Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
-
- #81
Mambo ya kushtua sana haya lakini ulevi wa dini unamfanya mtu atetee badala ya kutafakari.Mimi najua mtoto anaumbwa mbegu x ikikutana na y au x. Hayo damu mgando tuyaache kwenye friji.
Kinachoenda kuwa attached kwenye womb ni sperm au ni kiumbe kilichotokana na sperm kuingia kwenye yai?Ametukuka M.Mungu
Muumbaji aliye bora kabisa
π€²π€²π€²Kwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.
Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :
Anasema Allah aliye juu :
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
FactπππUsisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Na Google haikuwepo. Sasa wanaosema alikopi kutoka kwa wanasayansi wa zama hizo sjui kama wanajipa muda kufikiria vema.Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?
Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
πππUmemaliza mkuu,,,,,Uislamu umejitosheleza na huwa na majibu siku zote licha ya wapuuzi Kama hawa kutaka kuuchafua
Kwahiyo hapa Muhammad alikuwa sahihi kusema kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?Na aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?
Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
πππHuyu mpuuzi naomba mumpuuze! Ila kama mna Mda wa kupoteza fine jadilianeni nae!
Hivyo vitabu vya mchongo tuKwanza kosa kubwa umelifanya hapa kwenye kulinganisha Uhalisia (Qur'aan) na Biology.
Anzia hapa Kisha kutokea hapo uulize maswali yako :
Anasema Allah aliye juu :
13. Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.
14. Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. (al-Muuminuun : 14)
Hahaaaa mkuuu nimecheka sana, hii DINI nawaonea huruma sana.Tatizo huelewi kiarabu hao waliotafsiri hawaΔ·utumwa na mnyaazi
ngoja jioni jua lizame kwenye matope
πππππNa aya kama hizi au mambo kama haya ndio huwafanya wenye akili kujiuliza huyu Muhammad hakusoma wala kuandika hajui,je elimu kubwa kama hii kaitoa wapi kama si Maneno ya Mola wake Malezi?
Na scientifically hizo stages za ukuaji zipo exsactly kama Qur'an ilivyo eleza,,,Allahu Akbar!
Hakuna kitu kwenye vitabu hivyo, we uliza chanzo cha wanawake kuvikwa MA nikabu, utachoka kabisa!!Umemaliza mkuu,,,,,Uislamu umejitosheleza na huwa na majibu siku zote licha ya wapuuzi Kama hawa kutaka kuuchafua
πππππIyo ndio Qurani imesheeni kila aina ya elimu sasa wewe fikiria miaka 1000 iliyopita elimu ya embryology ilikuwepo? ndio mjue kuwa mtume muahamad ayo maneno aliteremshiwa na mungu.
Kwahiyo Allah alikuwa hajui kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio kwenye damu iliyoganda?Iyo ndio Qurani imesheeni kila aina ya elimu sasa wewe fikiria miaka 1000 iliyopita elimu ya embryology ilikuwepo? ndio mjue kuwa mtume muahamad ayo maneno aliteremshiwa na mungu.
Kwahiyo Muhammad hajui kabisa uwepo wa kitabu kinachoitwa quran?
Hata walokole wa Kibwetere waliambiwa wasisome Bible kama wanasoma gazeti Mwisho wa siku wote wakachomwaUsisome Quran km unasoma gazeti la nipashe mkuu.....watu wanakaa vyuo vikuu kupata hizo elimu kwa miaka ming sana
Mkuu hayo maandishi yanasababisha mashaka makubwa sana kwasababu haiwezekani Mungu wa kweli asijue kwamba sperm inaingia kwenye yai (ovum) na sio kwenye damu iliyoganda.Nikirudi kwenye swali lako, siko kiimani sana ila hayo maandiko kwa hicho kipande ulichoweka yako sahihi sana. Nadhani kikubwa ni tutofautishe kati ya tafsiri na maana, tujikite kuelewa yalichokusudia.