professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Na uliitaka mwenye we mada ya bibilia ila tu nikusihi endelea na Dini yako waache waislamu na Dini yao yani usiumie kwanza nyinyi huko mbinguni Mungu ata watoa atawapeleka tena duni atawajenge nyumba huku huku duniani kataa hapo nyinyi peponi ni sehemu ya kituo tu bishaKuwa mwilini kumekuathiri sana sana. Yesu hakwenda kwa miguu hadi mjini na kupanda juu ya hekalu na wala hakupanda kwa miguu kwenda milimani ili aone fahari ya dunia.
Mimi nimewahi kufika nchi nyingi duniani ikiwemo dubai. Sasa hivi hapa nilipo ninaweza kutengeneza image kichwani kwangu nikawa pale burji khalifa ingawa kimwili nipo hapa Dar es salaam.
Mimi nimesema umesema hivyo?Hivi ndivyo nilivyosema kwani
Hivyo ni vitu viwili tofauti. Sio kila kitu ambacho ni halisia ni tangible.Ukiwaza unakula unakua ushashiba acha ubabaishaji wewe
We hapo ulipo uoni mbingu zilipo au hao wanasayansi wako wamesahau kukupa mfumo wa mbingu wewe vip kwenye quran hutaki hoja alafu wewe unatuletea viloja kila jambo na muda wake utajibiwa soon ili ukatae vizuriNi kwanini haujibu hoja kuhusu hiyo aya ya quran ndio uulizie hiyo ya kwenye ayubu?
Yaani hapa unaepusha akili yako kuhoji kosa lililopo kwenye quran kwa kutaja kitu kisichohusiana.
Umewahi kufika mbinguni ukaona kwamba hakuna misingi?
We bwana we haya nipe iyo maana yako ya neno mawazoHivyo ni vitu viwili tofauti. Sio kila kitu ambacho ni halisia ni tangible.
Wakristo wataenda katika nchi mpya ambayo pia itakuwa na mbingu mpya na sio dunia hiihii.Na uliitaka mwenye we mada ya bibilia ila tu nikusihi endelea na Dini yako waache waislamu na Dini yao yani usiumie kwanza nyinyi huko mbinguni Mungu ata watoa atawapeleka tena duni atawajenge nyumba huku huku duniani kataa hapo nyinyi peponi ni sehemu ya kituo tu bisha
Biblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.Nitoeni tongo tongo jamani jichoni,jee kuna sehemu Aya yoyote kwenye bible iliyo elezea zoezi zima la kupatikana kwa kiumbe katika mfumo mzima wa uzazi?
Toba waje wao kwanza wakishindwa niwape reason kuhusu biblia kwanini wameshindwaNitoeni tongo tongo jamani jichoni,jee kuna sehemu Aya yoyote kwenye bible iliyo elezea zoezi zima la kupatikana kwa kiumbe katika mfumo mzima wa uzazi?
Labda ungesoma vizuri kwanza ukaelewa nilichosema. Hata hivyo hii post sijui imefikaje huku, ilihusu mada fulani hv titled, 'kwanini Wakristo wanamtukana Mungu'. Naona km imefutwa sasa maana siioni.Wapi umeona kwamba vifungu vya biblia havitafsiriwi??
No we unajua ukubwa Mungu mpaka akuachie kirahisi hivyo ngoja nikwambie rafiki aya nyingi za sayansi ndani ya bibilia zimefutwa kwa sababu haiendani na matakwa ya mnao waona nyinyi ni wakubwa wa dunia badala ya MunguBiblia imemuachia mwanadamu ajifunze elimu mbalimbali na ndio maana Mungu amewapa wanadamu akili.
Mungu hakuelezea namna ya kutengeneza magari au ndege ila aliweka kila kitu available, ni suala la mwanadamu kujishughulisha na kuvumbua.
