Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Haya Maswali ni ya muhimu sana ndugu mleta mada

Nashukuru umewaita Wataalamu wa Quran takatifu watufafanulie
 
Allah aliyafanya haya akiwa na kina nani?
 
Kwahiyo Mwamedi (S.A.W) alidanganya?
 
Yai la mwanamke ndio damu iliyoganda? Hili umelitoa wapi?
 
Sayansi tayari imeeleza kwamba sperm inaingia kwenye yai na kuumba mtoto. Unaelezeaje hilo kosa la sperm kuingia kwenye damu iliyoganda?

Halafu huo mstari wa vidole haujaunukuu kwa usahihi na umeweka tafsiri yako.
 
kwa hiyo mkuu bila alama za vidole Mungu asingetujua ? aya mambo ya dini bhana mna haki kuulizwa mdhibitishe yupo au hayupo kwel
 
MIMI SIO MTU WA DINI ILA NAOMBA NIULIZE SWALI?

KWANINI HAWA WAKRISTO WAMEONEKANA NA CHUKI KUBWA SANA NA HAWA WAISLAM SANA SANA UKU JF AU NI MIMI TU NAONA IVO ?
Hahahaha!! wakilala wakiamua wao uislamu tuu karibia kila jukwaa tena sasa hivi wamepumzika sana kuna kipindi unakuta mada za chuki na comments mbaya hadi utadhani mtaani hawaombani chimbo na kuishi pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…