Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Kwahiyo kama muhammad alikuwa hajui kusoma, kwanini jibril alikuwa anamkaba na kumtaka asome?

Jibril alikuwa anataka asome kitabu gani ikiwa quran haikuwepo?
Wapi umepata kuwa Muhammad alikabwa na Jibril? Unaelewa vipi unaposkia kitabu cha Quran?
 
Mokit jibu maswali we mke wa papa
 
Inabidi mjitafakari na uwezo wenu wa akili kusoma na kuelewa kwa kufuata misingi ya right source of information. Nimeona mara nyingi huwa mna base kwenye wrong allegations and completely wrong information and sources. Ni intentionally au..?
 
😂😂😂 nimefurahia utetezi wako, umemtetea sana lakini Jacob kasema dhahiri kuwa kamuona.

Haya, mtu akiua au akidhuru mwingine tufanyaje? Maana biblia inanichanganya hatua za kuchukua

Exodus 21:23
“If anyone is injured, the offender must pay a life for a life,”

Mathew 5:39
“But I tell you, do not resist an evil person. If anyone slaps you on the right cheek, turn to them the other cheek also.”

Sasa hapa Mkuu tufate lipi?
 
We chizi yale majibu ulikuwa uyaoni sasa wewe si ulete ata majibu ya uongo ili wakristo wenzio wakucheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahazia alitawala umri gani Jerusalem kwa mujibu wa biblia?
Nani wa kwanza kumuona Yesu amefufuka kwa mujibu wa biblia?
Yesu alisulubiwa muda gani kwa mujibu wa biblia?
Lete mistari yako unayodhani haipo sahihi kwa kila kipengere tukufafanulie.
 
Hili ni rahisi sana. Agizo la torati lilikuwa maalumu kwa mazingira ya kuwa chini ya sheria. Mpaka sasa hilo agizo linadumu kwenye sheria ulimwenguni pote.

Sasa hapo kwa Yesu alikuwa anafundisha uvumilivu pale watu wanapotukosea au kutukorofisha. Hii ni noble character. Hata hivyo hapo kuna limits pia. Ukinipiga kofi moja na nikaruhusu la pili utakuwa unavumiliwa ila ukiweka la tatu sheria itafuata mkondo wake.

Kwahiyo hapo hakuna contradiction ila kuna extension ya uvumilivu kwasababu wapo watu watakaokosea kwa bahati mbaya na kuna wale watakosea kwasababu ya ujinga wao tunapaswa kuwa wavumilivu.

Yesu ameitimiliza sheria hapo kwa kutoa fursa ya mkorofi kujifunza. Jaribu kufikiri leo hii umenikorofisha ukanipiga halafu nikaamua kukaa kimya. Ukafanya tena mara ya pili nikakuaamehe.

Kama ni mtu muelewa lazima utajirekebisha na pengine kuomba msamaha. Ukirudia tena hapo nitajua wewe ni lazima uchukuliwe hatua kali za kisheria.

Jesus Christ is so wise.😍
 
Ngoja nicheke tu maana kuanzia wakristo mpaka bibilia havijatambui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…