Ningekuuliza ni Wayahudi wa aina gani hao wasio na mashaka, na ni yapi yamhusuyo Yesu ambayo hawana mashaka nayo... hata hivyo, najua huwezi kuwa na jibu la hilo swali, hivyo niseme tu 'Unachekesha sana aisee..."Wayahudi hawana mashaka na kusulubiwa, kufa, kuzikwa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Mambo yote tunayosoma kuhusu yeye yaliandikwa na wayahudi wenyewe kuanzia kwenye biblia na hata kwenye historia.
Wayahudi walitumia vigezo gani... I don't know lakini wakaona Yesu ha-fit kwenye utabiri huo, na kwahiyo WAKAMKATAA, na Injili aliyokuwa anaihubiri, WAKAIKATAA na wakendelea na ku-stick kwenye Torat, na bado wanamsubiria huyo Messiah hadi ninapoandika haya!I will raise up for them a prophet like you from among their brothers. And I will put my words in his mouth, and he shall speak to them all that I command him.
Unazionaje mbingu kutoka hapo ulipo? Au unadhani anga ndio mbingu?We hapo ulipo uoni mbingu zilipo au hao wanasayansi wako wamesahau kukupa mfumo wa mbingu wewe vip kwenye quran hutaki hoja alafu wewe unatuletea viloja kila jambo na muda wake utajibiwa soon ili ukatae vizuri
Una uelewa duni sana...Issa wa kwenye quran mtulie naye hukohuko msijaribu kumtafutia umaarufu kupitia Yesu Kristo.
Yesu ni Mwana wa Mungu, alikuwepo milele kabla hajapitia tumboni mwa Mariamu na kuchukua mwili, alihubiri wokovu wa ulimwengu wote, alihukumiwa kipindi cha pontio pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akafufuka, akapaa mbinguni na atarudi tena kuuhukumu ulimwengu.
Haya yote yameandikwa na mitume pamoja na waandishi wa historia kule Israel.
Sasa issa hajulikani huko Israel.
Kutoka hapo ulipo jaribu ku imagine kwamba upo pale mkapa stadium.. kama umeweza hilo basi kitu cha namna hiyo ndio kilikuwepo kwenye yale majaribu.We bwana we haya nipe iyo maana yako ya neno mawazo
Ngoja Akujibu Yesu mwenyewe maana wewe mbinguni hupajui na maana zako za Google hizo ay yesu ulifanyaje saa ilipo fikaUnazionaje mbingu kutoka hapo ulipo? Au unadhani anga ndio mbingu?
Sasa huo ndio uhalisia hivi wewe kiswahili unajua kweliKutoka hapo ulipo jaribu ku imagine kwamba upo pale mkapa stadium.. kama umeweza hilo basi kitu cha namna hiyo ndio kilikuwepo kwenye yale majaribu.
Hapo hoja iko wazi hata usome mstari upi huwezi ukafikia kumtukana MunguSoma kuanzia mstari wa kwanza. Hata hivyo hili tayari limetolewa ufafanuzi humu ndani.
Kwanza unatakiwa kukubali kuwa andiko limesema tone la manii iligeuka kuwa damu iliyoganda na sio tone la manii iliingia na kukaa kwenye damu ilioganda kama ulivyotaka kupotosha ktk bandiko lakoTone ikageuka kuwa damu iliyoganda.🤣 Unajua kwamba damu ikiganda inakuwa dead? Muhammad anasema damu hiyo iliyoganda inakaa siku 40 ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke halafu inabadilika kuwa nyama kwa siku nyingine 40.
Halafu baada ya hapo inabadilika kuwa mifupa.. halafu mifupa inavalishwa nyama.🤣 Trust me Aisha (ambaye alikuwa mke pendwa wa muhammad) alikuwa sahihi kusema muhammad was demon possessed.
Wakati unaikumbusha hiyo mada ambayo Isha jadiliwa embu tuletee huo upumbavu wa Mungu wako kwanza kwa mujibu wa andikoSon of mutah ,Mada ipo mezani na usiweweseke
Uyu Muhammad aliwapaje waarabu mpaka akawaambia sperm inakuwa damu mfu iliyoganda na inakaa ndani ya mwanamke kwa siku 40?