kwa kiingereza…

Na nimekueleza kuwa damu iendayo kwenye pumbu hutoka maeneo karibu ya ini… hivyo ni kweli manii huzalishwa kwenye pumbu lakini Quran imesema “maa” kwa maana ya “fluid” ambayo damu na manii pia huwa katika mfumo huo.
 
Anzisha mada kuhusu biblia na utunzwaji wake tangu ilipoandikwa na mitume (kwenye injili na nyaraka zao) mpaka ilipokusanywa na kuwa kitabu kimoja tutakujibu.

Biblia haina contradiction wala mistake. Imekamilika na ni takatifu.
Mwanzo nilidhani uko ‘objective’ lakini kwa madai haya ninagundua hapana, upo kishabiki.
 
Marko 10:19 inazungumzia kuhusu amri na yule bwana alieambiwa kua auze vitu vyake vyote hapo inasisitiza umuhimu na ulazima wa kufuata amri huyo ni yesu mwenyewe hatimae anawaambia wanafunzi wake kua ni ngumu mno kwa alie na mali kuuona ufalme wa Mungu
Sasa wewe unapata ujasiri gani uone ukia amin tu unaenda peponi bila kufuata amri we uoni unapingana na maandiko au maneno yake mwenyewe Yesu
 
Afu Qur'an hiyohiyo inakataa kwamba mungu Hana shirki Yaan hafany kaz na mtu na wanaupinga Sana utatu mtakatifu lakin katika haya iyoapo tunaona mungu anashirikiana na mtu au watu katika uumbaji sasa wadau hiyo imekaa vipi ni nan huyo anaeshirikiana na mungu kuunda mbegu kuwa damu Hadi pande la nyama mpaka mifupa?
 
Kinachoshangaza ni kwamba hata quran inasema yupo jamaa anaitwa issa alizaliwa na Mariamu bila kukutana na mwanaume.
Sisi kukubali miujiza si geni ila nikuulize wewe unaeikataa miujiza wakati yesu mwenyewe hakuja kwa hali ya ki biology ujue uhalisia sahihi na hiyo biolojia yako ya research ya miaka mia ndio jibu linatoka
 
Kwa mujibu wa Yesu Kristo, hakuna mambo ya ndoa na tendo la ndoa mbinguni.
Nani aliekwambia utaenda mbiguni mji wa yerusalem utashushwa toka mbinguni kuletwa duniani Pepo itashushwa hapahapa na jehanam itashushwa hapahapa wewe wala mim hakuna mwenye hadhi ya kukaa mbinguni huko ni patakatifu sheikh, na tutazaa tutapewa miili mipyaa soma ufunuo wa yohana,revelation afu njoo na uongo mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…